Ubinafsishaji: Mkapa alikosea?

Ubinafsishaji: Mkapa alikosea?

Mkapa alisubiri Nyerere Kafa akagawa NBC kwa Makaburu usifikiri hatujui Mkuu
 
Akasubiri Nyerere Kufa AKAJIBINAFSISHIA KIWIRA bwa ha ha haaa
 
Nilimuona Mkapa akilia Baada ya Kubanwa juu ya Sera zake Mbovu za "UGAWAJI" Alizoziita "UBINAFSISHAJI"
 
Uchambuzi wako ni wa jumla sana. Hebu usiishie tu kusema hatukuwa na mitaji, masoko na uongozi. Ni matusi kusema kuwa hatukuweza kutafuta mitaji ya kuinua uzalishaji sukari, hatukuwa na soko la sukari (sasa kuna sukari hata kutokoa nje, ni soko hili hili unalizungumzia??) na eti hatukuwa na uongozi. This is an insult!! Kumekuwa na professionals toka enzi za uhuru!!

Hebu toa takwimu (statistics) za vitu unavosema. Haitoshi kusema alikuwa sahihi 100%. Toa takwimu za usahihi wake ukiinganisha na malengo na matarajio. Kufanikiwa asilimia 10% au 20% si kitu cha kushangilia. Sema difference ya ubinafsishaji imekuwa na ukubwa gani.

It's no time for sentiments and emotions, provide data!
 
Tuweke record sahihi:

Katika kumbukumbu zangu sijawahi kusikia Prof. Shivji ameteuliwa kuwa Mwenyekiti au Mjumbe wa Bodi ya Mashirika ya Umma. Kama kuna mtu anafahamu, then naomba atuwekee hapa ili asije kubebeshwa mzigo ambao si wake.

Prof. Shivji hakuwahi kuiva na Nyerere, japo kuna mambo mengi ambayo alikuwa anakubaliana nae. Kosa la kwanza la Shivji ilikuwa ni claim kwamba Tanzania kuna Classes pale alipoandika "Silent Class Struggles in Tanzania". Nyerere alijua kwamba anajenga nchi isiyo na matabaka, lakini Shivji alipinga wazi. Utetezi wake ni kwamba that was an academic paper na haihusiani na mambo ya siasa.

Utawala wa Mwinyi, sikusikia Shivji akipewa uongozi, na hata awamu ya Mkapa ndiyo kabisa.

Kwa hiyo sikubaliani na hoja kwamba Shivji anampinga Mkapa kwa kuwa alinyimwa ulaji.
 
NINASEMA TENA KWENYE KUBINAFSISHA, MKAPA WAS RIGHT 100%, SHIVJI NA WENZAKE SHOULD APOLOGIZE KWA KUMSHAMBULIA MKAPA BILA SABABU KWENYE KIGODA!

William.

-

Tatizo Mkuu unashindwa kutofautisha mambo . Hata Nyerere mweneywe alijua na alikubali kuwa ubinafisaji wa njia fulani ni muhimu.

Wanachsema na kupigia kelele kina SHIVJI sio ubinafisaji pekee bali ni utaratibu wa ubinafishaji TBL kiwanda cha pombe ndio moja ya mifano inayotumika kuoyesha uznuri wa Ubinfassishaji

Lakni vipi viwawada kama mfano vya kusindikiza ngozi (Mwanza Tanneries,Morogoro Tannnriesetc ) amabvyo
  • vimeuzwa kwa bei chee
  • Waliovinunua kwa mgongo wa ubinifsiahaji wametumia kupata mikopo tena humu humu nchini na hawajaviendeleza wamefanya maghala
  • Vingine ndio vimetumia hata kwenye Kagoda

Ubinafsishaji haikuwa kosa . Kosa lingine ni conflict of interest. Pale wale wanaobinafisha wanataka wawe na "Hisa" Kwenye vitu wanavyouza.

