Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Soon watatimka piaTutatumia Bolt
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soon watatimka piaTutatumia Bolt
Little RideSoon watatimka pia
Wao si wanasafiri na chopa ndiyo maana hawajali maumivu ya waTz.Tanzania bado kuna sera mbovu na rudia tena tanzania bado kuna sera mbovu...
[emoji205][emoji205][emoji205]
View attachment 2186739
Nami ngoja nijichange mkokoteni wangu nikaufunge gesi, system ya diesel nayo si wanafunga gesi?Uber 90 wamefunga gesi
Tutatumia Bolt
Soon watatimka pia
BalaaWakuu,
Usiku huu Uber wametuma ujumbe unaosomeka hivi...
😂😂😂😂😂😂Na wao wataondoka muendelee kupanda boda-boda zenu za kuita kwa mluzi.
Ukimudu kufanya biashara bongo inabidi upewe PhD.1. Mwomba huduma sie anaepanda kwa chombo cha kusafiria, bali anamwombea rafiki/nduguu usafiri na kulipia...
Tutatumia Bolt
Sawa, nendeni, Kuna Taxify (Bolt)
Sasa mama atawaweza wabongo.Huyu mama alifeli mapema sana. Ile hotuba yake ya kwanza aliposema...."mimi ndiye raisi na mimi ni mwanamke". Nilimuweka pembeni saa ileile.
Nikwambie you can't compete on the Same Market na Uber na Bolt, kama Uber wametoka sababu ya bei soon Maji tutaita MmaHatari sana ,utakuta kuna mtu kaingiza figisu zake ili afungue kampuni yake.
Waende zao huko..., watatumia taxifyWakuu,
Usiku huu Uber wametuma ujumbe unaosomeka hivi:
👇🏾
Huduma ambayo ilianza kama wazo tu — la kutumia simu yako kupata usafiri ndani ya dakika chache— Mfumo wa Uber umeenea duniani kote na zaidi ya safari milioni 15 hufanyika kila siku kupitia kwenye mfumo huu. Imekuwa ni heshima kubwa kupata nafasi ya kusaidia watu kupata usafiri duniani wanapofanya shughuli zao na kutangamana na watu wengine.
Lakini, maandalizi ni sehemu muhimu katika kufikia malengo ya siku za usoni.
Siku zote, lengo letu ni kuwa mshirika muhimu katika miji mbalimbali kwa kutoa usafiri wenye ufanisi, kutengeneza fursa za kiuchumi zinazowapa madereva uhuru wa kujiingizia kipato kwa muda wanaotaka wao na kuchangia katika mapato ya serikali. Na tumelisimamia lengo hili tangu tulipofungua milango yetu katika jiji la Dar es Salaam mwaka 2016.
Sera za usimamizi zinapaswa kuwa chachu wala sio kikwazo cha ubunifu
Tumefanya uamuzi mgumu wa kusitisha huduma zetu nchini Tanzania kuanzia Alhamisi ya Tarehe 14 Aprili 2022. Nauli elekezi iliyowekwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesababisha changamoto kubwa kwa mifumo kama Uber kuendelea kutoa huduma kwa wateja wetu. Inakua ngumu kwetu kuendelea kutoa huduma. Hatuta weza kutoa huduma mpaka pale mazingira yatakapo kua rafiki kwa sisi kuendelea kutoa huduma.
Kipaumbele Chetu: kuwasaidia Madereva Watanzania
Uamuzi huu umekuja baada ya mamlaka kuweka kanuni ambazo ni changamoto kubwa kwa mifumo kama Uber kuendesha biashara yake. Tutafanya kazi kwa karibu na madereva kwenye mpito huu.
Tuweke Wazi: Tungependa sana kuendelea kutoa huduma zetu nchini Tanzania
Nchi ya Tanzania kupitia Dira ya Maendeleo ya 2025 imedhamiria kujenga uchumi imara, anuwai, himilivu na shindani ambao unaendana na mabadiliko ya masoko na kiteknolojia kikanda na kimataifa. Tulitegemea kwamba hii ingejumuisha kujenga mazingira wezeshi ili biashara ya ndani na kimataifa inawiri katika njia nzuri na yenye usawa, lakini kwa bahati mbaya, hali ni kinyume na matarajio.
Tutarudi kuzindua huduma zetu mara tu kutakapokuwa na kanuni mpya.
Ingawa tumefunga huduma za UberX, UberXL na UberX Saver nchini Tanzania, tuko tayari kushirikiana na mamlaka husika katika kuunda kanuni ambazo zitawezesha teknolojia kunawiri, ili tuanze tena kutoa huduma zetu zinazopendwa na watu wengu.
Asante, Tanzania!
Request..Mbna inafungukaView attachment 2186727
Bodaboda si zipo…😁Wema itakuwaje sasa