Ubinafsi wa wazanzibar ulitokea wapi baada ya muungano wa Tanzania?

Mimi siku zote huwa najiuliza kwani muungano ni lazima hata kama hauna manufaa? Nchi ya Tanganyika irudishwe haraka alafu ndio tuongee sasa kama kuna haja ya kuungana
Aloo, tupo pamoja na hili, Bibi yangu wa Miaka ya 60's hana majibu ya kunitosheleza, yeye anadai alikuwa mdogo wakati wa Muungano huu, kwa kifupi tu hana majibu!
 
Nimegundua wew huwa Unapotosha sana. Nawashauri upuuzwe na udanganyifu wako.

Hao waasi wa Nigeria walisapotiwa kufanya nini?

Mpuuzeni huyu The Boss ukipata bando au kama una Netflix tizama haya hapa:This docuseries delves into the untold stories and unsung heroes that paved Nigeria's road to independence. Based on the books by host Olasupo Shasore. Starring: Olasupo Shasore
Au anzia hapa YouTube
 
Nimegundua wew huwa Unapotosha sana. Nawashauri upuuzwe na udanganyifu wako.

Hao waasi wa Nigeria walisapotiwa kufanya nini?
Kama napotosha mbona unaniuliza tena?wewe unaejua unaweza eleza sasa...ili Mimi nnae potosha nikae kimya
 
Rejea:
"... hatuwezi kuiacha Zanzibar ijitawale sababu Waislsmu wa itikadi kali wataweka makazi yao huko na kutuletea shida... " by William Lukuvi akiwa kanisani.
Vumilia yote ili azma hiyo ititimie.
Huyo ni mwongo,ht comoro ni kisiwa chenye waislam tu na kipo jiran na Tz na hakuna shida yoyote
 
Huu ni muungano wa kulazimishana, wananchi hatuutati muungano. Viongozi wanatumia mtutu wa bunduki kuulinda naamini ipo siku inakuja tutakapokiondoa CCM. Wananchi watapewa fursa ya kuamua kama wanataka huu muungano au hawautaki, na maoni yao kupitia kura ya maoni itaheshimiwa. Huu ndio muungano wa hovyo duniani, kila mtu ajitawale abaki na nchi yake. Kelele ziishe.
 
Zanzibar hawajawahi kuutaka huu Muungano. Na ndio mana hadi hii leo hawautaki. Ila watanganyika ndio wanaoutaka na kuung'ang'ania. Kwahiyo acheni kulalamika kinafik
Sio watanganyika ndio wanautaka ni viongoz wa CCM, sisi wananchi wengi hatuutaki
 
kwa kuongezea tu kuna 'declassified report' moja ya CIA kuhusu muungano waliandika ... Karume bado anadhani huu muungano utakuwa kama federation, na wamarekani wakashauri abaki na mawazo hayo. Na pia walikuwa wanaogopa Cuba isijeikamata Zanzibar kwa hivyo walikuwa wanampa pressure JKN ahimize muungano utokee.
 
Wewe ni kijana wa miaka ya themanini nini?

Hivi hujui kama Nyerere alisapoti uasi wa Ojukwu na kujitenga kwa jimbo la Biafra? Kachimbe zaidi historia ya bara la Afrika
 
hahaha...nishaongea sana juu ya huu muungano kwamba ni wa kitapeli
 
Hao wazanzibari wanafaidikaje na hizo rasilmali za Tanganyika?

Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni kijana wa miaka ya themanini nini?

Hivi hujui kama Nyerere alisapoti uasi wa Ojukwu na kujitenga kwa jimbo la Biafra? Kachimbe zaidi historia ya bara la Afrika
Kuwa kijana wa miaka ya themanini haimanishi sielewi TB alimaanisha nini.

Kiufupi amepotosha kama vile wewe unavyotaka kupotosha hapa.

Lets say Nyerere supported Emeka Ojukwu, What was the purpose of Nyerere doing so? To support the seccesion? Je ni kwa sababu gani na kwa malengo gani?

Hatahivyo hakuna kitu kama hicho, kwamba Mwalimu Nyerere ali wa sapoti kina Ojukwu. You do not have supportive evidence or any Sufficient information to support your claim.

Nyie mnataka kuweka Udini tu hapa, ndio sababu kuu za kumuingiza Mwalimu Nyerere(R.I.P) hapa.
 
Zanzibar hawajawahi kuutaka huu Muungano. Na ndio mana hadi hii leo hawautaki. Ila watanganyika ndio wanaoutaka na kuung'ang'ania. Kwahiyo acheni kulalamika kinafik
Zanzibar hawajawahi kuutaka muungano una uhakika? Rate ya uhamiaji kutoka Zanzibar kuja bara unaijua?
 
Sasa wewe unaniuliza mimi lengo lake la kumsupport Ojukwu, mbona umekuwa mjinga hivyo? Nimekwambia kasome vitabu na references unakuja kuniambia habari za udini, mimi nimezungumzia wapi kuhusu udini?


Intercontinental Book Centre - Chapter Nine: Tanzania Recognizes Biafra

 
Uvivu wa Maprofesa wetu wa sheria umesababisha haya.
Kwani katiba ilioruhusu Zanzibar kuwa na serikali yake kamili, huku Tanganyika ikiwa haina serikali nyingine yake yenyewe, kwanini katiba hio sasa ikaruhusu Mzanzibari kurithi Urais wa serikali hii badala ya siku zote kuishia umakamu wa Rais kwa ajili tu ya kulinda maslaha ya Zanzibar ndani ya Muungano?

Ikitokea kama kifo cha Rais wa Tanzania basi kipengele kingesema aliekuwa Waziri Mkuu au Jaji Mkuu, Speaker wa Bunge ashike Urais hadi Uchaguzi mkuu ujao. Mzenji akibaki nafasi yake kivulini ya umakamu ili alinde maslaha ya nchi yao Zenji.

Uvivu huu sasa ndio unaumiza forever, haya mambo yatapelekea vita na nchi za kiarabu. Na tutavwamiwa kinguvvu. Nipo paleee nanywa kahawa mie.
 
Zanzibar hawajawahi kuutaka muungano una uhakika? Rate ya uhamiaji kutoka Zanzibar kuja bara unaijua?
Hata hao wa juu kabisa hawautaki Muungano, hawaipendi CCM na hawataki kusikia maneno mawili: Tanzania na Nyerere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…