Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
siyo tu gharama na maumivu pia.... hyo process siyo ya mchezoHii tiba mpaka ije ifike ulimwengu huu wa tatu labda baada ya miaka kumi ijayo na pia gharama zake itakuwa ni kubwa mno.
Tanzanian firm to set up first local stem cell research centre | IOL Business ReportHii tiba mpaka ije ifike ulimwengu huu wa tatu labda baada ya miaka kumi ijayo na pia gharama zake itakuwa ni kubwa mno.
Aya majina mengine bhana unaweza pata zambi bureHuu unaouona hapa ni "Uboho"
View attachment 1039164
BBC wame report haya chini
Mtu mmoja aliyekuwa ameambukizwa UKIMWI amegunduliwa kuwa hana tena virusi hivyo baada ya kupandikiziwa seli za uboho(stem cells).
Madaktari wamegundua hilo baada ya vipimo kukosa viini vinavyosababisha ugonjwa huo.
Huyu ni mtu wa pili duniani ambaye amepatikana hana virusi vya UKIMWI baada ya kupandikizwa uboho.
Tukio hili limeibua upya matumaini kuwa juhudi za kupata kinga dhidi ya UKIMWI na virusi vinavyosiababisha huenda zikazaa matunda karibuni.
Mh Sasa mtu sijampenda wanapandikizaje Uboho wake kwangu jamani
Kwaiyo wale wala mifupa wanafyonza uboho kwa raha zao mpaka wanaume nao wanafyonza uboho??stem cell iko deep.uboho nadhani ni ile kitu iko ndani kati ya mfupa,kwa wale wala mapaja ya kuku,baada ya mnovu kuisha unatafuna mfupa sasa kile unachokifyonza na uboho kama sikosei,sasa what does uboho relate to stem cell?
Na uboho usingekuwepo piaHivi wadau mlishawaza kama mimi, kwamba chukulieni tu hivi gonjwa hili hatari(ukimwi) usingekuwepo kabisa ingekuaje?
Huo huo unaoujua, ndiyo umeambiwa ni tibaMh uboho huuu huu tunaoujua au uboho mwingine
Uboho wangu unatibu ukimwi🙉🙉 HahahaaaWabongo bhn!!! Hapo wamepata gear mpya ya kuingilia
Kikwetu tunaita... 'mdhumo'...Uboho
Sent from my GT-N7000 using Tapatalk
upi hebu tujuze unaujua upiMh uboho huuu huu tunaoujua au uboho mwingine
Au wala kongoro lile wanaita bomba... Ile kitu unafyonza katikati ya bomba...stem cell iko deep.uboho nadhani ni ile kitu iko ndani kati ya mfupa,kwa wale wala mapaja ya kuku,baada ya mnovu kuisha unatafuna mfupa sasa kile unachokifyonza na uboho kama sikosei,sasa what does uboho relate to stem cell?
Huyu ni moja wa wanufaikaji wa Big Result Now..Mh Sasa mtu sijampenda wanapandikizaje Uboho wake kwangu jamani
Uboho=bone marrow. Stem cells zinapatikana kwenye bone marrow.Bone marrow stem cells
Weka picha tulinganisheHuo "uboho" mbona haufanani na wangu
komando kinjekitile ngwale