kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
MwenyeziMungu hapendezwi na kuombea mtu mabaya yamfike, anawapenda watu wanao omba na kuombea mema/kheri.
Simba wamekuja na ujinga wa ubaya ubwela msimu huu na kusahau kuwa kuombea watu ubaya hakumpendezi Mungu hata kidogo. Wamesahau kuwa mchimba kisima huingia mweyewe au huingia mtuwe.
Sasa hivi ameshanza kupata majibu ya "ubaya ubwela" kutoka kwa MwenyeziMungu mapemaaa kabla hakujapambazuka. Simba ndio timu Tanzania ambayo hivi sasa haina raha kwenye msimu huu mpaka sasa. Kibu na Lawi hawajaripoti kambini, Awesu na Valentino wana majambo kwenye timu zao za KMC na Geita Gold.
Kama hawataacha msemo wao wa ubaya ubwela hakina wataona ubaya mwingi unawasonga kila siku msimu mzima.