Ubongo Baada ya Kifo: Je, Bado Unawaza?

Ubongo Baada ya Kifo: Je, Bado Unawaza?

Ubongo ndo unabeba ufahahu wote wa mwili
it means uki shut down hakuna hutalojua

hao wanasayansi wanaongelea process zingine za kimwili ambazo hazihitaji ubongo wa ufahamu utoe maamuzi!
 
Scientifically hapana ila spiritual ndio watu wa dini wanasema hapo ndio mtu anaonyesha matendo yake yote na wapi ataenda kama ni sehemu nzuri au sehemu mbaya
Scientifically proven,ukifa unajua kua umekufa
 
Tupe dalili hizo nasi tupate kuzijua japo kidogo
Dalili za kawaida kabla ya kifo:
1. Kupungua kwa hamu ya kula na kunywa
2. Kupungua kwa nguvu na nishati
3. Mabadiliko ya kupumua
4. Mabadiliko ya ngozi
5. Kupungua kwa mapigo ya moyo na shinikizo la damu(pressure)
6. Kuharibika kwa mzunguko wa damu
7. Kupungua kwa fahamu au kuchanganyikiwa
8. Kupoteza uwezo wa kudhibiti mkojo na kinyesi
9. Kuzama katika usingizi wa muda mrefu
10. Kupungua kwa maumivu

Dalili za Near-Death Experiences (NDEs):
1. Kuhisi kutoka nje ya mwili
2. Kupita kwenye handaki lenye mwangaza
3. Hisia ya amani na utulivu
4. Kukutana na watu waliokufa
5. Kuwa na mawasiliano ya kiroho
6. Mapitio ya maisha yao yote
7. Kuhisi kutokuwa na mwili
8. Uamuzi wa kurudi au kuendelea
9. Kusikia sauti za ajabu
 
Dalili za kawaida kabla ya kifo:
1. Kupungua kwa hamu ya kula na kunywa
2. Kupungua kwa nguvu na nishati
3. Mabadiliko ya kupumua
4. Mabadiliko ya ngozi
5. Kupungua kwa mapigo ya moyo na shinikizo la damu(pressure)
6. Kuharibika kwa mzunguko wa damu
7. Kupungua kwa fahamu au kuchanganyikiwa
8. Kupoteza uwezo wa kudhibiti mkojo na kinyesi
9. Kuzama katika usingizi wa muda mrefu
10. Kupungua kwa maumivu

Dalili za Near-Death Experiences (NDEs):
1. Kuhisi kutoka nje ya mwili
2. Kupita kwenye handaki lenye mwangaza
3. Hisia ya amani na utulivu
4. Kukutana na watu waliokufa
5. Kuwa na mawasiliano ya kiroho
6. Mapitio ya maisha yao yote
7. Kuhisi kutokuwa na mwili
8. Uamuzi wa kurudi au kuendelea
9. Kusikia sauti za ajabu
Aise...
 
Back
Top Bottom