Nkaburu
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 1,638
- 1,961
Sasa wewe unaniuliza mimi lengo lake la kumsupport Ojukwu, mbona umekuwa mjinga hivyo? Nimekwambia kasome vitabu na references unakuja kuniambia habari za udini, mimi nimezungumzia wapi kuhusu udini?
Intercontinental Book Centre - Chapter Nine: Tanzania Recognizes Biafra
Mjinga ni wewe na Ukongwe wako.
Huyo tb amedai Nyerere alikuwa na agenda, na katika kusapoti madai yake amesema hata Makamu wa Raisi na Waziri Mkuu Mstaafu J.Sinde Warioba alikuwa anamshangaa,
Je, hayo ni ya kweli?
Wapi hapo katika historia yetu pameandikwa Kwamba Warioba alikuwa anamshangaa Nyerere na "agenda" zake?
Agenda ambazo huyu TB anadai Nyerere, nim quote hapa......
"Bahati mbaya hizo agenda zake hawezi ziweka wazi...
...na kutoa mifano, mifano kama
"Muungano"? Kweli hayo kwamba hiyo ilikuwa "agenda" ambayo haikuwa hadharani?
"kungoa reli mikoa ya Kusini"?
Je kwa sababu zipi mahususi?
"Kuzuia kilimo cha pamba mikoa ya kusini." ?
"Ku sapoti waasi Nigeria " kinyume na maazimio ya OAU...
**********
Kwanza kiuhalusia hakuwasapoti "waasi" kama unavyotaka kuaminisha hapa....ila Tanzania iliitambua Biafra kama Nchi huru hatahivyo waliowapa sapoti hao "waasi" kabla ya kujigawa ilikuwa ni Nchi za Magharibi.
Je nina weza vipi kutafsiri madai ya TB;
Kwamba Nyerere alikuwa na "Agenda za siri"
Kwamba Nyerere alikuwa ni Muasi
Kwamba Nyerere alishindwa ku heshimu Maazimio ya OAU au hata vyombo vingine kama hivyo!
Narudia wewe na huyo tb ni wapotoshaji, na sasa mmekuwa hodari.
Niwaulize Hizo ajenda mnazodai hazikuwekwa wazi ni zipi, nini kilikuwa chanzo cha mgogoro wa Biafra?
Sasa mje na uwongo upotoshaji, na ukafir wenu tena.