Yaani umempa mkapa 100% umesahau japo kuondoa 10% ya Kiwira ?????!!!!!!! Ebu Tuambie Mkapa alikuwa sawa kujiuzia Kiwira.
 
wewe bwana william kiukweli unamatatizo ya kifikra,nadhani unahitaji uachane na mambo ya siasa na uendelee na maswala ya ubaharia nayasema haya kutoka moyoni kabisa.

sera ya ubinafsishaji ilikuja kutoka nje na hili lilikuwa ni shinikizo kutoka mashirika ya kipesa duniani,
tanzania pasi hata kujiandaa na sera hii tuliamuwa kuipokea kichwakichwa na kufanya uuzaji wa mashirika ya umma na si ubinafsishaji tena.

Tanzania tulikuwa na viwanda 12 vya kubangua korosho kabla ya ubinafsishaji,lakini kwa sasa ni kiwanda kimoja tu ndicho kinafanya kazi na 11 vimegeuzwa ni matunzio ya wanyama

Tanzania hatukutakiwa kuuza viwanda,bali serikali ilitakiwa kushiriki ktk uwekezaji huo kwa kumiliki hisa kama walivyo fanya Zimbambwe na hata uchina.
tulikuwa na viwanda pale Tanga na morogoro wakati huo wa azimio la arusha,lakini baada ya kuviuza viwanda hivyo,kwa tanga baadhi vimekufa na watu kukosa ajira na morogoro baadhi vimebadirishwa matumizi na havifanyi kazi

vile vya tumbaku viliuzwa kwa wa USA wakati haohao wa USA kule Zimbambwe kiwanda kama hicho cha tumbaku hawakuuziwa bali serikali ya zimbambwe nayo inamilika hisa.

vile vya miwa kilombero na mtibwa inajulikana nani mmiliki hata wewe unawaelewa,haiingii kichwani kwanini serikali ilishindwa kumili viwamda hivyo wakti baada ya kujiuzia baadhi ya viwanda vimedumu hadi leo hii,kama vingekuwa havina faida nadhani wasingejiuzia

william

nina mengi sana lakini nashindwa kuyaweka kwani nakuona bado uu mdogo sana ktk mambo ya kisiasa,historia na hata uchumi unatakiwa ukae chini usome zaidi,na si kusoma tu yakupasa uelewe pia

unajua bwana,umenikumbusha ile sera ya MCKENZIE kutoka USA aliykuja Tanzania na kuishauri serikali iwapunguze wafanya kazi wake kuepusha gharama,tukachukua wazo,bila kujiandaa,mwisho wa siku tukajikuta tumepunguza wasomi wetu na hatukuajipa nafasi ya kufikiria madhara ya mda mrefu.

nalifananisha hilo la MCKENZIE na hili la uuzaji wa viwanda vyetu.hatukujipa nafasi ya kujiandaa na kuweka njia sahihi ama mipango sahii ya jinsi tutakavyo binafsisha viwanda vyetu

hivi william nini maana ya kubinafsisha?
 
Heshima mbele sana Wakuu wote JF, juzi nimeangalia kwa mshangao mkubwa sana the so called wasomi wetu wakiongozwa na Shivji, wakimshambulia Rais mstaafu Mkapa, kuhusu Ubinafsishaji, I mean let me say this:-

- Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake apewe, sijawahi kuwa a big fan wa siasa za Mkapa, lakini this one I must say with my clear mind kwamba he was 100% right, Shivji na wenzake wako not only wrong isipokuwa ni professionals cying babies, wamezoea kila Awamu huwapa ujumbe wa bodi na kamati kamati za mlo, sasa ikitokea aawamu kama ya Mkapa ikawanyima mlo, basi huanza kuiandama ile Awamu wee na vilio vyao vya machozi ya mamba, kumbe ni waongo wakubwa!

