Ubinafsishwaji Bandari tatizo la Watanzania ni lugha ya Kingereza, Mkataba upo sawa

amini mwanetu aandike kama articles zinavosema na co kiswahl chake.. Yn wa tz wote mil 60 tushndwe kujua icho kingereza afu ujue wewe tu?
Inawezekana kabisa....kuna watanzania takribani milioni 50 wamefundishwa kua Bendera ya Taifa inazo rangi nne
Black/nyuesi
Blue/Blu
Green/Kijani
Yellow/Njano .Je ,ni kweli? Kwahiyo wingi wa watu sio wingi au utayari wa kujua.
 
Kwani Dubai hawana Bandari mpaka waje Dar, kwa nini hawajaenda Kenya, Msumbiji au Somalia. Tenda ilitangazwa kwa uwazi na Bunge kuambiwa mapema? iweje mnatujulisha sasa.
Wapo Somalia
Wapo USA'
Wapo UK.
Wapo Belgium....

Ingia Google andika how many countries Dpworld is operating.....
 
Mimi na shauri, huu moto usipoe tena, tudai Katiba mpya, hii katiba ndiyo iliyotupelekea tukafikia hapa ambapo wapo waliojipa haki ya u Tanzania zaidi ya wengine...This is not acceptable!
 
Wapo Somalia
Wapo USA'
Wapo UK.
Wapo Belgium....

Ingia Google andika how many countries Dpworld is operating.....
Usisahau na zile cases walizonazo kwenye mahakama mbalimbali duniani
 
yaani wee unaakili kunizidi mimi....yaani bandari inaleta hasara kiasi kwamba tubinafsishe..au serikali ya tz imeshindwa kusimamia ?dubai waje kutusaidia kukusanya kodi na kushusha makasha na kupakia...hata iwe mwaka mmoja mbona hata mimi naweza kuisimamia....tupokezane kila cham au kila mkoa usimamie bandari kwa mwaka mmoja tu..kuliko kuwapa hao waarab..tuile wenyewe keki yetu...
 
Usisahau na zile cases walizonazo kwenye mahakama mbalimbali duniani
Ina prove Jambo moja..zipo nchi zenye mikataba mizuri na hao hao Dpworld....
No Sisi na upumbavu wetu kama mkataba wetu sio mzuri...
 
Hatudanganyiki, hata kama ni uelewa ndiyo sisi sisi watanzania hatutaki...Nyie mnao elewa katafuteni nchi yenu nyingine muwape hao DP hizo bandari za nchi yenu, sisi ambao ni wajinga hatutaki hayo maendeleo yenu
 
Ina prove Jambo moja..zipo nchi zenye mikataba mizuri na hao hao Dpworld....
No Sisi na upumbavu wetu kama mkataba wetu sio mzuri...
Na kwasababu ya upumbavu "wetu" unaojieleza kwenye mikataba karibu yote iliyopo, hatutaki kuingia kwenye huo mzigo hasa wakati huu....
 
We Jamaa Kwa hiyo wale waliochambua na kuelezea mapungufu hawana maana?

Pili Kuna mikataba ya sura kama hiyo iliwahi fangika Nchi zingine ikaleta shida Bado unaona ni sawa?

Swala.sio.kubinafsisha issuee ni terms za ubinafsishaji
Leo naona akili imekurudi vizuri...Tupo pamoja
 
Na kwasababu ya upumbavu "wetu" unaojieleza kwenye mikataba karibu yote iliyopo, hatutaki kuinhia kwenye huo mzigo hasa wakati huu....

Hata hivyo je mkataba umeshasainiwa??
Je ni kweli hakuna kikomo?
Kipi cha kweli na kipi uzushi?
Dpworld na Ticts...mikataba Yao inatofautiana wapi?mbona kulikuwa hakuna mapovu Kwa Ticts??
 
Mbowe na yule kilaza Lema kwani wanasemaje?
 
Weka mkataba hapa tuone huo upotoshaji.Watu wanachozungumzia ni unyeti wa bandari n historia ya kampuni hiyo.
 
Mkataba uvunjwe kwa makubaliano ya pande mbili …kwa hiyo anae under perform au asietekeleza wajibu wake halafu akakataa hayo " Makubalino ya pande mbili ' nini kinatokea ?

tunataka TOR za Mkataba sio blaa blaaa
Hili jitu halina akili yan mtu asije kazini mwezi mzima alafu kuvunja nae mkataba mpaka mkubaliane na mtu huyo huyo alokosea? Akigoma kukubali unafanyaje? Hii nchi ina watu viazi sana....Safari hii tutajua nani zipo kichwani nani hazipo, yan ccm na watu wake ni hopless kabisaa
 
Samia ni freemason yeye pamoja na mawaziri wake maamuzi ya kuuza bandari ni amri wamepewa ili kuuwa uchumi wa Tanzania. Lakini nawapa onyo hata mfanye nini hamta shinda kwani Mungu yupo.

Na yeyote yule sellout anaye husika kuuza bandari kwa hawa freemason yatawakuta kama wale walioiba benki na kuchoma moto.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Hata hivyo je mkataba umeshasainiwa??
Je ni kweli hakuna kikomo?
Kipi cha kweli na kipi uzushi?
Dpworld na Ticts...mikataba Yao inatofautiana wapi?mbona kulikuwa hakuna mapovu Kwa Ticts??
TICKS hawakupewa ardhi, walipewa huduma ya bandari...Ni tofauti kubwa sana
 
Wewe ni m.ku..ndu kweli kwa hiyo kingireza unakijua wewe tu hapa Tz
 
Wewe ni m.ku..ndu kweli kwa hiyo kingireza unakijua wewe tu hapa Tz
Umesoma mkataba,Achana na story za vijiweni ,Hakuna hata mtu mmoja hapa ambaye anapingana na nilichoandika bali watu wanaongelea umuhimu wa bandari

Umesoma ?
 
Nendeni mkauze Visiwa vyenu kenge nyie
 
Tatizo la wakazi wa Visiwani wanahi sana kuingiliwa kinyume na maumbile
 
Hatudanganyiki, hata kama ni uelewa ndiyo sisi sisi watanzania hatutaki...Nyie mnao elewa katafuteni nchi yenu nyingine muwape hao DP hizo bandari za nchi yenu, sisi ambao ni wajinga hatutaki hayo maendeleo yenu
Hilo linaeleweka binadamu wote atuwezi kuwa na mtazamo sawa.

Muhimu ni kuhakikisha hitimisho lako la kukataa ni kutokana na kupitia habari sahihi. Sio kwenda kwenye mijadala ya space moderator anaepinga uwekezaji hajui hata ‘berth’ ni kitu gani.

Provided wewe mwenyewe umejiridhisha kwa kupitia facts, mimi nani nikulazimishe kukubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…