Uber yasitisha huduma zake Tanzania, yazitaja nauli elekezi Latra kama sababu. Itarejea kanuni zikibadilishwa

kuna benki kadhaa kama crdb wanalipa uber kabla ya kufanya safari za staff wake kiofisi(yaani wanafanya prepaid) sijajua utaratibu wa kampuni hizoau benki hizo hasa baada ya kuona barua hiyo inacase bado wanadai
 
Bolt ana customer base ya kutosha. Pia madereva wa Uber wanakatwa Sana pia wapo strictly Sana kuliko Bolt na madereva wa kibongo hawapendi mambo yaliyonyooka wamekimbia wengine wamefungiwa. Foreigner akija bongo anaanza kutumia Uber akizoea anatumia Bolt kama wabongo wengine.
 
Tumepigwa tena na kitu kizito kichwani watanganyika![emoji31]

Uber ni bepari ... Bepari sifa yake ni uchoyo uliopitiliza(craving) anapenda mno kupokea lakini kutoa japo kidogo ni mchungu mno na anaumia mno..!

Sababu alizotoa Uber kufungasha virago baada ya MIAKA 6 ya kufanya biashara nchini naweza kusema ni nyepesi na za kijinga mno... Kapiga ndefu ndani ya miaka mitano ya bila kodi kama sheria inavyosema kwa wawekezaji wakubwa.. Huu ni mwaka wa sita anatakiwa sasa aoneshe hesabu zake kwa ujumla kama alipata faida ili aanze kulipa kodi stahiki sasa.. ANAKIMBIA[emoji35][emoji34]

Tumeliwa kwa miaka mitano mtu kaja na mkoba anaondoka na utajiri mkubwa.. Uber hayuko peke yake katumia udhaifu wa sheria ya kuvutia uwekezaji na wawekezaji kama wengine walivyofanya kwenye
Makampuni ya madini
Kwenye mahoteli makubwa nchini
Kwenye viwanda mbalimbali vya wageni
Kwenye uwekezaji wa kina aina..!

Tumeshuhudia kwa uchungu mno tangu enzi za Mkapa watu waki DECLARE LOSS baada ya miaka mitano ya uwekezaji lakini hapo hapo walichokisema hakina faida wakawauzia 'wenzao' (kumbe ni wenyewe) kisha nao wakapata msamaha wa miaka mitano.. Ndio maana kila baada ya miaka mitano makampuni yanabadili majina biashara inaanza upya..! Tunaliwa mpaka sehemu za aibu wallah[emoji35][emoji43]

Na haya yote yanafanyika kwa msaada wa wazawa wenyewe..watu wetu waliokosa uzalendo na uaminifu ... Lakini kama mamlaka zinaiba kura ili zibaki madarakani wao ni nani wasile kwa urefu wa kamba zao?? Tanganyika yangu iko mnadani

Uber sio pekee anayefanya biashara ya usafiri nchini.. Matatizo kwenye mamlaka ni kweli yapo mengi tu lakini hayajafikia kiwango cha sababu walizotoa uber
Wana gari almost mpya
Gari zao ni za cc ndogo sana
Gari zao karibia zote zimefungwa mfumo wa gesi
Wanawabana mno madereva
Kodi wanazolipa si halisi wanachakachua mno.. Leo wanasema wameshindwa phyuuu... Mtuhurumie jamanim..!

Na ukijua bado wanatatutamani wamesema kanuni zikirekebishwa watarejea ..[emoji23] ni wahuni sana hawa jamaa.. Wanajua wazi baada ya bunge la bajeti kupita kuna sheria na kanuni mbalimbali zitafanyiwa marekebisho.. Hapo ndipo wanaposubiri wapate kisingizio cha kurejea na kupata miaka mingjne mitano kama sheria ya kuvutia uwekezaji inavyotaka

Wangeweza kubadili jina kidogo tu wasingeondoka.. Lakini inaelekea huko jikoni magazijuto yaligoma maana jina lao ni brand world wide!.. Sasa hesabu zote zinafungwa waliopiga wamepiga kila mtu kwa urefu wa kamba yake!

Ninayemuonea huruma ni mtanganyika kwa hali zote kuanzia huduma muhimu za jamii mpaka future yake kama mwananchi.. Mimi wewe yule na sisi sote tunaoendelea kupigwa na vitu vizito kwa ghiliba za watawala na mapebari kupitia chama chawala...[emoji848][emoji2827]
 
Hata hivyo Wabongo wabahiri sana, unaweza kuona jamaa na suti yake amebanana kwenye daladala, hajali shombo linalotokana na wamama wanaokwenda kuuza samaki Kivukoni.....
Middle-class ni wachache na waliopo ni wabahiri kweli kweli hawapendi kutumia hela, uchumi hauwezi kukuzwa na ubahiri, unakuta mighahawa watu wanakunywa chai ya rangi wanaogopa bei ya yenye maziwa.....
Yote hii imesababishwa na ujamaa

==================================

US-based ride-hailing company, Uber, on Thursday suspended its operation in Tanzania after being in the country for six years.

