GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,078
- 1,718
Jana usiku home na wazaz tunapiga msosi huku tunaangalia taarifa ya habari mara naskia dawa ya ukimwi imepatikana inaitwa uboho duu ilibidi nifumbe macho kwa dakika kadhaa nisisikie kinachoendele maana sio kwa mjina huo utadhani aliye gundua ni msukuma