Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Galactico ni neno la Kihispania linalomaanisha 'galactic' kwenye soka hutumiwa kwa kuwaelezea nyota wa soka wenye vipaji vya soka vinavyoelezewa kama 'soka la dunia nyingine'.Kwani galactico ni mchezaji gani kwenye timu/ligi
Yanga na Simba ni timu ipi ina wachezaji wengi wenye viwango vikubwa vinavyofahamika kwenye soka la Tanzania, Afrika mashariki na Afrika? Aziz Ki anawaniwa na timu ngapi Afrika? Nzengeli je, pacome, Chama nkGalactico ni neno la Kihispania linalomaanisha 'galactic' kwenye soka hutumiwa kwa kuwaelezea nyota wa soka wenye vipaji vya soka vinavyoelezewa kama 'soka la dunia nyingine'.
Yaani soka ambalo siyo la kiwango cha wachezaji wengine wengi duniani. Kama Zinedine Zidane au Cristiano Ronaldo. Galactico huwa ni maarufu duniani kote kwani hununuliwa kwa hela nyingi za uhamisho.
Kwamba siyo kila ligi ina galactico wake, ila dunia ndiyo inao hao wachache. Na Real Madrid ndiyo inajivuna kwa kutengeneza kikosi cha galactico's kati ya hao wachache waliopo duniani.
Ova
"Ubaya ubwela udugu umala" - Hii ndo kauli yetu sisi wazaramoUbaya Umebisha hodi kwa Aishi Manula......type!!!