Announcing the decision through a statement sent to customers nationwide, Uber said it has suspended operations until an agreement is reached with Tanzanian authorities.

“Current regulations in the transportation sector have created an environment that is not friendly and has been a challenge in our business,” the firm said.

It, however, did not state the exact conditions that make the business environment unfriendly.

“This is a difficult time for all of us, but this does not mean that it is the end of everything. We are ready to co-operate with the relevant authorities and reach [an] agreement that will create a stable environment for our business,” the statement says.

“We would like to take this opportunity to thank you sincerely - for choosing our app to make your trips within Dar es Salaam where we have been providing our services for the past six years.”
The Uber application is already operating in 80 countries of the world – 11 of them in Africa.

Uber has been providing transportation services in Tanzania through UberX, UberX Saver and UberXL services.
 
Huu uzi umetia uchungu mithili ya ule wa kujifungua
Mimi hii tumbo limenicheza
IMG-20220414-WA0084.jpg
 
Tumepigwa tena na kitu kizito kichwani watanganyika![emoji31]

Uber ni bepari ... Bepari sifa yake ni uchoyo uliopitiliza(craving) anapenda mno kupokea lakini kutoa japo kidogo ni mchungu mno na anaumia mno..!

Sababu alizotoa Uber kufungasha virago baada ya MIAKA 6 ya kufanya biashara nchini naweza kusema ni nyepesi na za kijinga mno... Kapiga ndefu ndani ya miaka mitano ya bila kodi kama sheria inavyosema kwa wawekezaji wakubwa.. Huu ni mwaka wa sita anatakiwa sasa aoneshe hesabu zake kwa ujumla kama alipata faida ili aanze kulipa kodi stahiki sasa.. ANAKIMBIA[emoji35][emoji34]

Tumeliwa kwa miaka mitano mtu kaja na mkoba anaondoka na utajiri mkubwa.. Uber hayuko peke yake katumia udhaifu wa sheria ya kuvutia uwekezaji na wawekezaji kama wengine walivyofanya kwenye
Makampuni ya madini
Kwenye mahoteli makubwa nchini
Kwenye viwanda mbalimbali vya wageni
Kwenye uwekezaji wa kina aina..!

Tumeshuhudia kwa uchungu mno tangu enzi za Mkapa watu waki DECLARE LOSS baada ya miaka mitano ya uwekezaji lakini hapo hapo walichokisema hakina faida wakawauzia 'wenzao' (kumbe ni wenyewe) kisha nao wakapata msamaha wa miaka mitano.. Ndio maana kila baada ya miaka mitano makampuni yanabadili majina biashara inaanza upya..! Tunaliwa mpaka sehemu za aibu wallah[emoji35][emoji43]

Na haya yote yanafanyika kwa msaada wa wazawa wenyewe..watu wetu waliokosa uzalendo na uaminifu ... Lakini kama mamlaka zinaiba kura ili zibaki madarakani wao ni nani wasile kwa urefu wa kamba zao?? Tanganyika yangu iko mnadani

Uber sio pekee anayefanya biashara ya usafiri nchini.. Matatizo kwenye mamlaka ni kweli yapo mengi tu lakini hayajafikia kiwango cha sababu walizotoa uber
Wana gari almost mpya
Gari zao ni za cc ndogo sana
Gari zao karibia zote zimefungwa mfumo wa gesi
Wanawabana mno madereva
Kodi wanazolipa si halisi wanachakachua mno.. Leo wanasema wameshindwa phyuuu... Mtuhurumie jamanim..!

Na ukijua bado wanatatutamani wamesema kanuni zikirekebishwa watarejea ..[emoji23] ni wahuni sana hawa jamaa.. Wanajua wazi baada ya bunge la bajeti kupita kuna sheria na kanuni mbalimbali zitafanyiwa marekebisho.. Hapo ndipo wanaposubiri wapate kisingizio cha kurejea na kupata miaka mingjne mitano kama sheria ya kuvutia uwekezaji inavyotaka

Wangeweza kubadili jina kidogo tu wasingeondoka.. Lakini inaelekea huko jikoni magazijuto yaligoma maana jina lao ni brand world wide!.. Sasa hesabu zote zinafungwa waliopiga wamepiga kila mtu kwa urefu wa kamba yake!

Ninayemuonea huruma ni mtanganyika kwa hali zote kuanzia huduma muhimu za jamii mpaka future yake kama mwananchi.. Mimi wewe yule na sisi sote tunaoendelea kupigwa na vitu vizito kwa ghiliba za watawala na mapebari kupitia chama chawala...[emoji848][emoji2827]
Mtoa mada umeona vyema. Lakini tufanye nini ili mambo kama haya yakomeshwe. Wapi tunakosea kiasi cha kuchezewa na wawekezaji uchwara?
 
Madereva wameandamana kushinikiza kampuni mtandao ziongeze nauli, Uber inasemekana kagoma kuongeza wakati huo kuna baadhi zimetii.

Leo unapomnanga Uber, jiulize upo upande wa madereva au abiria?
 
Back
Top Bottom