Ubinafsishwaji Bandari tatizo la Watanzania ni lugha ya Kingereza, Mkataba upo sawa

Mkuu umewahi fanya biashara kweli wewe?

Unawezaji kuvunja mkataba bila makubaliano
kuna aina mbali mbali za ku terminate contract, mutual agreement ni mojawapo sio njia pekee

huhitaji kuwa Mfanyabiashara kujua masuala ya kimkataba …

kwa leo nenda ka google hili neno

'force majeure ' halafu rudi hapa nikupe darsa la kimkataba na njia mbali mbali za kuvunja mkataba zaid ya ile uliyokariri ya mutual agreement
 
Kwenye hili itoshe kuonyesha kuwa kama nchi tuna matatizo moja kwenye uongozi bora na pili elimu

Haiwezekani taifa lenye 60+m kushindwa kuwa na watu wenye uwezo wa kuendesha bandari mpk tuanze leo kutoleana maneno, kama tatizo ni kuunderperform kwa bandari tulipaswa kufanya utafiti kujua shida ni nini zikishabainika na kwa kuwa bandari ni eneo ambalo lina mapato ya kutosha ni serikali kuamua kufanya uwekezaji mkubwa pale maana uhakika wa return ya uwekezaji ipo ila hii ya kuona kila kushindwa ni kutafuta uwekezaji hapana mbona Tanesco miaka nenda rudi ni shida haijatafutiwa mwekezaji!!?

Shida ya pili ni elimu serikali hii inataka kutuaminisha kuwa elimu yetu ni tatizo imeshindwa kutupa watu competent kuendesha mambo yetu

Kwenye hili la bandari serikali imetupa nguo imeamua kutembea uchi wa mnyama
Siyo kwenye bandari tu bali kwenye maeneo mengi hatuna watu wenye uchungu na nchi hii. Watu wengi ni mafisadi na wezi hawafikirii kuijenga nchi kwa maslahi ya wote bali matumbo yao tu. Naunga mkono uamuzi wa Serikali kuwapa wageni bandari nikiamini uamuzi huo una tija kwa taifa.
 
Kama umesoma basinulitoka kapa bado hiyo article uonibtatizo lako unatusema kutojua kiingereza wakati wewe ndo hujaelewa?

Ati unasema kama wakitaka kuvunja mkataba kuwepo na makubaliano? Huu ndo ujinga wenyewe.

So wakae mezani ati sasa tuvunje mkataba upuuzi gani huu hamani hatankama mnalipwa ila mmezidi.
 
Hakuna ata hiyo mikataba, as yet. Hiyo ni framework tu. Ata hiyo agreement inataka HGA zikisainiwa ziwe siri.

Mambo wanayopigia kelele Article 20 na 23; ni mambo ya kawaida if anything ni aspects za ‘stabilisation clauses’ ata sijui kwanini wameziweka tofauti.

Na hakuna mkataba wa kimataifa popote duniani usio na ivyo vipengele. Nimeskiliza Lissu contract
law inaonekana is not his thing, maelezo yake yana upotoshaji mkubwa. Sio kwa makusudi, ila uelewa.
Kwa vyovyote vile nendeni mkauze Bandari yenu huko Unguja.

Sisi tuacheni na Bandari zetu hivi hivi zilivyo, ni zetu tunazipenda
 
ELimu, Elimu, Elimu ni kitu muhimu sana. Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya Kingereza kwa watu wetu. Lugha ya Kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza, hivyo tafsiri toka Kingereza kwenda Kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo.

Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri Kingereza kwenye lugha zao mama, halafu baadae kutafasiri kwenda Kiswahili!

Article 23 kati ya Mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF.

Article 23 inazungumzia Termination and Duration, hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba. Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili, ndio kilichoandikwa.

Artcle 20 inazungumzia dispute settlement, Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate Sheria za Kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa Kingereza, yafanyike Johanesburg Afrika ya Kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi.

Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais, tatizo sio Mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya Kingereza.
Ulisoma wapi. Nchi imepanic unaongea upuuzi
 
Mkataba uvunjwe kwa pande mbili mmoja akichemka akakataa kuvunja mkataba nini kinatokea ?? Hebu andika iko kiingereza unachohisi unakijua kuliko wengine tuone.
 
Huwezi kuvunja mkataba bila makubaliano ,kama unataka kuvunja unafuata article 20
 
ELimu, Elimu, Elimu ni kitu muhimu sana. Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya Kingereza kwa watu wetu. Lugha ya Kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza, hivyo tafsiri toka Kingereza kwenda Kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo.

Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri Kingereza kwenye lugha zao mama, halafu baadae kutafasiri kwenda Kiswahili!

Article 23 kati ya Mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF.

Article 23 inazungumzia Termination and Duration, hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba. Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili, ndio kilichoandikwa.