- Mkapa was right kubinfsisha kwa the FACT ya kuyaondoa mashirika na viwanda vilivyokuwa vimeathirika na utawala unaofuata siasa za sera zilizoshindwa za Azimio la Arusha, utawala ulikuwa mbovu na uliokufa. Ili kujenga uchumi imara unahitaji kuwa na Capital, Markets, na Leadership, ambavyo vyote havikuwepo under mfumo wa Azimio la Arusha tulilokuwa nalo then, ambalo haliwa freindly na wageni kuja kuwekeza, kwa hiyo ilikuwa ni sawa kwa Mkapa, kuyauza na mengine kuwauzia wazawa ili yaweze kusimama na kuendelea tena. In the process Mkapa alibinafsisha mashirika na viwanda 330, 180 aliwauzia wazawa ambayo ni more than 50%, 23 tu aliwauzia wageni na 127 alitoa kwa ubia wa wageni na wazawa, matokeo yamekuwa Serikali kukusanya Shillingi Billioni 250 kwa mwezi kwa mashirika machache tu kama NBC, CRDB, TCC, na TBL as opposed to Shillingi Billion 10 tu zilizokuwa zikikusanywa kabla ya Mkapa kubinafsisha.

- It is about time sasa Shivji na wenzake wakajitokeza kwenye nafasi za uongozi wa taifa ili tuone uwezo wao wa kufikiri kuliko kulia lia kwa kila awamu. Ni lini watajikita kwenye kutoa solutions badala ya kulaumu tu kila siku kwa sababu ya kukosa mlo? I mean hili taifa wengine tumechoshwa sana na hawa crying babies wasiokuwa na jipya zaidi tu ya kulilia defeated theories ambazo tumezijaribu na zimtufikisha hapa tulipo pabaya sana hili taifa.

NINASEMA TENA KWENYE KUBINAFSISHA, MKAPA WAS RIGHT 100%, SHIVJI NA WENZAKE SHOULD APOLOGIZE KWA KUMSHAMBULIA MKAPA BILA SABABU KWENYE KIGODA!

William.

-

Nilifikiri una exposure na angalao elimu hivyo ungeweza kutueleza kwa kina ni kwa jinsi gani Mkapa alikuwa right 100%, na badala yake umeishia kutuletea figure za ku-cut and paste kutoka kwenye hoja za Mkapa. Umekuwa wa jumla jumla na bila kuelezea impact za hizo ubinafsishaji katika uchumi wetu. Unageneralize issues as usual kama wazee wa CCM. Sasa nimefarijika kwasababu ya wewe kukosa ubunge wa EAC, kwani kuna wanatakiwa wenye uelewa wa issues na siyo mbumbumbu wa masuala ya ubinafsishaji kama ulivyo sasa. Pia lazima ukumbuke kule watu wanakwenda kujenga hoja based on Issues na siyo kwenda kuongea kuongea umbea kisa unaongea Kiingereza.

Umenibore sana kwa argument zako, kwani nyinyi ndiyo mnaoishia kuuza nchi kama wanavyofanya wenzako mdani ya serikali na chama. Nilitegemea umejiandaa lkn mmmmmmmmmh, yaani tofauti yako wewe na Lusinde hata sioni.

Vipi, what is your area of competency? may be is not about trade and privatization.
 
Mkuu nyamaza kimyaa watu tuna machungu na sera za kupe huyo
 
Tatizo Mkuu unashindwa kutofautisha mambo . Hata Nyerere mweneywe alijua na alikubali kuwa ubinafisaji wa njia fulani ni muhimu.

Wanachsema na kupigia kelele kina SHIVJI sio ubinafisaji pekee bali ni utaratibu wa ubinafishaji TBL kiwanda cha pombe ndio moja ya mifano inayotumika kuoyesha uznuri wa Ubinfassishaji

Lakni vipi viwawada kama mfano vya kusindikiza ngozi (Mwanza Tanneries,Morogoro Tannnriesetc ) amabvyo
  • vimeuzwa kwa bei chee
  • Waliovinunua kwa mgongo wa ubinifsiahaji wametumia kupata mikopo tena humu humu nchini na hawajaviendeleza wamefanya maghala
  • Vingine ndio vimetumia hata kwenye Kagoda

Ubinafsishaji haikuwa kosa . Kosa lingine ni conflict of interest. Pale wale wanaobinafisha wanataka wawe na "Hisa" Kwenye vitu wanavyouza.

Yaani umempa mkapa 100% umesahau japo kuondoa 10% ya Kiwira ?????!!!!!!! Ebu Tuambie Mkapa alikuwa sawa kujiuzia Kiwira.

