Ubaya ni ubaya lini Askofu Bagonza atatoa chapisho kumpinga yule kiongozi wa dini aliyehusishwa na tukio la mauaji ya mtoto Kagera

Ubaya ni ubaya lini Askofu Bagonza atatoa chapisho kumpinga yule kiongozi wa dini aliyehusishwa na tukio la mauaji ya mtoto Kagera

Mkunazi Njiwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2023
Posts
8,538
Reaction score
7,559
Ni tukio la kusikitisha kule Kagera.

Askofu Bagonza lini atatupandishia maandiko kuntu ya kupinga unyama uliofurutu ada wa kumuua mtoto (MALAIKA) asiye dhambi ,kumkata viungo na kumchuna ngozi?

Lini tutapata maneno ya faraja kutoka kwake ili mioyo yetu itulie?

Hatujamuona akiandika maandiko marefu juu ya hayo, hatujamuona akiandika maandiko marefu juu ya baadhi ya viongozi wa dini Wanaolawiti watoto na vijana wenzetu.

Do not do harm

Imani kuu ni kuuthamini uhai wa mwanadamu

Nchi Kwanza

PIA SOMA
- Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
 
Kwani Askofu anayetakiwa kuandika ni yeye peke yake, au yeye ndo ameandikiwa kuwapa faraja?
Ni yeye peke yake...

Kwa kuwa hapitwi na majambo mazito na makubwa nchini....ninashangaa hili la yule mtoto aliyechunwa ngozi LIMEMPITA....
 
Back
Top Bottom