Ubongo Baada ya Kifo: Je, Bado Unawaza?

Ubongo Baada ya Kifo: Je, Bado Unawaza?

Scientifically hapana ila spiritual ndio watu wa dini wanasema hapo ndio mtu anaonyesha matendo yake yote na wapi ataenda kama ni sehemu nzuri au sehemu mbaya
Kwani tukishakufa kuna sehemu tunaenda tena?
 
Hizo dakika 7 ni za kutubu
Wakati huo utashi ni mdogo usingizi huo haukuwezeshi kutambua HALI ya wakati huo , ulipo , tujitambua muda WA wiki kwako ni kama dk MOJA. Hiyo ni Siri walio hai hawatakiwi kujadili namna na HALI ya waliokufa. Swali HIVI ukilala unaweza kujua exactly kujua ulilala saa ngapi? Mimi niliwahi kuzimia wananiambia takriban dk 45 kwenye ajali sikujua chochote Wala maumivu Kwa muda huo zaidi ya kushangaa nilipozinduka na kumuuliza dereva aliyekuwa ananipeleka hospitalini KUWA vp Kuna Nini? Akanianbia umepata ajali. Swali langu la kwanza nilijuuliza kimya kimya HIV nilitoka wapi? Kwa hiyo tusidanganyane kbs.
 
Dalili za kawaida kabla ya kifo:
1. Kupungua kwa hamu ya kula na kunywa
2. Kupungua kwa nguvu na nishati
3. Mabadiliko ya kupumua
4. Mabadiliko ya ngozi
5. Kupungua kwa mapigo ya moyo na shinikizo la damu(pressure)
6. Kuharibika kwa mzunguko wa damu
7. Kupungua kwa fahamu au kuchanganyikiwa
8. Kupoteza uwezo wa kudhibiti mkojo na kinyesi
9. Kuzama katika usingizi wa muda mrefu
10. Kupungua kwa maumivu

Dalili za Near-Death Experiences (NDEs):
1. Kuhisi kutoka nje ya mwili
2. Kupita kwenye handaki lenye mwangaza
3. Hisia ya amani na utulivu
4. Kukutana na watu waliokufa
5. Kuwa na mawasiliano ya kiroho
6. Mapitio ya maisha yao yote
7. Kuhisi kutokuwa na mwili
8. Uamuzi wa kurudi au kuendelea
9. Kusikia sauti za ajabu
Je Hii inatokea hata kwenye vifo vya ghafla kama ajali, kuuliwa ?
 
uislam ulilijua hili kitambo sanaa.mtu akifa anasikia kila kitu na hata akiws anapiga kelele kwa adhabu.wanyama na watoto wachanga wanamsikia.ila ndo hivyo ameshakwenda
Kwa uthibitisho wa mnyama gani au mtoto gani mchanga aliweza kusema “marehemu huyu aliyekufa saa hizi anapokea adhabu kali na analia kwa uchungu” huku wengine hawasikii?
 
Kwani tukishakufa kuna sehemu tunaenda tena?
Inatokana na imani yako kama ni abrahamic religion utaenda kuzimu kujiandaa kwenda aidha peponi au motoni, kama budha na hinduism utakuwa Reincarnated kwenye mwili mwingine au scientifically ndio mwisho wako huo
 
Dalili za kawaida kabla ya kifo:
1. Kupungua kwa hamu ya kula na kunywa
2. Kupungua kwa nguvu na nishati
3. Mabadiliko ya kupumua
4. Mabadiliko ya ngozi
5. Kupungua kwa mapigo ya moyo na shinikizo la damu(pressure)
6. Kuharibika kwa mzunguko wa damu
7. Kupungua kwa fahamu au kuchanganyikiwa
8. Kupoteza uwezo wa kudhibiti mkojo na kinyesi
9. Kuzama katika usingizi wa muda mrefu
10. Kupungua kwa maumivu

Dalili za Near-Death Experiences (NDEs):
1. Kuhisi kutoka nje ya mwili
2. Kupita kwenye handaki lenye mwangaza
3. Hisia ya amani na utulivu
4. Kukutana na watu waliokufa
5. Kuwa na mawasiliano ya kiroho
6. Mapitio ya maisha yao yote
7. Kuhisi kutokuwa na mwili
8. Uamuzi wa kurudi au kuendelea
9. Kusikia sauti za ajabu
Nyingi ya sababu orodheshi hapo kwa mtu asiyejua lolote kuhusu afya hawezi kung’amua kama ndugu yake anaenda kung’ata shuka labda hiyo #7 ndiyo rahisi kwani kwa asilimia kubwa huwapata wale waliougua muda mrefu.

Kuna nyingine wanasema mtarajiwa huwa anaona aibu kuangaliana usoni na ndugu au rafiki yake.
 
Kwanini aone aibu? Hii nimekua nikiisikia pia..
 
Nyingi ya sababu orodheshi hapo kwa mtu asiyejua lolote kuhusu afya hawezi kung’amua kama ndugu yake anaenda kung’ata shuka labda hiyo #7 ndiyo rahisi kwani kwa asilimia kubwa huwapata wale waliougua muda mrefu.

Kuna nyingine wanasema mtarajiwa huwa anaona aibu kuangaliana usoni na ndugu au rafiki yake.
Ni kweli mkuu na huwa wanakuwa wapole pia kam ni mgonjwa hujihisi nafuu
 
Wakati huo utashi ni mdogo usingizi huo haukuwezeshi kutambua HALI ya wakati huo , ulipo , tujitambua muda WA wiki kwako ni kama dk MOJA. Hiyo ni Siri walio hai hawatakiwi kujadili namna na HALI ya waliokufa. Swali HIVI ukilala unaweza kujua exactly kujua ulilala saa ngapi? Mimi niliwahi kuzimia wananiambia takriban dk 45 kwenye ajali sikujua chochote Wala maumivu Kwa muda huo zaidi ya kushangaa nilipozinduka na kumuuliza dereva aliyekuwa ananipeleka hospitalini KUWA vp Kuna Nini? Akanianbia umepata ajali. Swali langu la kwanza nilijuuliza kimya kimya HIV nilitoka wapi? Kwa hiyo tusidanganyane kbs.
Duh
 
Back
Top Bottom