- Kiwanda cha TBL kilikuwa kikiendeshwa kwa hasara, kodi ilikuwa Sillingi Billioni 1 tu kulinganisha na baada ya kuuzwa kinatoa kodi ya karibu Shillingi Billioni 40 kwa mwezi, Kiwira naomba uniambie ipi bora kujiuzia yeye na kutoa ajira na kodi kwa taifa au sasa kurudi kwenye serikali na kukaa bila kazi wala faida?

William.
 
- Usingeweza kukopeshwa Capital wakati huna uchumi, Soviet walishaanguka so hawakuwa tena na nguvu ya kusaidia anybody, mengine ni ya kawaida mtu anapokuwa hana hoja si unajua who you are dealing with by now right!

William.

kama bado unatetea huu upuuzi, sasa tuambie nini mafanikio ya hicho alichofanya Mkapa katika uchumi wa Tanzania?
 
William J. Malecela....

KUna kitu kimoja tunaambiwa kila siku kwamba when you plan something, always wend mawazo yako kwenye mwisho wa initiative, aangalia watakani, wafikaje huko na pia una nini

If the unbinafsishaji ulikua right, basi ungekuja na preparations na sio kukurupuka; nafananisha habari yako na kile kisa cha abunuwasi ambaye baada ya kushiba sana, alikwenda kufukia chakula kilichobaki akiamini kwamba hataumwa njaa tena

Hebu tukutane pale Tanganyika Packers ili tuongee tukiwa kwenye moja ya sites zilizoathiriwa na unplanned privatization

MY ADVICE, FOR THE Nth TIME.... SOMA WILLIAM, HATA KAMA HAIKUA CULTURE YAKO BEFORE RETURNING HOME, KUBWABWAJA BILA UPEO NI NGUMU MKUU
 
- Kiwanda cha TBL kilikuwa kikiendeshwa kwa hasara, kodi ilikuwa Sillingi Billioni 1 tu kulinganisha na baada ya kuuzwa kinatoa kodi ya karibu Shillingi Billioni 40 kwa mwezi, Kiwira naomba uniambie ipi bora kujiuzia yeye na kutoa ajira na kodi kwa taifa au sasa kurudi kwenye serikali na kukaa bila kazi wala faida?

William.

Sio Kujiuzia ni Kujipa
 
kama bado unatetea huu upuuzi, sasa tuambie nini mafanikio ya hicho alichofanya Mkapa katika uchumi wa Tanzania?

- Leo Serikali inakusanya Shillingi Billioni 250 za kodi kwa mwezi kutoka mashirika manne tu CRDB, NBC, TBL na TCC as opposed na zile Shillingi Billioni 10 tu, kabla ya kubinafsishwa!

William.
 
- Kiwanda cha TBL kilikuwa kikiendeshwa kwa hasara, kodi ilikuwa Sillingi Billioni 1 tu kulinganisha na baada ya kuuzwa kinatoa kodi ya karibu Shillingi Billioni 40 kwa mwezi, Kiwira naomba uniambie ipi bora kujiuzia yeye na kutoa ajira na kodi kwa taifa au sasa kurudi kwenye serikali na kukaa bila kazi wala faida?
William.
Kiwanda cha bia TBL na kiwanda cha sigara havijawahi kuendeshwa kwa hasara. Actually hata kuna wakati Mwalimu alisema kuwa serikali ilikuwa inategemea zaidi kiwanda cha bia kwa fedha za matumizi yake. Tatizo la kiwanda cha bia lilikuwa ni management na si hasara. Bia ilikuwa haiivi na supply ilikuwa haikidhi demand. Actually walichofanya Makaburu baada ya akina Mwinyi kuwauzia ni wali flood soko la bia Tanzania na bia zao Castle, na hapo ndipo walipopata fedha za kukarabati mitambo ya TBL. Kaburu hakuweka hata senti tano ya Afrika kusini katika TBL wakati wa ubinafsishaji. Hii inaonyesha jinsi soko la bia Tanzania lilivyokuwa kubwa. Hata kama kilitoa kodi ya bilioni moja wakati huo. Hakikuendeshwa kwa hasara na kilisaidia kuendeshea matumizi ya serikali na faida ilikuwa inaingizwa serikalini.

