Ubaya ubwela utaiathiri Simba. Umeanza na Kibu Denis, Lawi, Awesu na Valentino

Na lile kipa lao tegemezi lililonenepa hovyo limeumia, nje miezi sita
#ubayaubwela
ubaya ubwela. Kaulimbiu yao inakwenda anticlockwise (kinyumenyume). Ombea kheri timu yako lakini usiombee mabaya timu nyingine, Mungu anataka iwe hivyo.
 
Ubaya Ubwela.

Ova
 
Ubaya Ubwela.

Ova
We haya. Nakwambia mapema kabisa b... msimu huu hakuna kubembelezana. Timu lako bovu hilo litakapoanza kupigwa mechi 3 mfululizo sitakupa pole, nitakukumbusha hii kauli yenu.
 
Ukijiombea mabaya na Mungu anakupa mabaya
 
We haya. Nakwambia mapema kabisa b... msimu huu hakuna kubembelezana. Timu lako bovu hilo litakapoanza kupigwa mechi 3 mfululizo sitakupa pole, nitakukumbusha hii kauli yenu.
Lol! B... hata kufungwa mechi mbili mfululizo haitokaa itokee msimu huu. Tumekaa vizuri sana msimu huu hadi naona August 8, 2024 inachelewa kufika, kuna midomo inabidi ifungwe mapema ili tuheshimiane.

Haya ulitakiwa uyaseme tukiwa tunaelekea uwanjani b…
Rudi bwana nimechoka kwenda uwanjani mwenyewe!
 
Haya ulitakiwa uyaseme tukiwa tunaelekea uwanjani b…
Rudi bwana nimechoka kwenda uwanjani mwenyewe!
Bila shaka b... siku zote, wakati huwa unafika tu, ugumu ni kusubiri ufike, ila itafika tu hiyo siku ya kushuhudi pamoja midomo ikkfungwa. Lol

Ova
 
October anafaata kocha kijana
 
Bila shaka b... siku zote, wakati huwa unafika tu, ugumu ni kusubiri ufike, ila itafika tu hiyo siku ya kushuhudi pamoja midomo ikkfungwa. Lol

Ova
Umenipa wakati mgumu wa kuamua nireact vipi mjinga wewe, nimerudia kusoma kama mara 10!

Lakini b… kwanini unapenda kujipa shida? Kweli kwa Yanga hii tena imeboreshwa hatujapoteza key players kama msimu uliopita unaweka imani ya kutufunga?

Mi ndio maana nimekupa angalizo kabisa sitakupa pole tena, mna midomo sana nyie.
Hasa wewe.
 
Ubaya ubwela, muulizeni Julio awafundishe mpira ni nini.

View: https://youtu.be/Bj5y2yGqD7I?si=4QOn7FY6YcCQHskc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…