Ubaya na Uzuri wa gari aina ya TOYOTA ALLEX

Et "kitaulo"[emoji1] [emoji85]
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] unakuta jamaa amevimba kabisa kwenye Porte!
[emoji23][emoji23][emoji23] hivi wakati mtu ananunua gari, huwa haoni magari mengine mpaka dume zima linaangukia porte?? tule tugari tunaniboa na ule mlango wake wa abiria utafikiri kifodi

Bora nikae ndani ya passo au vitz iliyopimpiwa
 
RunX, Alex, Vitz, Ist, Starlet, Passo zote jamii moja tu za akina Mama kwenda Shopping.
Bora umewapaka Mkuu, hivyo vigari huwezi vipiga mguu, Dar Tabora Dar, au Dar Arusha Dar lazima utakatupa tukubaliane tu ni kagari ka SOKONI
huwezi ingiza kwa wanaume wenzako km L/Cuiser au Harrier ingawa kuna Harrier mpaka za 12m
lakini kuendesha RunX, Alex, Vitz, Ist, Starlet, Passo eti niwahi Morogoro hakuna gari itakupisha acha viende sokoni na kupeleka watoto shule
 
Hasira pia imetumika kutoa post[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kanissan note kangu cc1500 Arusha Dar.....Dar to Arusha kanakamua fresh tu...
kapo stable sana barabarani..
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hivi wakati mtu ananunua gari, huwa haoni magari mengine mpaka dume zima linaangukia porte?? tule tugari tunaniboa na ule mlango wake wa abiria utafikiri kifodi

Bora nikae ndani ya passo au vitz iliyopimpiwa
Umesahau Cube... eeh bwana hako kagari sikapendii
 
Hasira pia imetumika kutoa post[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kanissan note kangu cc1500 Arusha Dar.....Dar to Arusha kanakamua fresh tu...
kapo stable sana barabarani..
Huyu jamaa muongo, mi nimekasafirisha kaAllex kangu kutoka Dar to Bukoba fresh tu tena nimeovertake gari za kutosha, speed ya gari inategemea na dereva maana kwa dereva aliyekuwa ananiendeshea kagari kangu tulikuwa tunazipita hadi Harrier[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Achana na vi bebi woka nunua gari za juu juu gari siyo mafuta tu hata mchemsho inatumia
waambie Mkuu,unanunua kibaby walker ukienda hapo Dodoma tu hata mbuzi na kondoo hawakupishi sembuse ng'o,mbe, km una 12m piga dude hivyo vya sokoni na skuli wawa achei kina mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…