Eniwei, umeshakumbatia uwekezaji na ubinafsishaji sitaki kukuondoa huko. Lakini ukweli hubaki pale pale.
 
- Mimi ninasoma namuona mtu anaandika bila kusoma, ninampotezea maana nikimjibu wenye akili watashangaa sana!

William.

Sina cha kuongeza mkuu maana umenijibu, na it is simple and clear.... you are not ready, you are a sorry dude flipping around desperately kupayuka mada ambazo hujafanyia research za kutosha

One can understand situation yako mkuu, umehonga ukaliwa pesa na ukashindwa; unajaribu kutafuta mileage kwenye platforms za kisiasa, ila huna upeo; umeishia kuchanganyikiwa na kuzidi kufunga macho na masikio lakini unataka watu wakusome na kukuelewa

KWA JINSI ULIVYOKUJA NA KASI YA KUANZISHA THREAD, UNAKARIBIA KUFANANANA NA MALARIA SUGU, ALIKUA NAYE ANAKUJA NA HOJA HIVIHIVI, UBISHI, HOJA JUU-JUU NA MAJIBU YALIYOPELEA

ALL THE BEST
 
Naona mkuu umeamua kuja kivingine sasa..!
Nadhani Professor Shivji hakuwa anapinga sera za ubinafsishaji.. Kikubwa ni (na ambacho hata Mkapa mwenyewe alikiri na kujivua lawama) ufuatiliaji wa hivyo viwanda na mashirika yalivyouzwa.. Jee wanunuzi waliviendeleza kwa mikataba ile waliokubalina na serikali..? Na jee serikali ilifuatilia kujua viwanda walivyoviuza vinatumika kama mkataba unavyosema..? Na suala jingine ni uuzwaji wa bei za kutupa za viwanda, mashirika ya umma na mabenki..
Cijui unajaribu kutengeneza au ku-achieve nini kwa ur last 2 posts bt ushauri mdogo tu.. angalia zicije zika-backfire na kukuharibia huko mbele ya safari..
 
- Kiwanda cha TBL kilikuwa kikiendeshwa kwa hasara, kodi ilikuwa Sillingi Billioni 1 tu kulinganisha na baada ya kuuzwa kinatoa kodi ya karibu Shillingi Billioni 40 kwa mwezi, Kiwira naomba uniambie ipi bora kujiuzia yeye na kutoa ajira na kodi kwa taifa au sasa kurudi kwenye serikali na kukaa bila kazi wala faida?

William.

nilicho kuja kukigundua ni kwamba hawakutaka kuvisimamia viwanda vyetu ili iwawie rahisi kujiuzia,maana ktk hivyo wanavyomiliki usimamizi wake ni wa hali ya juu,tofauti na ilivyokuwa mwanzo

angalia kapunga,dakawa,yaani ukienda dakawa unaweza kulia,nyerere alitaka eneo lile liwe la utafiti akajenga chuo na kunamajengo mazuri sana,akatengeneza shamba na vifaa vyote vya kilimo vikawekwa pale,lakini mwisho wa siku wanasiasa wakabadirisha matumizi,wakauziana na mwisho wa siku wakataka kupanda jatropha kapunga eneo ambalo lilikuwa likizarisha mpunga na kuwalisha hadi wachina(naima hili hulijui waulize wazee wakueleze kuwa tanzania tuliwahi peleka chakula cha msaada china kutoka kapunga na dakawa),lakini sasa hivi ndio hao watatu duniani kwa kuomba omba

william hizi post usiwe unazileta ni kubwa sana kwako ktk kuzitengenezea hoja
 
Heshima mbele sana Wakuu wote JF, juzi nimeangalia kwa mshangao mkubwa sana the so called wasomi wetu wakiongozwa na Shivji, wakimshambulia Rais mstaafu Mkapa, kuhusu Ubinafsishaji, I mean let me say this:-

- Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake apewe, sijawahi kuwa a big fan wa siasa za Mkapa, lakini this one I must say with my clear mind kwamba he was 100% right, Shivji na wenzake wako not only wrong isipokuwa ni professionals cying babies, wamezoea kila Awamu huwapa ujumbe wa bodi na kamati kamati za mlo, sasa ikitokea aawamu kama ya Mkapa ikawanyima mlo, basi huanza kuiandama ile Awamu wee na vilio vyao vya machozi ya mamba, kumbe ni waongo wakubwa!

