"Uboho" unatibu UKIMWI, je waujua "uboho" wenyewe? Huu hapa

😁😁😁.....duh hayo mambo ya kutafsiri kila kitu
selimundu shina

Bwana kiswahili kingine watu wanaweza wakaongea halafu ukashangaa huelewi wakati wewe mswahili pyua
 
Kuna kabila au makabila hwatamki "h". Inakuwa mtihani
 
maralia na aids ndio project zimekula mda sana, ifike sasa waruhusu dawa unapiga tatu asubuhi, mchana na jioni biashara imekwisha. haiwezekani corona juzi tu mara tayari chanjo imepatikana.
 
ndio maana nitaendelea kupinga kiswahili kuwa lugha ya kufundishia
kuna keyword nimeona hapo kidogo niwaite mod waje kukuondoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…