Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkubwa hii challenge nzito, maana angalau 3 kwa wiki.Angalau kila siku stori moja ya kijasusi . Tutakushukuru sana
Maybe kesho kutwa-, halafu tuanzishe Uzi mwingine au tuunganishe Humu Humu??naam pumzika kwanza
Miyeyusho ziko Humu zaidi ya 3 kazisomeLeta nyingine
Tuna subiri mkuu.Hakika!
Imebidi niingie YouTube kuna a documentary kuhusu Oleg naifuatilia. Nitaleta mrejesho!
Namaanisha mtu mwingine jasusi huyu tushammalizaMiyeyusho ziko Humu zaidi ya 3 kazisome
Namaanisha Kuna story za hivi, Nisha andika Humu.Namaanisha mtu mwingine jasusi huyu tushammaliza
Nitag nisome mkuu hizo zingine sijasomaNamaanisha Kuna story za hivi, Nisha andika Humu.
Labda niku tag ukasome
SawaNitag nisome mkuu hizo zingine sijasoma
humu humu tuendeleze uziMaybe kesho kutwa-, halafu tuanzishe Uzi mwingine au tuunganishe Humu Humu??
Sawa mkubwa,humu humu tuendeleze uzi
nitag na mimiNamaanisha Kuna story za hivi, Nisha andika Humu.
Labda niku tag ukasome
Poa bronitag na mimi
Mhh Ile emoji huwa naiogopa Sana, I just don't know why ui press na unajua ni funny tuWee bwana kuwa na amani 😂😂 nakasirikaje kitu kidogo hivyo isitoshe umekua ukiniita hivyo wala haina shida.
Hahaha, una jua ni ngumu kumu hukumu mtu kisa tu Ume jua Kama anaiba.Ktk hili KGB kdg ilizembea ,mtu walifanikiwa kumrudisha hm ili asiwakimbie lkn bado kawakimbia