Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NINASEMA TENA KWENYE KUBINAFSISHA, MKAPA WAS RIGHT 100%, SHIVJI NA WENZAKE SHOULD APOLOGIZE KWA KUMSHAMBULIA MKAPA BILA SABABU KWENYE KIGODA!
William.
-
Heshima mbele sana Wakuu wote JF, juzi nimeangalia kwa mshangao mkubwa sana the so called wasomi wetu wakiongozwa na Shivji, wakimshambulia Rais mstaafu Mkapa, kuhusu Ubinafsishaji, I mean let me say this:-
- Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake apewe, sijawahi kuwa a big fan wa siasa za Mkapa, lakini this one I must say with my clear mind kwamba he was 100% right, Shivji na wenzake wako not only wrong isipokuwa ni professionals cying babies, wamezoea kila Awamu huwapa ujumbe wa bodi na kamati kamati za mlo, sasa ikitokea aawamu kama ya Mkapa ikawanyima mlo, basi huanza kuiandama ile Awamu wee na vilio vyao vya machozi ya mamba, kumbe ni waongo wakubwa!
- Mkapa was right kubinfsisha kwa the FACT ya kuyaondoa mashirika na viwanda vilivyokuwa vimeathirika na utawala unaofuata siasa za sera zilizoshindwa za Azimio la Arusha, utawala ulikuwa mbovu na uliokufa. Ili kujenga uchumi imara unahitaji kuwa na Capital, Markets, na Leadership, ambavyo vyote havikuwepo under mfumo wa Azimio la Arusha tulilokuwa nalo then, ambalo haliwa freindly na wageni kuja kuwekeza, kwa hiyo ilikuwa ni sawa kwa Mkapa, kuyauza na mengine kuwauzia wazawa ili yaweze kusimama na kuendelea tena. In the process Mkapa alibinafsisha mashirika na viwanda 330, 180 aliwauzia wazawa ambayo ni more than 50%, 23 tu aliwauzia wageni na 127 alitoa kwa ubia wa wageni na wazawa, matokeo yamekuwa Serikali kukusanya Shillingi Billioni 250 kwa mwezi kwa mashirika machache tu kama NBC, CRDB, TCC, na TBL as opposed to Shillingi Billion 10 tu zilizokuwa zikikusanywa kabla ya Mkapa kubinafsisha.
- It is about time sasa Shivji na wenzake wakajitokeza kwenye nafasi za uongozi wa taifa ili tuone uwezo wao wa kufikiri kuliko kulia lia kwa kila awamu. Ni lini watajikita kwenye kutoa solutions badala ya kulaumu tu kila siku kwa sababu ya kukosa mlo? I mean hili taifa wengine tumechoshwa sana na hawa crying babies wasiokuwa na jipya zaidi tu ya kulilia defeated theories ambazo tumezijaribu na zimtufikisha hapa tulipo pabaya sana hili taifa.
NINASEMA TENA KWENYE KUBINAFSISHA, MKAPA WAS RIGHT 100%, SHIVJI NA WENZAKE SHOULD APOLOGIZE KWA KUMSHAMBULIA MKAPA BILA SABABU KWENYE KIGODA!
William.
-
Tatizo Mkuu unashindwa kutofautisha mambo . Hata Nyerere mweneywe alijua na alikubali kuwa ubinafisaji wa njia fulani ni muhimu.
Wanachsema na kupigia kelele kina SHIVJI sio ubinafisaji pekee bali ni utaratibu wa ubinafishaji TBL kiwanda cha pombe ndio moja ya mifano inayotumika kuoyesha uznuri wa Ubinfassishaji
Lakni vipi viwawada kama mfano vya kusindikiza ngozi (Mwanza Tanneries,Morogoro Tannnriesetc ) amabvyo
- vimeuzwa kwa bei chee
- Waliovinunua kwa mgongo wa ubinifsiahaji wametumia kupata mikopo tena humu humu nchini na hawajaviendeleza wamefanya maghala
- Vingine ndio vimetumia hata kwenye Kagoda
Ubinafsishaji haikuwa kosa . Kosa lingine ni conflict of interest. Pale wale wanaobinafisha wanataka wawe na "Hisa" Kwenye vitu wanavyouza.
