Ubinafsishwaji Bandari tatizo la Watanzania ni lugha ya Kingereza, Mkataba upo sawa

Wengine hatujauona huo mkataba

Ova
 
Wengine hatujauona huo mkataba

Ova

Chini ya post ya kwanza upo hapo kwenye hiyo mada unaweza download.
 
Wewe cheti feki
 
Mpaka na argue uamini tu kuwa nazijua facts kuliko unavyofikiri wewe
 
Bush lawyer on the line.
 
Kwanini yafanyikie SA na sio Tanzania?
 
Bwana Mayalla naheshimu sana michango yako yenye tija na kuelimisha jamii yetu kwa kadri unavyopata nafasi.
Niende kwenye mada, watanzania hawajakataa kujikubali kwamba Kuna baadhi ya sector za kimkakati tumezishindwa na tunaitaji mwekezaji ili kusonga mbele kiufanisi.

Tatizo ni kwamba mikataba wanayoingia viongozi wetu haina uwazi na baraka za watanzania, hii inasababisha hofu na taharuki. Iwekwe wazi tuijadili wapo watanzania wenye ufahamu na maono makubwa tatizo hawashilikishwi. Tumeshajaribu enzi za mh. Mkapa najua hata wewe uliona matokeo yake.

Tunataka mwekezaji atakayeingia mikataba itakayo mnufaisha mtanzania na mwekezaji kwa nafasi stahiki sio hawa wakubumba.
 
Umesoma hiyo agreement au unaisikia tu kwa watu

Watu wanapotosha
 
Hivi unawaza au kufikiri kwa kutumia koungo gani cha mwili wako? Haya ninjbu hili, MKATABA MWISHO WAKE LINI? MILELE AU ?
 

Ukiuweka hapa kwa kingereza alafu tuone nani anaelewa vizuri, watu wanaweza kuuandika kwa maneno tofauti ila maana hiyohiyo mara tatu tofauti
 
Mkataba uvunjwe kwa makubaliano ya pande mbili …kwa hiyo anae under perform au asietekeleza wajibu wake halafu akakataa hayo " Makubalino ya pande mbili ' nini kinatokea ?

tunataka TOR za Mkataba sio blaa blaaa
Umesoma hayo makubaliano
 
Umesoma mkataba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…