Ubishi kuhusu share za Wasafi Media naona umeisha sasa

Biashara za hivyo hazipo dunia hii. Labda kama anataka kuuza supu kitongoji cha tandale na maeneo ya jirani.
Ni ukweli mtupu, hakuna biashara kubwa yoyote ile duniani ambayo inamilikiwa 100% na mtu mmoja, kila biashara ina shareholders zaidi ya mmoja, mfumo huu una faida nyingi sana ukilinganisha na kumiliki biashara yote peke yako.
 
Acha si tuendelee kumimina tu pesa zetu za kuungaunga.
 
Hivi Ruge ana asilimia ngapi Clouds?
 
hivi lile jumba la sauzi ndo alisha mkabidhi zari?
Domo na Zari ni wasanii kwahiyo maisha ya wasanii 90% ni maigizo,10% ndio uhalisia............Domo anajua kucheza na social media,anatumia fan base yake na vijana timu yake aliowaajiri kujipromote kwenye mitandao ambapo kwake inamuongezea dau la kwenye mikataba,hivi promoter ukisikia domo kanunua jumba la milioni 400 hivi ukitaka kumpa show utafikiri utampa ofer ya mili 2 au 3? Kwahiyo hayo majumba wanayonunua kwenye instagram na facebook ni za kiinstagramu tu,They are doin for the instagrammers and facebookers tu,ndio maana pamoja na utajiri mkubwa wa domo alionao kwenye instagram na facebook still anaishi kwenye kiwanja cha 25 kwa 25 madale.
 
Hahaha..Unavyorudia kiwanja cha 25x25 kwa kujiamini nahisi kwenye dili la udalali ulipiga pesa na hata upana wa kiwanja ulipima kwa miguu yako mwenyewe.
 
Kama kuna ukweli, alitangaza birthday ya Tiffa kufanyika South Africa na akatoa ticket za offer, Birthday party mpaka leo haijawahi fanyika.
 
Hapo wabongo Kwa akili zao fupi wanadhani....hiyo pesa inalambwa kama ilivyotajwa.....hapo unatakiwa kuondoa cost of production plus tax.......na kama kuna hasara basi asilimia zinazomtoka ndio hizo hizo asilimia zake.....ni kisu cha pande mbili.....
 
DOmo naye si wanasema ni Bilionea mkuu kama Dangote.
Ubilionea ni jina tu.....ondoa cost of production....na kodi....na kama kampuni ipo kwenye hasara....basi kiwango cha uwajibikaji ni hicho hicho kwenye asilimia.....sema wtz kwasababu shule ni ndogo..... wanadhani hiyo pesa inabebwa tu.....
 
Hapo wabongo Kwa akili zao fupi wanadhani....hiyo pesa inalambwa kama ilivyotajwa.....hapo unatakiwa kuondoa cost of production plus tax.......na kama kuna hasara basi asilimia zinazomtoka ndio hizo hizo asilimia zake.....ni kisu cha pande mbili.....
Anachomaanisha mtoa mada ni kwamba faida itakayobaki ,means kodi mshalipa linabaki gawio tu sasa.
 
Watu wanapagawa na maisha yake ya kwenye mitandao...Hajajiulizi kama ni Bilionea kweli kwanini mpaka Leo nyumba yake inayojulikana mpaka anaiimba kwenye nyimbo zake za Utanipenda na Baila ni Ile Ile ya Madale kwanini hana nyumba nyingine?!

Gari ya ndoto zake ni Royce Rolls kwanini kama kweli ni Bilionea mpaka Leo hana hiyo gari?!
 
Hapo wabongo Kwa akili zao fupi wanadhani....hiyo pesa inalambwa kama ilivyotajwa.....hapo unatakiwa kuondoa cost of production plus tax.......na kama kuna hasara basi asilimia zinazomtoka ndio hizo hizo asilimia zake.....ni kisu cha pande mbili.....
mkuu uwe unasoma neno kwa neno, nmeandika "faida inayobakia kwa wanahisa " ama kwa kimombo accountants tunaiita "profits attibutable to share holders" kwenye consolidatred accounts ambapo itakua attributable kwa controlling interest na non controlling interest as per IFRS 10, Afu hio cost of production inahusianaje na wasafi media ambao hawafanyi manufacturing ya goods au ndo umekariri juu juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…