Yaani umempa mkapa 100% umesahau japo kuondoa 10% ya Kiwira ?????!!!!!!! Ebu Tuambie Mkapa alikuwa sawa kujiuzia Kiwira.
- Usingeweza kukopeshwa Capital wakati huna uchumi, Soviet walishaanguka so hawakuwa tena na nguvu ya kusaidia anybody, mengine ni ya kawaida mtu anapokuwa hana hoja si unajua who you are dealing with by now right!
William.
- Kiwanda cha TBL kilikuwa kikiendeshwa kwa hasara, kodi ilikuwa Sillingi Billioni 1 tu kulinganisha na baada ya kuuzwa kinatoa kodi ya karibu Shillingi Billioni 40 kwa mwezi, Kiwira naomba uniambie ipi bora kujiuzia yeye na kutoa ajira na kodi kwa taifa au sasa kurudi kwenye serikali na kukaa bila kazi wala faida?
William.
kama bado unatetea huu upuuzi, sasa tuambie nini mafanikio ya hicho alichofanya Mkapa katika uchumi wa Tanzania?
Kiwanda cha bia TBL na kiwanda cha sigara havijawahi kuendeshwa kwa hasara. Actually hata kuna wakati Mwalimu alisema kuwa serikali ilikuwa inategemea zaidi kiwanda cha bia kwa fedha za matumizi yake. Tatizo la kiwanda cha bia lilikuwa ni management na si hasara. Bia ilikuwa haiivi na supply ilikuwa haikidhi demand. Actually walichofanya Makaburu baada ya akina Mwinyi kuwauzia ni wali flood soko la bia Tanzania na bia zao Castle, na hapo ndipo walipopata fedha za kukarabati mitambo ya TBL. Kaburu hakuweka hata senti tano ya Afrika kusini katika TBL wakati wa ubinafsishaji. Hii inaonyesha jinsi soko la bia Tanzania lilivyokuwa kubwa. Hata kama kilitoa kodi ya bilioni moja wakati huo. Hakikuendeshwa kwa hasara na kilisaidia kuendeshea matumizi ya serikali na faida ilikuwa inaingizwa serikalini.- Kiwanda cha TBL kilikuwa kikiendeshwa kwa hasara, kodi ilikuwa Sillingi Billioni 1 tu kulinganisha na baada ya kuuzwa kinatoa kodi ya karibu Shillingi Billioni 40 kwa mwezi, Kiwira naomba uniambie ipi bora kujiuzia yeye na kutoa ajira na kodi kwa taifa au sasa kurudi kwenye serikali na kukaa bila kazi wala faida?
William.
- Mimi ninasoma namuona mtu anaandika bila kusoma, ninampotezea maana nikimjibu wenye akili watashangaa sana!
William.
- Kiwanda cha TBL kilikuwa kikiendeshwa kwa hasara, kodi ilikuwa Sillingi Billioni 1 tu kulinganisha na baada ya kuuzwa kinatoa kodi ya karibu Shillingi Billioni 40 kwa mwezi, Kiwira naomba uniambie ipi bora kujiuzia yeye na kutoa ajira na kodi kwa taifa au sasa kurudi kwenye serikali na kukaa bila kazi wala faida?
William.
Heshima mbele sana Wakuu wote JF, juzi nimeangalia kwa mshangao mkubwa sana the so called wasomi wetu wakiongozwa na Shivji, wakimshambulia Rais mstaafu Mkapa, kuhusu Ubinafsishaji, I mean let me say this:-
- Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake apewe, sijawahi kuwa a big fan wa siasa za Mkapa, lakini this one I must say with my clear mind kwamba he was 100% right, Shivji na wenzake wako not only wrong isipokuwa ni professionals cying babies, wamezoea kila Awamu huwapa ujumbe wa bodi na kamati kamati za mlo, sasa ikitokea aawamu kama ya Mkapa ikawanyima mlo, basi huanza kuiandama ile Awamu wee na vilio vyao vya machozi ya mamba, kumbe ni waongo wakubwa!
- Mkapa was right kubinfsisha kwa the FACT ya kuyaondoa mashirika na viwanda vilivyokuwa vimeathirika na utawala unaofuata siasa za sera zilizoshindwa za Azimio la Arusha, utawala ulikuwa mbovu na uliokufa. Ili kujenga uchumi imara unahitaji kuwa na Capital, Markets, na Leadership, ambavyo vyote havikuwepo under mfumo wa Azimio la Arusha tulilokuwa nalo then, ambalo haliwa freindly na wageni kuja kuwekeza, kwa hiyo ilikuwa ni sawa kwa Mkapa, kuyauza na mengine kuwauzia wazawa ili yaweze kusimama na kuendelea tena. In the process Mkapa alibinafsisha mashirika na viwanda 330, 180 aliwauzia wazawa ambayo ni more than 50%, 23 tu aliwauzia wageni na 127 alitoa kwa ubia wa wageni na wazawa, matokeo yamekuwa Serikali kukusanya Shillingi Billioni 250 kwa mwezi kwa mashirika machache tu kama NBC, CRDB, TCC, na TBL as opposed to Shillingi Billion 10 tu zilizokuwa zikikusanywa kabla ya Mkapa kubinafsisha.
- It is about time sasa Shivji na wenzake wakajitokeza kwenye nafasi za uongozi wa taifa ili tuone uwezo wao wa kufikiri kuliko kulia lia kwa kila awamu. Ni lini watajikita kwenye kutoa solutions badala ya kulaumu tu kila siku kwa sababu ya kukosa mlo? I mean hili taifa wengine tumechoshwa sana na hawa crying babies wasiokuwa na jipya zaidi tu ya kulilia defeated theories ambazo tumezijaribu na zimtufikisha hapa tulipo pabaya sana hili taifa.
NINASEMA TENA KWENYE KUBINAFSISHA, MKAPA WAS RIGHT 100%, SHIVJI NA WENZAKE SHOULD APOLOGIZE KWA KUMSHAMBULIA MKAPA BILA SABABU KWENYE KIGODA!
William.
-
Kimsingi nakubaliana na wewe mkuu kwamba ubinafsishaji ulikuwa sahihi. Lakini nionavyo mimi tatizo lilikuwa kwamba kulikuwa na element ya wizi na mtandao wa wizi mkubwa tu which came with the whole idea of privatisation. Kama hawa watu-Mkapa and co wangekuwa really genuine na kufuatilia the whole issue closely then tusingekuwa na matatizo yaliyopo lakini ilikuwa ni wizi uliojificha na ndio maana yameibuka matatizo ambayo ni lazima yatokee tu kutokana na hawa jamaa kuwa dishonest!! So kama viongozi wenyewe ni wezi unategemea nini kutoka kwa watu wengine? Si watakuwa hivyo hivyo tu na kuishia kula na hao hao viongozi na kuifikisha nchi pabaya kama ilivyo sasa? Hawa watu wasingekuwa wezi tusingekuwa na hali tuliyonayo. Wanaiba and yet wako mitaani wanatesa na kutubeza kama vile they were born into a royal family of some sort. And they don't care at all!!! Their days are numbered and the medicine is boiling in the kitchen ready to treat these cancerous creatures as they can not heal themselves! Sasa jamaa (Che Nkapa) alivoona anasakamwa pale kigodani akaja kwa hasira na swali "kwani toka 2005 kuna kiwanda gani kimeanzishwa?"