Artcle 20 inazungumzia dispute settlement, Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate Sheria za Kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa Kingereza, yafanyike Johanesburg Afrika ya Kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi.

Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais, tatizo sio Mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya Kingereza.
Acha bangi wewe
 
Hizo rushwa mlizokula hamtozikwa nazo
 
Mkataba uvunjwe kwa makubaliano ya pande mbili …kwa hiyo anae under perform au asietekeleza wajibu wake halafu akakataa hayo " Makubalino ya pande mbili ' nini kinatokea ?

tunataka TOR za Mkataba sio blaa blaaa
Ukitaka kuvunja fuata sheria za kimataifa kwenye article 20 ndio kilichoandikwa ,

Sasa unataka uvunje vunje hovyo mkataba

Mkataba sio ndoa ile
 
Kwa vyovyote vile nendeni mkauze Bandari yenu huko Unguja.

Sisi tuacheni na Bandari zetu hivi hivi zilivyo, ni zetu tunazipenda
Hakuna bandari inayoenda kuuzwa, kuna uwekezaji mkubwa unaotaka kwenda kufanyika kuhakikisha kuna maximum output ya kuhudumia ndani na nchi zinazoizunguka Tanzania.

Hakuna ata hayo makubaliano ya muda.

Watanzania inabidi mjikite kwenye maswali ya msingi ya terms za huo uwekezaji hizo ndio info za msingi kwenye kuamua yale yale ya ovyo kama Bagamoyo na mchina. Au huku kuna terms nzuri.

Hii tunayojadili ni framework tu, itakayotumika kutengenezea terms za mkataba.

Inaelezea implied terms za sheria zetu za kodi, land na nyingine kama za mazingira ndio zitatumika. Mikataba yenyewe ya HGA ikishatemgenezwa itatafsiriwa kwa English law, sasa kwenye English serious breach inavunja mkataba.

Shida ni uelewa tu na upotoshaji wa wachambuzi uchwara; hakuna ata hizo HGA as yet zilizosainiwa.
 
Mkuu kuna watu wanajitoa fahamu kwa ubinafsi tu

Bandari ingekuwa mali yao binafsi wangeweza kuingia mkataba wa namna hii?
 
Africa hapawezi kuwa salama forever. Sis waafrica tumekuwa na bahat mbaya.
 
ELimu ,Elimu ,Elimu ni kitu muhimu sana,Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya kiingereza kwa watu wetu,Lugha ya kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza hivyo tafsiri toka kiingereza kwenda kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo

Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri kiingereza kwenye lugha zao mama halafu baadae kutafasiri kwenda kiswahili

Article 23 kati ya mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF

Article 23 inazungumzia Termination and Duration,Hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba ,Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili ndio kilichoandikwa

Artcle 20 inazungumzia dispute settlement,Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate sheria za kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa kiingereza yafanyike Johanesburg Afrika ya kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi

Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais,Tatizo sio mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya kiingereza
.
wewe sio mtanzania bila shaka, kiujumla huo mkataba wenu niwa kimabavu , pelekeni huko
 
Bandari ya Dar es salaam, ni mali ya waTanganyika, sio mali ya waZanzibar, sasa waTanganyika tunapaswa kuamua juu ya mali zetu...
HAIKUBALIKI!
HAIKUBALIKI!
HATA KIDOGO!
Zanzibar pia wana Bandari...
 
ELimu, Elimu, Elimu ni kitu muhimu sana. Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya Kingereza kwa watu wetu. Lugha ya Kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza, hivyo tafsiri toka Kingereza kwenda Kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo.

Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri Kingereza kwenye lugha zao mama, halafu baadae kutafasiri kwenda Kiswahili!

Article 23 kati ya Mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF.

Article 23 inazungumzia Termination and Duration, hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba. Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili, ndio kilichoandikwa.

Artcle 20 inazungumzia dispute settlement, Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate Sheria za Kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa Kingereza, yafanyike Johanesburg Afrika ya Kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi.

Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais, tatizo sio Mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya Kingereza.
Kwa hiyo wewe kwa Tanganyika hii ndiye unayejua kiingereza tu?

Kuongea kiingereza siyo kuijua lugha ya kiingereza na hasa hii inayotumika kuandika mikataba, sheria, mou etc.

Hata kama mikataba ingeandikwa kwa kiswahili, bado ni ngumu kwa mtu wa kawaida kuelewa kwa ufasaha kilichoandikwa.

Hili swala la mkataba wa kukodishwa kwa bandari ya DSM kwa DP World halistahili majibu mepesi.
 
Viongozi wetu na watu wetu wenye mamlaka hawana uwezo kiakili wakudeal na vitu kama hivi.
 
Back
Top Bottom