GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,078
- 1,718
Itakuwa uboho ule mwingine kwakweliMh uboho huuu huu tunaoujua au uboho mwingine
Wacha tu wakupandishie uboho upone aiseeMh Sasa mtu sijampenda wanapandikizaje Uboho wake kwangu jamani
Njoo uonjeSitaki
Kumbe uliingia darasani?Hii tafsiri ya uboho sikubaliani nayo ...wakati tunasoma tulifundishwa neno la "uroto"
Uroto mwekundu wa damu -red bone marrow
Uroto mweupe wa damu-white bone marrow.
Uboho ni neno jipya.
Pia kilichotumika kama tiba kwa huyo UK PATIENT ni stem cell....Selimundu shina
Tofautisha uboho na uboo.Siku hizi kiswahili kigumuNdio eti UBOHO UNATIBU UKIMWI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Statement zingine bwana
Nyie wasenge kweli ,mnafikira za aina moja kupenda na uboho wapi na wapi? Mnawaza mikuyenge tuu.Hapa ndo nampata Ngugi katika Devil on the cross anaposema ,they will understand only one language.Mh Sasa mtu sijampenda wanapandikizaje Uboho wake kwangu jamani
Bailojia na Kiswahili upo vizuri mnoHii tafsiri ya uboho sikubaliani nayo ...wakati tunasoma tulifundishwa neno la "uroto"
Uroto mwekundu wa damu -red bone marrow
Uroto mweupe wa damu-white bone marrow.
Uboho ni neno jipya.
Pia kilichotumika kama tiba kwa huyo UK PATIENT ni stem cell....Selimundu shina
kama naiona akili ya mwandishiHuu unaouona hapa ni "Uboho"
View attachment 1039164
BBC wame report haya chini
Mtu mmoja aliyekuwa ameambukizwa UKIMWI amegunduliwa kuwa hana tena virusi hivyo baada ya kupandikiziwa seli za uboho(stem cells).
Madaktari wamegundua hilo baada ya vipimo kukosa viini vinavyosababisha ugonjwa huo.
Huyu ni mtu wa pili duniani ambaye amepatikana hana virusi vya UKIMWI baada ya kupandikizwa uboho.
Tukio hili limeibua upya matumaini kuwa juhudi za kupata kinga dhidi ya UKIMWI na virusi vinavyosiababisha huenda zikazaa matunda karibuni.
Pia kilichotumika kama tiba kwa huyo UK PATIENT ni stem cell....Selimundu shina
Yaani uboho huuhuu unaoleta ukimwi leo tena unatibu Ukimwi. Tehh teheee he khooHuu unaouona hapa ni "Uboho"
View attachment 1039164
BBC wame report haya chini
Mtu mmoja aliyekuwa ameambukizwa UKIMWI amegunduliwa kuwa hana tena virusi hivyo baada ya kupandikiziwa seli za uboho(stem cells).
Madaktari wamegundua hilo baada ya vipimo kukosa viini vinavyosababisha ugonjwa huo.
Huyu ni mtu wa pili duniani ambaye amepatikana hana virusi vya UKIMWI baada ya kupandikizwa uboho.
Tukio hili limeibua upya matumaini kuwa juhudi za kupata kinga dhidi ya UKIMWI na virusi vinavyosiababisha huenda zikazaa matunda karibuni.
Mbona ulikua haupo mkuu mpaka early 1980'sHivi wadau mlishawaza kama mimi, kwamba chukulieni tu hivi gonjwa hili hatari(ukimwi) usingekuwepo kabisa ingekuaje?