Waziri mwizi, Boss! Huyo ni kijana mwizi sana. Akiwa naibu, yeye pamoja na katibu wake mkuu Mkumbo walikuwa mabingwa wa kuwatumia maafisa Bonde kupiga pesa. Leo hii ni waizi na ananendelea kugawana pesa na maafisa hao. Anaamini ni siri lakini tunazipata zoooote.Picha mkuu hao watu waziri anapitia jf
Tiss imejaa waluguru bila shaka na kana kwamba hawaambiwi kitu. Magufuli alilia kuwa katika mikoa inayomsumbua ni Morogoro hadi akabadilisha mkuu wa mkoa. Morogoro ni shida mkoa ulioshindikana, wananchi wake wa asili ni waharibifu wa milima mizuri yenye maji ya Morogoro, afu wanajifanyaga hawana shida hata kama wasipokuwa na maji, shule wala barabara, mnaolalamika wageni.Bora hayati angekuwepo kwa huu uzi tu kuna mtu ofisini asingekuwepo sasahivi!
Wenyeji wanaoishi milimani kwa kulima na kufuga mbuzi ndo huchoma moto kwa Tambi, anaweka tambi jioni then usiku sana moto unaona ushaanza utamkamata nani, wengine huchoma kuvizia viwanyama vidogodogo na ili majani yachipue mapyaWanajifanya kukamata waokota kuni milimani, wakat wanachoma wao milimam kwenye vyanzo vya maji, ili wauze maji mitaani, Kuna walinz mbona wanashindwa kudhibit Moto.
Kigurunyembe tuna miezi sita maji ya moruwasa hatuyajuiIla mjini maji si yapo kule mazimbu?
Morogoro ilikuwa enzi ya Amos Makala, hivi mkuu wa mkoa ni nani sahizi hapo?Kigurunyembe tuna miezi sita maji ya moruwasa hatuyajui
Laki nne wamekupendelea. Mimi walinipiga laki sita na nusu na bomba kumbe halina majiBado hujaenda kwenye gharama za kuunganisha maji, mteja unalazimishwa kununua vifaa kwao ambavyo bei ni mara mbili ya bei ya sokoni
Mtu anaunganisha maji mita 15 kutoka bomba kubwa gharama zinafika laki 4!
Yupo Maccm mmoja alikuwa RC Tanga - shigellaMorogoro ilikuwa enzi ya Amos Makala, hivi mkuu wa mkoa ni nani sahizi hapo?
Basi Mkoa umemshinda huyoYupo Maccm mmoja alikuwa RC Tanga - shigella
Bora kule Tanga tulikuwa tunamskia, mara kwenye bomba la mafuta, wachina na kiwanda cha cementi, hapa Bora yule mmasaiBasi Mkoa umemshinda huyo
Dah Moro inatia kinyaa kweli! Yani maji ya mgao bila sababu?Bora kule Tanga tulikuwa tunamskia, mara kwenye bomba la mafuta, wachina na kiwanda cha cementi, hapa Bora yule mmasai
NAONGEA HAYA KWA KUMAANISHA NA USHAHIDI...Niko hapa Morogoro najaribu kutafuta raha itokanayo na huyu anayeitwa Samia. Yaani eti mji mzima una matatizo ya maji. Ajabu ni Wafanyakazi wa MORUWASA ndo wafanyabiashara ya maji.
Nimejiajili na kuanza kuwa mwandishi wa habari za uchunguzi; kuna magari zaidi ya 50 yakizunguka majumbani kuuza maji, yanayotoka kwenye matenki ya MORUWASA. Ni hali ya kusikitisha kwamba Usanii wa wizara hii uko nchi nzima. Ni utawala wa kubembelezana na kujisifu rangi yangu nyeupe! macho yangu yamelegea!
Taarifa za mitaani ni kwamba wafanyakazi wa MORUWASA wanafunga mabomba na badala yake maji hayo yanauzwa kwa kutumia magari ya waajiliwa hawa. Ikifika Usiku milima yote inawaka moto. Ni uchomaji kila kona ya mji. Aibu ni kwamba Mkuu wa mkoa yupo! Mkuu wa wilaya yupo! Nini thamani ya kuwa na viogozi wa ngazi hizi? Nini kazi zao za kila siku?
MORUWASA ni aibu mkuu.Jambo la ajabu ni kwamba Waziri wa Maji kijana Aweso yupo,ana bwabwaja,tu Kiswahili kiingi,kazi zero.Arudishwe Pangani huyu,kashindwa kazi.Niko hapa Morogoro najaribu kutafuta raha itokanayo na huyu anayeitwa Samia. Yaani eti mji mzima una matatizo ya maji. Ajabu ni Wafanyakazi wa MORUWASA ndo wafanyabiashara ya maji.