Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Lini "mtapatia"? Wewe na Akina Nani?Lini tutapata maneno ya faraja kutoka kwake ili mioyo yetu itulie ?!!
[emoji1787][emoji1787]Wanakuja
Nasi tumkubali kwa kupinga "idhilali" kwa yule mtoto wa Kagera....Namkubali sana Askofu Bagonza.
Mimi na mh.Mbowe...nimemuona hapa jirani akiongelea maswala ya haki za binaadamu...Lini "mtapatia"? Wewe na Akina Nani?
Yeye ni mwandishi mzuri....hapitwi na jambo kubwa na zito....cha ajabu la yule mtoto wa Kagera lilimpita.....[emoji44]Mbona umeandika kinafiki sana? Ni LAZIMA atoe yeye au aandike yeye hio taarifa? Au kuna nini??
Ni yeye peke yake...Kwani Askofu anayetakiwa kuandika ni yeye peke yake, au yeye ndo ameandikiwa kuwapa faraja?
Acha maskhara....Maandiko mengine mumuachie askofu masanja mkandamizaji, bagonza kweli aandike kila kitu ataweza?
Ukiandika hata wewe inatosha Ndugu yanguYeye ni mwandishi mzuri....hapitwi na jambo kubwa na zito....cha ajabu la yule mtoto wa Kagera lilimpita.....[emoji44]
SawaMimi na mh.Mbowe...nimemuona hapa jirani akiongelea maswala ya haki za binaadamu...
Hapa sio dhuluma anafanya?Acha maskhara....
Askofu Bagonza ANAJULIKANA kwa kupinga DHULMA...je ya mtoto wa Kagera si dhulma ?!!
Maskhara hayo
Mnafiki yuleNamkubali sana Askofu Bagonza.
Askofu Mwamakula mbona haujamtaja?Ni yeye peke yake...
Kwa kuwa hapitwi na majambo mazito na makubwa nchini....ninashangaa hili la yule mtoto aliyechunwa ngozi LIMEMPITA....