Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba hapa ni uongo?ELimu ,Elimu ,Elimu ni kitu muhimu sana,Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya kiingereza kwa watu wetu,Lugha ya kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza hivyo tafsiri toka kiingereza kwenda kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo
Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri kiingereza kwenye lugha zao mama halafu baadae kutafasiri kwenda kiswahili
Article 23 kati ya mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF
Article 23 inazungumzia Termination and Duration,Hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba ,Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili ndio kilichoandikwa
Artcle 20 inazungumzia dispute settlement,Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate sheria za kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa kiingereza yafanyike Johanesburg Afrika ya kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi
Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais,Tatizo sio mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya kiingereza
.
Kwa wewe uliyeuelewa , mkataba unaisha lini?ELimu ,Elimu ,Elimu ni kitu muhimu sana,Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya kiingereza kwa watu wetu,Lugha ya kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza hivyo tafsiri toka kiingereza kwenda kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo
Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri kiingereza kwenye lugha zao mama halafu baadae kutafasiri kwenda kiswahili
Article 23 kati ya mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF
Article 23 inazungumzia Termination and Duration,Hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba ,Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili ndio kilichoandikwa
Artcle 20 inazungumzia dispute settlement,Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate sheria za kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa kiingereza yafanyike Johanesburg Afrika ya kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi
Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais,Tatizo sio mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya kiingereza
.
So kwa Wakati mmoja wa Tanzania wote wameshindwa elewa kingereza??ELimu ,Elimu ,Elimu ni kitu muhimu sana,Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya kiingereza kwa watu wetu,Lugha ya kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza hivyo tafsiri toka kiingereza kwenda kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo
Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri kiingereza kwenye lugha zao mama halafu baadae kutafasiri kwenda kiswahili
Article 23 kati ya mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF
Article 23 inazungumzia Termination and Duration,Hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba ,Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili ndio kilichoandikwa
Artcle 20 inazungumzia dispute settlement,Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate sheria za kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa kiingereza yafanyike Johanesburg Afrika ya kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi
Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais,Tatizo sio mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya kiingereza
.
Mbwa MKUBWA weweELimu, Elimu, Elimu ni kitu muhimu sana. Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya Kingereza kwa watu wetu. Lugha ya Kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza, hivyo tafsiri toka Kingereza kwenda Kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo.
Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri Kingereza kwenye lugha zao mama, halafu baadae kutafasiri kwenda Kiswahili!
Article 23 kati ya Mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF.
Article 23 inazungumzia Termination and Duration, hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba. Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili, ndio kilichoandikwa.
Artcle 20 inazungumzia dispute settlement, Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate Sheria za Kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa Kingereza, yafanyike Johanesburg Afrika ya Kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi.
Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais, tatizo sio Mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya Kingereza.
Mpaka umeweza kuandika hapa ni kwamba huo mkataba unao. Utupie hapa na sisi tuusome ili tujiridhishe na unachokisemaELimu ,Elimu ,Elimu ni kitu muhimu sana,Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya kiingereza kwa watu wetu,Lugha ya kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza hivyo tafsiri toka kiingereza kwenda kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo
Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri kiingereza kwenye lugha zao mama halafu baadae kutafasiri kwenda kiswahili
Article 23 kati ya mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF
Article 23 inazungumzia Termination and Duration,Hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba ,Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili ndio kilichoandikwa
Artcle 20 inazungumzia dispute settlement,Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate sheria za kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa kiingereza yafanyike Johanesburg Afrika ya kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi
Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais,Tatizo sio mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya kiingereza
.
Lione kwanza linatetea ukoloni haya ndo masaliti namba Moja,kabinafsishe familia yakoELimu, Elimu, Elimu ni kitu muhimu sana. Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya Kingereza kwa watu wetu. Lugha ya Kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza, hivyo tafsiri toka Kingereza kwenda Kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo.
Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri Kingereza kwenye lugha zao mama, halafu baadae kutafasiri kwenda Kiswahili!
Article 23 kati ya Mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF.
Article 23 inazungumzia Termination and Duration, hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba. Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili, ndio kilichoandikwa.
Artcle 20 inazungumzia dispute settlement, Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate Sheria za Kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa Kingereza, yafanyike Johanesburg Afrika ya Kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi.
Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais, tatizo sio Mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya Kingereza.
kwamba lugha ya kingereza unaijua wewe na mamako pekeenu, ungejua kuwa kingereza sisi wengine ni kama naongea kisukuma au kinyaturu hata usinge sema huo ujinga wako.ELimu, Elimu, Elimu ni kitu muhimu sana. Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya Kingereza kwa watu wetu. Lugha ya Kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza, hivyo tafsiri toka Kingereza kwenda Kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo.
Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri Kingereza kwenye lugha zao mama, halafu baadae kutafasiri kwenda Kiswahili!
Article 23 kati ya Mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF.
Article 23 inazungumzia Termination and Duration, hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba. Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili, ndio kilichoandikwa.
Artcle 20 inazungumzia dispute settlement, Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate Sheria za Kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa Kingereza, yafanyike Johanesburg Afrika ya Kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi.
Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais, tatizo sio Mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya Kingereza.
Mkuu hebu twambie ambapo unaona watanzania hawajaelewa lugha na wewe umeelewa! Sasa ni kipengele hiki tuu?ELimu, Elimu, Elimu ni kitu muhimu sana. Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya Kingereza kwa watu wetu. Lugha ya Kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza, hivyo tafsiri toka Kingereza kwenda Kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo.
Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri Kingereza kwenye lugha zao mama, halafu baadae kutafasiri kwenda Kiswahili!
Article 23 kati ya Mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF.
Article 23 inazungumzia Termination and Duration, hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba. Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili, ndio kilichoandikwa.
Artcle 20 inazungumzia dispute settlement, Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate Sheria za Kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa Kingereza, yafanyike Johanesburg Afrika ya Kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi.
Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais, tatizo sio Mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya Kingereza.
Duration inasema ni WA miaka MINGAPI msomi?ELimu, Elimu, Elimu ni kitu muhimu sana. Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya Kingereza kwa watu wetu. Lugha ya Kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza, hivyo tafsiri toka Kingereza kwenda Kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo.
Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri Kingereza kwenye lugha zao mama, halafu baadae kutafasiri kwenda Kiswahili!
Article 23 kati ya Mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF.
Article 23 inazungumzia Termination and Duration, hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba. Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili, ndio kilichoandikwa.
Artcle 20 inazungumzia dispute settlement, Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate Sheria za Kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa Kingereza, yafanyike Johanesburg Afrika ya Kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi.
Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais, tatizo sio Mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya Kingereza.
Wewe ni jínga kabisa,hapa ndio umeandika nini?, pathetic,wewe endelea kupigia debe ulaji wakoELimu, Elimu, Elimu ni kitu muhimu sana. Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya Kingereza kwa watu wetu. Lugha ya Kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza, hivyo tafsiri toka Kingereza kwenda Kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo.
Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri Kingereza kwenye lugha zao mama, halafu baadae kutafasiri kwenda Kiswahili!
Article 23 kati ya Mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF.
Article 23 inazungumzia Termination and Duration, hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba. Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili, ndio kilichoandikwa.
Artcle 20 inazungumzia dispute settlement, Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate Sheria za Kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa Kingereza, yafanyike Johanesburg Afrika ya Kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi.
Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais, tatizo sio Mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya Kingereza.
Kwamba mkataba unavunjwa kwa makubaliano ya pande mbili!!!? Hivi wewe una akili?ELimu, Elimu, Elimu ni kitu muhimu sana. Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya Kingereza kwa watu wetu. Lugha ya Kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza, hivyo tafsiri toka Kingereza kwenda Kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo.