"Uboho" unatibu UKIMWI, je waujua "uboho" wenyewe? Huu hapa

"Uboho" unatibu UKIMWI, je waujua "uboho" wenyewe? Huu hapa

Hii tafsiri ya uboho sikubaliani nayo ...wakati tunasoma tulifundishwa neno la "uroto"
Uroto mwekundu wa damu -red bone marrow

Uroto mweupe wa damu-white bone marrow.

Uboho ni neno jipya.

Pia kilichotumika kama tiba kwa huyo UK PATIENT ni stem cell....Selimundu shina
 
Hivi wadau mlishawaza kama mimi, kwamba chukulieni tu hivi gonjwa hili hatari(ukimwi) usingekuwepo kabisa ingekuaje?
 
Huu unaouona hapa ni "Uboho"

View attachment 1039164

BBC wame report haya chini

Mtu mmoja aliyekuwa ameambukizwa UKIMWI amegunduliwa kuwa hana tena virusi hivyo baada ya kupandikiziwa seli za uboho(stem cells).
Madaktari wamegundua hilo baada ya vipimo kukosa viini vinavyosababisha ugonjwa huo.
Huyu ni mtu wa pili duniani ambaye amepatikana hana virusi vya UKIMWI baada ya kupandikizwa uboho.
Tukio hili limeibua upya matumaini kuwa juhudi za kupata kinga dhidi ya UKIMWI na virusi vinavyosiababisha huenda zikazaa matunda karibuni.
Aya majina mengine bhana unaweza pata zambi bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
stem cell iko deep.uboho nadhani ni ile kitu iko ndani kati ya mfupa,kwa wale wala mapaja ya kuku,baada ya mnovu kuisha unatafuna mfupa sasa kile unachokifyonza na uboho kama sikosei,sasa what does uboho relate to stem cell?
Kwaiyo wale wala mifupa wanafyonza uboho kwa raha zao mpaka wanaume nao wanafyonza uboho??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ama kweli UBOHO umeamua kubadilika, yaani from kusambaza vvu hadi kutibu!
 
Imagine siku huu UKIMWI ukatibika moja kwa moja. Na kuwa ugonjwa wa kawaida tu. Wale vicheche wataendelea kupiga. Na UKIMWI wa sasa na miaka ya nyuma ni tofauti. Sasa mtu anaetumia dawa yanafanya vidudu vinakuwa too weak na hata bila kinga maambukizi yanakuwa kwa asilimia ndogo
 
stem cell iko deep.uboho nadhani ni ile kitu iko ndani kati ya mfupa,kwa wale wala mapaja ya kuku,baada ya mnovu kuisha unatafuna mfupa sasa kile unachokifyonza na uboho kama sikosei,sasa what does uboho relate to stem cell?
Au wala kongoro lile wanaita bomba... Ile kitu unafyonza katikati ya bomba...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepitia instagram kuna dada anaitwa young decor millionaire alianza kutangaza kuuza uboho kwa watu wenye hiv kisukari na mgonjwa mengine...nimecheka sana
 
Back
Top Bottom