Ubinafsishwaji Bandari tatizo la Watanzania ni lugha ya Kingereza, Mkataba upo sawa

Ulete tuusome wenyewe. Hatuhitaji mtusomew
20230607_103314.jpg
 
ELimu ,Elimu ,Elimu ni kitu muhimu sana,Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya kiingereza kwa watu wetu,Lugha ya kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza hivyo tafsiri toka kiingereza kwenda kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo

Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri kiingereza kwenye lugha zao mama halafu baadae kutafasiri kwenda kiswahili

Article 23 kati ya mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF

Article 23 inazungumzia Termination and Duration,Hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba ,Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili ndio kilichoandikwa

Artcle 20 inazungumzia dispute settlement,Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate sheria za kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa kiingereza yafanyike Johanesburg Afrika ya kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi

Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais,Tatizo sio mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya kiingereza
.
Kama hiyo ndiyo shida, ni vyema ukautafisiri yote kwa kiswahili kwa maana ileile iliyo andikwa kwa ki malkia harafu utuwekee hapa sisi Ambao hatukufika huko kemburiji univasiti.!!!!
 
Shida ni watu ambao wanasoma bila ya background knowledge, article 23 (4) inaelezea uwezi kuvunja mkataba kiholela.

Article 20 inaelezea taratibu sahihi za kufuatwa kunapo migogoro kwanza inapendekezwa diplomatic dialogue, ikishindikana ndio baraza la usuluhishi S.A; hiyo sehemu uchaguliwa na kukubaliwa na pande zote.

Shida ni uelewa tu
 
ELimu ,Elimu ,Elimu ni kitu muhimu sana,Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya kiingereza kwa watu wetu,Lugha ya kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza hivyo tafsiri toka kiingereza kwenda kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo

Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri kiingereza kwenye lugha zao mama halafu baadae kutafasiri kwenda kiswahili

Article 23 kati ya mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF

Article 23 inazungumzia Termination and Duration,Hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba ,Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili ndio kilichoandikwa

Artcle 20 inazungumzia dispute settlement,Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate sheria za kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa kiingereza yafanyike Johanesburg Afrika ya kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi

Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais,Tatizo sio mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya kiingereza
.
Aisee Watanzania aliyeturogaa alituwezaaa,,sijajua kama umepewaa sh ngapii hadii kuandikaa utumbo wako hapaa,watu kama nyiee ni wakukusanyaa na kuwatupaa baharinii mnaojifanyaa kila kitu ni kusifiaa tuu nyiee ni watu wabayaa saana zaidii ya nyokaa,,watu mnaojalii matumbo yenu tyuu shame on you,,,,
 
ELimu ,Elimu ,Elimu ni kitu muhimu sana,Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya kiingereza kwa watu wetu,Lugha ya kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza hivyo tafsiri toka kiingereza kwenda kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo

Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri kiingereza kwenye lugha zao mama halafu baadae kutafasiri kwenda kiswahili

Article 23 kati ya mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF

Article 23 inazungumzia Termination and Duration,Hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba ,Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili ndio kilichoandikwa

Artcle 20 inazungumzia dispute settlement,Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate sheria za kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa kiingereza yafanyike Johanesburg Afrika ya kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi

Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais,Tatizo sio mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya kiingereza
.
tatizo si lugha kama unafikiri hivyo basi wewe ndo unatatizo.huwezi kugeneralize kwamba watz hawajui lugha na ati kiswahili hakijitoshelezi hiyo ni fikra finyu.hizo article ulizozitaja tayari zina matatizo.kwa nn setlement ifanyike nje ya nchi na siyo ndani ya nchi!huko nje ndo tunakopigiwa hiyo mikataba.na kwa nini serikali inaulazimisha huo mkataba?kama kuna tatizo la uendeshaji kwani hawaezi kufanya maboresho mengine badala ya kubinafsisha?historia inaonyesha kwa tz ubinafsishaji unapofanyika huwa hautuachi salama na mifano ipo,TICTS nk.haya makampuni ya waarabu huwa hayalipi wananchi wetu ujira mzuri na hilo liko wazi kabisa.kama wananchi walalamika huyo mradi uachwe kwa sababu bandari ni mali ya watz.kagame aliishatukejeli kuwa angepewa yeye hiyo bandari hata kwa siku tatu tungeona maajabu.aliishatujua watz ni wapigaji tu na hatuna uchungu na hii nchi.
 
