Uber yasitisha huduma zake Tanzania, yazitaja nauli elekezi Latra kama sababu. Itarejea kanuni zikibadilishwa

Kuendelea Tanzania kwa maana ya mazingira ya ufanyaji biashara na uwezeshaji ni ngumu mno.

Vikwazo chungu mbovu! Asante sana UBER mlikomboa watu wa kupato kidogo wasiotumia taxi za kawaida.
 
1. Mwomba huduma sie anaepanda kwa chombo cha kusafiria, bali anamwombea rafiki/nduguu usafiri na kulipia...
Ukimudu kufanya biashara bongo inabidi upewe PhD.

BP alikuwa anataka standard ya kuuza mafuta mteja apate ubora, wabongo wanaagiza meli ya dizeli na ya mafuta taa wanamix wanauza bei chini KILA sehemu longolongo akaamua kuondoka.

Uber walipiga pesa mwanzoni kabla ya ujio wa kampuni zingine Taxify, Bolt, Indrive
 
Hatari sana ,utakuta kuna mtu kaingiza figisu zake ili afungue kampuni yake.
 
Huyu mama alifeli mapema sana. Ile hotuba yake ya kwanza aliposema...."mimi ndiye raisi na mimi ni mwanamke". Nilimuweka pembeni saa ileile.
Sasa mama atawaweza wabongo.
Wabongo wanataka Magu.

Ili la mtu kumuitia uber mtu mwingine muitaji si mpandaji, madereva sio aliyesajiliwa na chombo yaani kampa deiwaka.

Madereva Wana namna yao ya kucheza unapewa bei tofauti na uliyoomba ukosefu wa uaminifu.
 
Waende zao huko..., watatumia taxify
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…