Galactico ni neno la Kihispania linalomaanisha 'galactic' kwenye soka hutumiwa kwa kuwaelezea nyota wa soka wenye vipaji vya soka vinavyoelezewa kama 'soka la dunia nyingine'.
Yaani soka ambalo siyo la kiwango cha wachezaji wengine wengi duniani. Kama Zinedine Zidane au Cristiano Ronaldo. Galactico huwa ni maarufu duniani kote kwani hununuliwa kwa hela nyingi za uhamisho.
Kwamba siyo kila ligi ina galactico wake, ila dunia ndiyo inao hao wachache. Na Real Madrid ndiyo inajivuna kwa kutengeneza kikosi cha galactico's kati ya hao wachache waliopo duniani.
Ova