Kuvunjika kwa mkataba maana yake ni matokeo ya kutofautina hivyo hakuna makubaliano. Kama hukuna makubaliano inawezekana vipi tena makubaliano ya pande mbili ndio ya uvunje huu mkataba???

Ingetakiwa iwe hivi mkataba utavunjika kwa sababu ya kutokubaliana kwa pande mbili. Baada ya hapo zianishwe sababu zote za kushindwa kukubaliana kama vile mkandarasi kushindwa kufikia ufanisi wa utendaji nk nk nk.

Mkataba unakuwa je na kipengele eti mali za mkandarasi hazitataifishwa, Mambo ya ajabu sana haya kama kunafidia anatakiwa alipe na akashindwa ama kukaidi kulipa, unafanya nini ukikatazwa kutaifisha mali??? Kama ni kweli kuna hivi vipengele ndani ya huu mkataaba basi walio uandaa walikuwa ni watu wasiojali maslahi mapana ya nchi/Watanganyika.

Walikuwa na mitazamo na zile akili za kudharau, wakisema hivi vitu vya machogo haituhusu kutilia maanani na umakini kihivyo. Tuna uchungu gani hata hivyo zaidi ya maslahi yetu binafsi.
 
ELimu ,Elimu ,Elimu ni kitu muhimu sana,Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya kiingereza kwa watu wetu,Lugha ya kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza hivyo tafsiri toka kiingereza kwenda kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo

Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri kiingereza kwenye lugha zao mama halafu baadae kutafasiri kwenda kiswahili

Article 23 kati ya mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF

Article 23 inazungumzia Termination and Duration,Hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba ,Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili ndio kilichoandikwa

Artcle 20 inazungumzia dispute settlement,Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate sheria za kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa kiingereza yafanyike Johanesburg Afrika ya kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi

Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais,Tatizo sio mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya kiingereza
.
Ww ndio hewa kabisa kiingereza chenyewe hukijui
 
Hata hawa pia?

Kenya imekanusha ahadi za zabuni ya Julai iliyotolewa kwa Dubai Port (DP) World ambayo ingeruhusu kampuni hiyo yenye makao yake makuu katika UAE kutoa zabuni ya maendeleo, uendeshaji na usimamizi wa bandari nne za nchi hiyo.

DP World ilisema serikali ya Kenya iliahidi kutoa ombi la pendekezo la kibiashara la mikataba ya bandari kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9.

Kenya ilikuwa imekubali kutoa upendeleo kwa DP World, inayomilikiwa na serikali ya Dubai na mojawapo ya waendeshaji wakubwa wa bandari duniani, katika makubaliano yaliyotiwa wino kati ya Mataifa hayo mawili.

Hazina imekanusha kuwepo kwa mpango huo na kukanusha kuwahi kutaja mipango ya kutoa zabuni ifikapo Julai.
20230608_041316.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nasubiria mtaalamu wa mikataba ya kizalendo Profesa Kabudi tusikie anasema nini...si ndio kazi maalumu aliyopewa na Mama ya kupitia mikataba ?
 
Kuna uhusiano gani wa elimu uliyoitaja x3 kwa msisitizo na lugha ya kingereza?, kwani kujua kingereza ndiyo kuwa msomi au definition yako ya elimu ni kingereza?
Wewe toa ufafanuzi tu wa hivyo vipengele ila kauli ya kusema mtu asiyejua kingereza hana elimu futa..
 
