Madumbikaya
JF-Expert Member
- Jun 6, 2018
- 639
- 1,919
Umesoma mkataba au umesikia?Chizi hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesoma mkataba au umesikia?Chizi hili.
Hata nikiusoma itasaidia nini, na wakati mlishahongwa tayari na hao waarabu wenu?Umesoma mkataba ?
Peleka Uquma huko na wewe.ELimu, Elimu, Elimu ni kitu muhimu sana. Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya Kingereza kwa watu wetu. Lugha ya Kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza, hivyo tafsiri toka Kingereza kwenda Kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo.
Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri Kingereza kwenye lugha zao mama, halafu baadae kutafasiri kwenda Kiswahili!
Article 23 kati ya Mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF.
Article 23 inazungumzia Termination and Duration, hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba. Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili, ndio kilichoandikwa.
Artcle 20 inazungumzia dispute settlement, Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate Sheria za Kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa Kingereza, yafanyike Johanesburg Afrika ya Kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi.
Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais, tatizo sio Mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya Kingereza.
Umesoma mkataba?Peleka Uquma huko na wewe.
Wewe umeona kuna mahali inaonesha limit ya muda wa mkataba
Ninao wote tena kwa lugha ya kiswahili.Umesoma mkataba?
Sawa mleta mada wewe na mataga wenzio ndio mnajua kiingereza.ELimu, Elimu, Elimu ni kitu muhimu sana. Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya Kingereza kwa watu wetu. Lugha ya Kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza, hivyo tafsiri toka Kingereza kwenda Kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo.
Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri Kingereza kwenye lugha zao mama, halafu baadae kutafasiri kwenda Kiswahili!
Article 23 kati ya Mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF.
Article 23 inazungumzia Termination and Duration, hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba. Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili, ndio kilichoandikwa.
Artcle 20 inazungumzia dispute settlement, Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate Sheria za Kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa Kingereza, yafanyike Johanesburg Afrika ya Kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi.
Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais, tatizo sio Mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya Kingereza.
Wapi wamesema bandari inauzwa?Ninao wote tena kwa lugha ya kiswahili.
Ngoja nikupe hiyo article 23 ya (Duration & termination of the contract).
ELimu, Elimu, Elimu ni kitu muhimu sana. Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya Kingereza kwa watu wetu. Lugha ya Kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza, hivyo tafsiri toka Kingereza kwenda Kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo.
Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri Kingereza kwenye lugha zao mama, halafu baadae kutafasiri kwenda Kiswahili!
Article 23 kati ya Mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF.
Article 23 inazungumzia Termination and Duration, hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba. Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili, ndio kilichoandikwa.
Artcle 20 inazungumzia dispute settlement, Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate Sheria za Kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa Kingereza, yafanyike Johanesburg Afrika ya Kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi.
Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais, tatizo sio Mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya Kingereza.
Bandari kavu Rwanda ipo under operation na DP WORLD na sisi tunataka kumpa DP WORLD bandari zetu zote apakue mzigo bila sisi kujua. Aje apakue shehena za silaha apeleke kwenye bandari zake kavu huko Rwanda. Najaribu kuwaza usalama wetu utakuwaje na TISS yetu iliojaza UVCCM wa aina ile???????
Nani amewaza kama mimi?????
Wewe ni mwehu.Wapi wamesema bandari inauzwa?
Wapi wamesema huwezi vunja mkataba
Hawa chawa hawastahili kuishiAisee Watanzania aliyeturogaa alituwezaaa,,sijajua kama umepewaa sh ngapii hadii kuandikaa utumbo wako hapaa,watu kama nyiee ni wakukusanyaa na kuwatupaa baharinii mnaojifanyaa kila kitu ni kusifiaa tuu nyiee ni watu wabayaa saana zaidii ya nyokaa,,watu mnaojalii matumbo yenu tyuu shame on you,,,,
Unajua maana ya kuvunja mkataba kweli wewe? Mimi nimeamua kuvunja mkataba alafu nakubaliana na nani? Yaani nianze kukubaliana na ninaetaka kuvunja mkataba nae? Akikataa??Mkuu umewahi fanya biashara kweli wewe?
Unawezaji kuvunja mkataba bila makubaliano
Hasara itabebwa na nani?Unajua maana ya kuvunja mkataba kweli wewe? Mimi nimeamua kuvunja mkataba alafu nakubaliana na nani? Yaani nianze kukubaliana na ninaetaka kuvunja mkataba nae? Akikataa??
Kuvunja mkataba maana yake ni kuacha kutekeleza kilichopo kwenye mkataba, uwe na sababu au bila sababu. Mkataba unatakiwa umpe haki mtu kuvunja mkataba na uhainishe vigezo au nini kitatokea iwapo.mmoja atavunja mkataba.
Jibu hoja issue umesoma mkataba,Halima Mdee bungeni alishindwa kutetea hoja hajasoma vifunguHawa chawa hawastahili kuishi
Unajua maana ya iyo article 23?, Kwenye mikataba kinaitwa Umbrella clause ambayo ukiiangalia vizuri inamlinda zaidi mwekezaji kuliko sisi na ndio wanakitumia huko kote walikowekeza kunyonya na Incase ikatokea mgogoro hiyo article 20 haiwezi kusaidia ukizingatia wanasheria wa serikali ya CCM kushinda kesi nje ni nadra kwanza wanakula mlungula tu kwaiyo tunaweza kujikuta watanganyika tumeangukia kwenye madeni yasiyo na kichwa Wala miguuView attachment 2649684
Basi tuwalaumu wananchi kwa kuweka mitaala mibovu ya elimu.ELimu, Elimu, Elimu ni kitu muhimu sana. Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya Kingereza kwa watu wetu. Lugha ya Kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza, hivyo tafsiri toka Kingereza kwenda Kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo.