Ubishi kuhusu share za Wasafi Media naona umeisha sasa

Alikuwa akimaanisha "running costs"
 
Inaitwa kodi ya zuio sio gawio..
 
Bro bana huyo ni dai diehard fan hapo alikua ananidhihaki tu.
Kwahyo Tcra wameweka non legal document regarding shares za Wasafi Media, Kama makataba wa siri then imekuaje wewe umeujua mpaka kiasi cha shares?
Msimpige mwenzenu bana
Watanzania huwa wanataka kila mtu aishie kuwa maskini..yani wanatamani chibu nae aje awe kama kina feruzi
 
Unataka kusema nini mzee?
Unazo documents za umiliki wa Wasafi yote kwa ujumla?
Nachotaka kusema ni hivi,

Huo ni ushahidi wa hisa za wasafi TV tu, haijaonekana mahali ikazungumziwa Wasafi nzima. Tusilazimishe umiliki.

Ni sawa na umiliki wa Rostam Aziz Vodacom Tanzania, uutumie kuonesha anamiliki Vodacom yote.
 
450M kwa Diamond ni ndogo sana si show tatu tu za 70,000/= usd.
Ikumbukwe kuwa Diamond ni mult billionaire sasa anashindwaje kuinvest more than 1B?
Time will tell.
 
victoire unisex saloon & spa....kama kampuni yako ni hii mkuu basi sawa.
Hamna akili yes, namiliki kampuni yangu hela yangu yote asilimia 100, wanangu sharing. Akili hamna hamuoni hapo Kusaga kaandika jina la mkewe?Yes Diamond anaweza miliki asilimia 100 zake zote akazigawa kwa kuandika majina ya esma au mama yake. Nyambafu tumieni akili zenu vizuri.
 
Mange kimambi alijitongozesha kwa dai akakataliwa maana mondi halagi wanawake wa hovyo hovyo...hii chuki ya mange kwa dai ilianzia hapo kwenye kunyimwa mkuyenge!
Screenshots za chats zao Snapchat ninazo,,anayezitaka akuje PM
 
Hivi wewe
 
Jamaa Domo ni Bilionea lakini anaishi kwenye kiwanja cha miguu 25 kwa 25 ndio bilionea wa kwanza Manager wake salamu hana nyumba ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.
wakikusikia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

wao wanamwambia fid hana passo๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