Ubinafsishwaji Bandari tatizo la Watanzania ni lugha ya Kingereza, Mkataba upo sawa

Tusaidie kujibu hoja za prof Shivji basi
 
Nakubaliana nawe kuhusu utata lugha ni kwamba waliosaini mkataba hawakuuelewa. Lakini pia Elimu ya uwekezaji unahitajika. Hatutofika Kwa Imani za Uzawa tuu
 
Kwa hiyo inatakiwa isiwepo au iwepo na yapi ni madhara yake ukizingatioa tunavutia wawekezaji?
 
Sheria ni taaluma iliyolaanika
 
kingereza ambacho miguna wa miguna ameshindwa kukuelewa,dr slaa,warioba,tindu lissu,prof shivji,tls na wengineo wote weshindwa kukielewa hiko kingereza ila wewe tu na kina kitenge ndo mloweza kukielewa,hongera sana
 
Pumbavu
 
Huu ulikuwa ni ushuzi baridi
 
Hujajibu swali uliloulizwa, na swali ulilojibu hujaulizwa.

Umesoma uchambuzi wa Tanganyika Law Society?
 
Pangua hoja zao, moja bada ya nyingine, kisheria.

Nauweka tena uchambuzi wao hapa.
Hao TLS hawana hoja za msingi ,Dawa yao ni kuwapoka cheti cha uwakili wakalime au wakawe mawakili burundi huko kuna uhaba
 
Km sio mkataba bunge lilijadili nini?
 
Hilo ni ukweli 100%


Niliona toka siku nyingi sana.


Siyo tu Lugha ya Kingereza inatupiga chenga wengi, bali Kiswahili pia hakiwezi kutafasiri maneno yote yanayotumika kisheria kutoka Kingereza yakaleta maana iliyokusudiwa kwa Kiswahili.

Mfano: maneno kama "agreement" "contract" "Convention", "a Protocol", "a Pact", "an Accord". Yote hayo kwa Kiswahili huna zaidi ya kutafsiri au makubaliano au mkataba ili ufahamike.

Kama haitoshi,sheria yenyewa kwa Kingereza iina maneno mengi ya ki Latin.

Hao wanaojiita wanasheria wasomi waseme walisomea ki latin miaka mingapi? Kingereza chenyewe wana force tu.
 
Wamekuchokoza
 
Kuna watu maisha yao ni kiingerea; wanakula kiingerea, wanakunywa kiingera, wanvuta hewa kiingerea halafu uwaone kuwa wote hawajui maana ya mktaba huo? Tanzania imeshakumbwa na mikataba hii ya kijingwa kwa muda mrefu na ikatutia matatizoni sana, ndiyo maan watu wenye akailia wanaiweka wazi kusudi huko mbeleni tusijealumiana tena. Majuzi tumeambiwa serikali imeripa pesa nyingi sana kukomboa ndege yake ambayo ilishikiliwa kwa sababu mktaba mmoja mbovu ambao haukuwa na tija kwa nchi ulivunjwa.

Mwekzaji hakataliwi bali mkataba ndio una matatizo. Kama serikali haina wansheria wa kuandika mktaba mzurri kwa niaba ya serikali wao ni ku-intial mikataba inayoandikwa kutoka nje basi wawa husishe waonpinga mkataba huo katioka kuuandika upya. Inawezekana kuna watu wameshatafuna fungu na wanaona ugumu wa kulirudisha iwapo mkataba utabadilishwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…