Ubishi kuhusu share za Wasafi Media naona umeisha sasa

Ubishi kuhusu share za Wasafi Media naona umeisha sasa

mkuu uwe unasoma neno kwa neno, nmeandika "faida inayobakia kwa wanahisa " ama kwa kimombo accountants tunaiita "profits attibutable to share holders" kwenye consolidatred accounts ambapo itakua attributable kwa controlling interest na non controlling interest as per IFRS 10, Afu hio cost of production inahusianaje na wasafi media ambao hawafanyi manufacturing ya goods au ndo umekariri juu juu
Alikuwa akimaanisha "running costs"
 
Mkuu kwa faida ya wengine;
Cost of production hapa haimhusu Diamond. Hii gharama ya uzalishaji inatolewa kwenye mapato (sales) za kipindi husika.
Gharama ambayo Mondi atakatwa ni kodi ya gawio (dividend) ambayo kitaalamu inaitwa "With holding tax".
Yeye ni mwanahisa, baada ya kulipa gharama zote ikiwemo na kodi ya makampuni/mashirika kitaalam inajulikana kama "corporate tax", utaitishwa mkuu (AGM) kwa lengo la kukubaliana kama kuna ulazima wa kutoa gawio kwa mwaka husika au la. Wakikubaliana kutoa gawio ndiyo kila mwenye hisa atapata kulingana na idadi ya hisa zake na kila gawio litakatwa with holding tax ya 5%.
Inaitwa kodi ya zuio sio gawio..
 
Bro bana huyo ni dai diehard fan hapo alikua ananidhihaki tu.
Kwahyo Tcra wameweka non legal document regarding shares za Wasafi Media, Kama makataba wa siri then imekuaje wewe umeujua mpaka kiasi cha shares?
Msimpige mwenzenu bana
Watanzania huwa wanataka kila mtu aishie kuwa maskini..yani wanatamani chibu nae aje awe kama kina feruzi
 
Hii ilirushwa kwanza humu Jana.. akaidaka na kuweka jina yake

tapatalk_1543146768069.jpeg
 
450M kwa Diamond ni ndogo sana si show tatu tu za 70,000/= usd.
Ikumbukwe kuwa Diamond ni mult billionaire sasa anashindwaje kuinvest more than 1B?
Time will tell.
 
victoire unisex saloon & spa....kama kampuni yako ni hii mkuu basi sawa.
Hamna akili yes, namiliki kampuni yangu hela yangu yote asilimia 100, wanangu sharing. Akili hamna hamuoni hapo Kusaga kaandika jina la mkewe?Yes Diamond anaweza miliki asilimia 100 zake zote akazigawa kwa kuandika majina ya esma au mama yake. Nyambafu tumieni akili zenu vizuri.
 
Mange kimambi alijitongozesha kwa dai akakataliwa maana mondi halagi wanawake wa hovyo hovyo...hii chuki ya mange kwa dai ilianzia hapo kwenye kunyimwa mkuyenge!
Screenshots za chats zao Snapchat ninazo,,anayezitaka akuje PM
 
Kwa mfano una kasaluni kako hapo saluni una mfanyakazi mmoja au wawili.. mapato ni laki moja 100% ukitoa mishahara na kodi tayari sio 100% hivyo kuna sehem ya asilimia kadhaa utatoa ili kulipa mishahara na kodi hapo tayari huo umiliki wako asilimia 100 utabakia jina tu lakini kipato halisi ni chini ya 100%.ambacho ndio utabakia nacho.
mwache DAIMONDI apate anachopata ila ataendelea kujulikana ni mmiliki mmojawapo wa WASAFI.
Hivi wewe
 
Back
Top Bottom