Ubaya ubwela utaiathiri Simba. Umeanza na Kibu Denis, Lawi, Awesu na Valentino

Lol! B... hata kufungwa mechi mbili mfululizo haitokaa itokee msimu huu. Tumekaa vizuri sana msimu huu hadi naona August 8, 2024 inachelewa kufika, kuna midomo inabidi ifungwe mapema ili tuheshimiane.

Ova
Naitunza hii post yako ndio utajuwa kwanini Mwasibu kaukimbia uzi wake.
 
Umenipa wakati mgumu wa kuamua nireact vipi mjinga wewe, nimerudia kusoma kama mara 10!

Lakini b… kwanini unapenda kujipa shida? Kweli kwa Yanga hii tena imeboreshwa hatujapoteza key players kama msimu uliopita unaweka imani ya kutufunga?

Mi ndio maana nimekupa angalizo kabisa sitakupa pole tena, mna midomo sana nyie.
Hasa wewe.
Soka siyo kitu cha kujipima wewe mwenyewe, tathmini yako haitoi picha uhakika huo. Soka ni mbinu, na mpinzani wako hujiandaa kuzishinda mbinu zako.

Yanga siyo timu isiyofungika, ndiyo maana ilifungwa na Ihefu ambayo ina hadhi ya timu za katikati ya msimamo wa ligi. Inafungika kama ambavyo timu nyingine zinafungika.

Huu mwaka hakuna kuteleza, ni mguu kwa unyayo.

Ova
 
Lol! B... hata kufungwa mechi mbili mfululizo haitokaa itokee msimu huu. Tumekaa vizuri sana msimu huu hadi naona August 8, 2024 inachelewa kufika, kuna midomo inabidi ifungwe mapema ili tuheshimiane.

Ova
VAR itakuwepo, hakutaakuwa na penati za upendeleo msimu ujao, ubaya ubwela, acholile kachola.
 
Soka siyo kitu cha kujipima wewe mwenyewe, tathmini yako haitoi picha uhakika huo. Soka ni mbinu, na mpinzani wako hujiandaa kuzishinda mbinu zako.

Yanga siyo timu isiyofungika, ndiyo maana ilifungwa na Ihefu ambayo ina hadhi ya timu za katikati ya msimamo wa ligi. Inafungika kama ambavyo timu nyingine zinafungika.

Huu mwaka hakuna kuteleza, ni mguu kwa unyayo.

Ova
Tofauti iliyopo ni kwamba Yanga ina wachezaji wanaoifahamu ligi na wanaoyafahamu mazingira na kambi yao ya preseason iko Avic Town, Timu kama SnA zina wachezaji wageni wengiiiii halafu kambi zao za pre-season ziko uarabuni. Subiri uone kitakachotokea kwenye mechi 10 za mwanzo.
 
Hivi ni kwa nini hao wachezaji Kibu na Lawi mpaka muda huu hawajaripoti kambini Misri?
Hata baleke mwaka jana alichelewa sana kwenda. Nilikuwa namkuta mara nyingi sehemu anakula vitu laini vile vya ccm kwenye chupa ndogondogo
 
Naitunza hii post yako ndio utajuwa kwanini Mwasibu kaukimbia uzi wake.
Mkumbushe haya majina ya Aziz Ki, Pacome, Maxi, Chama, Musonda, Aucho, Bacca, Nondo, Job, Mudathir, Yao, Diara, Abuya, Boka, Andabwile na baleke yanayopatika kwenye timu moja aone kama haogopi kiyu chochote kuyasikia
 
Tofauti iliyopo ni kwamba Yanga ina wachezaji wanaoifahamu ligi na wanaoyafahamu mazingira na kambi yao ya preseason iko Avic Town, Timu kama SnA zina wachezaji wageni wengiiiii halafu kambi zao za pre-season ziko uarabuni. Subiri uone kitakachotokea kwenye mechi 10 za mwanzo.
Duh! Unazungumzia Avic Town wakati Yanga iko South Africa. Mchezaji kazi yake ni kucheza mpira, sheria za soka ni zilezile kama alikotoka.

Na unaongea kama vile hujui kuwa Pacome ulikuwa ni msimu wake wa kwanza na Yanga last season. Huo ugeni kwenye ligi ulikuwa wapi?

Hii vita unayochokoza utanipa shida mimi ujue b…?
 
Duh! Unazungumzia Avic Town wakati Yanga iko South Africa. Mchezaji kazi yake ni kucheza mpira, sheria za soka ni zilezile kama alikotoka.

Na unaongea kama vile hujui kuwa Pacome ulikuwa ni msimu wake wa kwanza na Yanga last season. Huo ugeni kwenye ligi ulikuwa wapi?

Ova
Pacome alikuwa mgeni lakini alikutana na mazingira rahisi sana ya uwepo wa akina Aziz Ki na Yao kwenye timu. Yanga kwenda south Africa walilazimika TU kutokana na mwaliko.
 
Hamtaamini macho yenu, ila ni suala la muda tu.

Ova
Yuko tayari kusubiri na kuona, hatutakubali visingizio. Binafsi siamini kama kwenye kikosi chenu Kuna wachezaji wengi wenye Kariba ya Aziz Ki, Chama, Maxi, Baleke, pacome, Musonda, Aucho, Ibra Bacca, Yao, Abuya, Diara, Dickson Job,b, Andabwile na Mwamnyeto. Hata ww mwenyewe unafahamu kuwa hamjasajili wachezaji wazuri kama hawa ila mnasubiri muujiza utokee.
 
Hilo ndilo tatizo mkuu, huwajui kabisa wachezaji wetu. Jipe subira kwanza hadi uwajue, kabla hujajimaliza hapa.

Ova
 
MwenyeziMungu hapendezwi na kuombea mtu mabaya yamfike, anawapenda watu wanao omba na kuombea mema/kheri.

Simba wamekuja na ujinga wa ubaya ubwela msimu huu na kusahau kuwa kuombea watu ubaya hakumpendezi Mungu hata kidogo. Wamesahau kuwa mchimba kisima huingia mweyewe au huingia mtuwe.

Sasa hivi ameshanza kupata majibu ya "ubaya ubwela" kutoka kwa MwenyeziMungu mapemaaa kabla hakujapambazuka. Simba ndio timu Tanzania ambayo hivi sasa haina raha kwenye msimu huu mpaka sasa. Kibu na Lawi hawajaripoti kambini, Awesu na Valentino wana majambo kwenye timu zao za KMC na Geita Gold.

Kama hawataacha msemo wao wa ubaya ubwela hakina wataona ubaya mwingi unawasonga kila siku msimu mzima.
Punguza uchoko kwa mambo yasokuhusu!
 
Hilo ndilo tatizo mkuu, huwajui kabisa wachezaji wetu. Jipe subira kwanza hadi uwajue, kabla hujajimaliza hapa.

Ova
Yanga ina galacticals, Simba ina nani? Mzamiru, zimbwe, kapomne na nani?
 
Duh! Hiyo ligi ya hapo Bongo kwani ina galactico, au ni kudandia tu maneno? Galactico's wacheze Tanzania?

Ova
 
Back
Top Bottom