- Mkapa was right kubinfsisha kwa the FACT ya kuyaondoa mashirika na viwanda vilivyokuwa vimeathirika na utawala unaofuata siasa za sera zilizoshindwa za Azimio la Arusha, utawala ulikuwa mbovu na uliokufa. Ili kujenga uchumi imara unahitaji kuwa na Capital, Markets, na Leadership, ambavyo vyote havikuwepo under mfumo wa Azimio la Arusha tulilokuwa nalo then, ambalo haliwa freindly na wageni kuja kuwekeza, kwa hiyo ilikuwa ni sawa kwa Mkapa, kuyauza na mengine kuwauzia wazawa ili yaweze kusimama na kuendelea tena. In the process Mkapa alibinafsisha mashirika na viwanda 330, 180 aliwauzia wazawa ambayo ni more than 50%, 23 tu aliwauzia wageni na 127 alitoa kwa ubia wa wageni na wazawa, matokeo yamekuwa Serikali kukusanya Shillingi Billioni 250 kwa mwezi kwa mashirika machache tu kama NBC, CRDB, TCC, na TBL as opposed to Shillingi Billion 10 tu zilizokuwa zikikusanywa kabla ya Mkapa kubinafsisha.

- It is about time sasa Shivji na wenzake wakajitokeza kwenye nafasi za uongozi wa taifa ili tuone uwezo wao wa kufikiri kuliko kulia lia kwa kila awamu. Ni lini watajikita kwenye kutoa solutions badala ya kulaumu tu kila siku kwa sababu ya kukosa mlo? I mean hili taifa wengine tumechoshwa sana na hawa crying babies wasiokuwa na jipya zaidi tu ya kulilia defeated theories ambazo tumezijaribu na zimtufikisha hapa tulipo pabaya sana hili taifa.

NINASEMA TENA KWENYE KUBINAFSISHA, MKAPA WAS RIGHT 100%, SHIVJI NA WENZAKE SHOULD APOLOGIZE KWA KUMSHAMBULIA MKAPA BILA SABABU KWENYE KIGODA!

William.

-

Kimsingi nakubaliana na wewe mkuu kwamba ubinafsishaji ulikuwa sahihi. Lakini nionavyo mimi tatizo lilikuwa kwamba kulikuwa na element ya wizi na mtandao wa wizi mkubwa tu which came with the whole idea of privatisation. Kama hawa watu-Mkapa and co wangekuwa really genuine na kufuatilia the whole issue closely then tusingekuwa na matatizo yaliyopo lakini ilikuwa ni wizi uliojificha na ndio maana yameibuka matatizo ambayo ni lazima yatokee tu kutokana na hawa jamaa kuwa dishonest!! So kama viongozi wenyewe ni wezi unategemea nini kutoka kwa watu wengine? Si watakuwa hivyo hivyo tu na kuishia kula na hao hao viongozi na kuifikisha nchi pabaya kama ilivyo sasa? Hawa watu wasingekuwa wezi tusingekuwa na hali tuliyonayo. Wanaiba and yet wako mitaani wanatesa na kutubeza kama vile they were born into a royal family of some sort. And they don't care at all!!! Their days are numbered and the medicine is boiling in the kitchen ready to treat these cancerous creatures as they can not heal themselves! Sasa jamaa (Che Nkapa) alivoona anasakamwa pale kigodani akaja kwa hasira na swali "kwani toka 2005 kuna kiwanda gani kimeanzishwa?"
 
- Then tukubaliane kwamba sera ya kuuza mashirika na viwanda ilikuwa sawa kimsingi, sasa waetekelezaji nini kosa la Mkapa kwa hoja yako mkuu? Je tulitegemea Rais wa Jamhuri aache kazi zake wka taifa akasimamie ubinafsishaji?

- I mean ninakubaliana na wewe kwamba kuna makosa makubwa yaliyotokea kwenye the process, lakini still the outcome bado no progressive sio kama the process isingfanyika!

William.
 
Back
Top Bottom