Ubaya na Uzuri wa gari aina ya TOYOTA ALLEX

[emoji23][emoji23][emoji23] hivi wakati mtu ananunua gari, huwa haoni magari mengine mpaka dume zima linaangukia porte?? tule tugari tunaniboa na ule mlango wake wa abiria utafikiri kifodi

Bora nikae ndani ya passo au vitz iliyopimpiwa
Kuna wakati bajeti inakufanya ununue gari ya ajabu
 
chukua Toyota Allex,
mtoa mada naona watu wanakushauri uchukue Runex ya CC 1800, kwanza hapo unalinganisha cc 1400 na 1800 vitu viwili tofauti
Mbona watu hawakuambii Allex ina shida gani ?. allex ni gari nzuri sana, pia ina nafasi ndani tofauti kabisa na IST. Inakula mafuta kidogo sana. Haisumbui kwenye matengenezo. barabarani inafika speed kubwa kwa muda mfupi sana kama ulikuwa umepunguza mwendo N.K
 
Hata Ractis ni nzur tuh ipo vizur INJINI 1400 cc na inachnaganya mwendo vizur tuh. Ndan Pana kuliko Ist, Allex na Runx
 
Ma form four failure mtu kauliza swali ubaya na uzuri wa Toyota Alex mnajibu vitu nje ya swali
 
Back
Top Bottom