Kuvunjika kwa mkataba maana yake ni matokeo ya kutofautina hivyo hakuna makubaliano. Kama hukuna makubaliano inawezekana vipi tena makubaliano ya pande mbili ndio yauvunje huu mkataba???

Ingetakiwa iwe hivi mkataba utavunjika kwa sababu ya kutokubaliana kwa pande mbili. Baada ya hapo zianishwe sababu za kushindwa kukubaliana kama vile mkandarasi kushindwa kufikia ufanisi wa utendaji nk nk nk.

Mkataba unakuwa je na kipengele eti mali za mkandarasi hazitataifishwa, Mambo ya ajabu sana haya kama kunafidia anatakiwa alipe na akashindwa unafanya nini ukikatazwa kutaifisha mali??? Kama ni kweli kuna hivi vipengele ndani ya huu mkataaba basi walio uandaa walikuwa ni watu wasiojali maslahi mapana ya nchi/Watanganyika.

Walikuwa na mitazamo na zile akili za kudharau, wakisema hivi vitu vya machogo haituhusu kutilia maanani na umakini kihivyo. Tuna uchungu gani hata hivyo zaidi ya maslahi yetu binafsi.
Hakuna mkataba usioweza kuvunjwa, ila sio kila contract breach ni ya kuvunja mkataba.

Kuna two main breaches:
Conditional: ambayo ina deprive one part main contractual agreement. Mfano umeahidi kuleta vifaa miaka miwili hakuna kitu. Hapo unaweza vunja mkataba.

Warranty: umeahidi kufanya kazi kwa miezi sita; umechelewa. Hiyo sio sababu ya kuvunja mkataba ni kudaiana fidia tu.

Kwa ivyo material breaches inaweza kuwa sehemu ya warranty pia; na nyingi sababu zake sio kuvunja mkataba.
 
ELimu ,Elimu ,Elimu ni kitu muhimu sana,Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya kiingereza kwa watu wetu,Lugha ya kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza hivyo tafsiri toka kiingereza kwenda kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo

Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri kiingereza kwenye lugha zao mama halafu baadae kutafasiri kwenda kiswahili

Article 23 kati ya mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF

Article 23 inazungumzia Termination and Duration,Hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba ,Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili ndio kilichoandikwa

Artcle 20 inazungumzia dispute settlement,Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate sheria za kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa kiingereza yafanyike Johanesburg Afrika ya kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi

Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais,Tatizo sio mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya kiingereza
.
Sawa hatujui kiingereza, ila hayo makubaliano ya pande mbili, je pande mmoja akiyagomea itakuwaje!?
 
Chawa unakataa kona unakubali penati....!

Haya nijibu iyo article inayosema mkataba arbitration ifanyike South Africa na Sheria yetu ya nchi inasemaje Kuhusu arbitration’s ?
 
Na why mkataba u operate Bandari za Bara tuu sio visiwani?
 
Nimesikiaa sauti ya Samia anaongee nikazima redio haraka sana
 
ELimu ,Elimu ,Elimu ni kitu muhimu sana,Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya kiingereza kwa watu wetu,Lugha ya kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza hivyo tafsiri toka kiingereza kwenda kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo

Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri kiingereza kwenye lugha zao mama halafu baadae kutafasiri kwenda kiswahili

Article 23 kati ya mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF

Article 23 inazungumzia Termination and Duration,Hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba ,Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili ndio kilichoandikwa

Artcle 20 inazungumzia dispute settlement,Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate sheria za kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa kiingereza yafanyike Johanesburg Afrika ya kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi

Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais,Tatizo sio mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya kiingereza
.
We Jamaa Kwa hiyo wale waliochambua na kuelezea mapungufu hawana maana?

Pili Kuna mikataba ya sura kama hiyo iliwahi fangika Nchi zingine ikaleta shida Bado unaona ni sawa?

Swala.sio.kubinafsisha issuee ni terms za ubinafsishaji
 
Back
Top Bottom