"Uboho" unatibu UKIMWI, je waujua "uboho" wenyewe? Huu hapa

"Uboho" unatibu UKIMWI, je waujua "uboho" wenyewe? Huu hapa

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Huu unaouona hapa ni "Uboho"

FB_IMG_1551861600065.jpg


BBC wame report haya chini

Mtu mmoja aliyekuwa ameambukizwa UKIMWI amegunduliwa kuwa hana tena virusi hivyo baada ya kupandikiziwa seli za uboho(stem cells).
Madaktari wamegundua hilo baada ya vipimo kukosa viini vinavyosababisha ugonjwa huo.
Huyu ni mtu wa pili duniani ambaye amepatikana hana virusi vya UKIMWI baada ya kupandikizwa uboho.
Tukio hili limeibua upya matumaini kuwa juhudi za kupata kinga dhidi ya UKIMWI na virusi vinavyosiababisha huenda zikazaa matunda karibuni.
 
Hii tiba mpaka ije ifike ulimwengu huu wa tatu labda baada ya miaka kumi ijayo na pia gharama zake itakuwa ni kubwa mno.
 
stem cell iko deep.uboho nadhani ni ile kitu iko ndani kati ya mfupa,kwa wale wala mapaja ya kuku,baada ya mnovu kuisha unatafuna mfupa sasa kile unachokifyonza na uboho kama sikosei,sasa what does uboho relate to stem cell?
 
Back
Top Bottom