Ubora wa degree za UDOM na St Joseph

Ni ulimbukeni kuleta thread za ubishani kuhusu vyuo zisizo na tija wala faida kwa ujenzi wa taifa letu zaidi ya kuishia kukwazana na wengine kutukanana, wote tu wajenzi wa taifa hili tunagombea tofali na miti ya kujengea ili iweje? lets be precise and focused
 
hii thread si ifutwe maana haina maana we soma kokote kama huna mtu wa kukushikilia kwenye ajira utakalia mawe na degree yako hata uwe umeichukua wapi na kuhusu chuo huwa tunaangalia course maana huwezi kusoma chuo kizuri unapiga course mbovu ila na wewe humo kwenye kushadadia.
 
Jk, lowasa, chenge na mafisadi na viongozi wabovu kadhaa, hivi wamesomea chuo gani zaidi ya udsm!? Ubora wa chuo akili zako mwenyewe, na khs wanaosoma education kuwa na passmark mbovu, sio udom tu ni karibu vyuo vyote maana ni kimbilio la waliofell
 
U keep arguin, sijui chuo mara walimu. Billgates was a dropout, Steve Jobs and Mark Zuckerberg too. The point is, unatumiaje uelewa wako kuleta tija katika maisha ya kila siku. Sio chuo kina madokta wangapi au maprofesa, wahindi, big no - that does not matter!

ALL IS MIND!

PS: Sishauri mtu awe college dropout ili atoke!lol
 
naungana na mkuu hapo juu kwamba hakuna chuo bora zaidi ya kingine. vyuo vyote ni bora tunacho angalia ni facility zilizopo je! zinatosheleza kwa mahitaji ya mwanafuzi wa university. kwa suala la St. Joseph sidhani kama kunaukweli ndani yake wale jamaa wako compitent sana na kadiri siku zinavyo endelea nakuhakikishia kitakuwa ni chuo bora kinachotoa shahada ya uhandisi hapa Tanzania. kumbuka hicho chou kipo chini ya kanisa katoliki na tunafahamu umakini wa kanisa hili katika kutoa elimu.
nawasilisha.
 
Tru dat Mwafrika, Mbona kuna Maprofesa Na Madokta kibao hawajui hata kujieleza like Jumanne Magembe, Kapuya, Kawambwa na Mary Nagu, so chuo kuwa na Ma Dk au Maprofesa Wengi sio issue, je wanaweza ku deliver?
 
mkuu naomba ni kwambie kitu hiki ninamtu ambaye anafanya kazi ofisi moja wapo kubwa ya serikali, ilifika wakati wanataka kuajiri watu waliosomea IT na computer science katika kufanya usahili wanafunzi wote waliosoma udsm walionekana hawapo compitent kabisa na hajira hawakupata. naona kama unakikandia sana chuo cha St Joseph lakini nakwambia after 5 years utakuja kuniambia juu ya ubora wa chou hiki.hiki ni bado chuo kichanga na kinakuja kwa kasi hata mbuyu ulianza kama mchicha.
 
natabiri siku za mbeleni JF kugeuka kuwa kama FECBOOK
Nakuunga mkuu tena kwa hili ongezeko la watu humu ndani du!! tunatakiwa tuwe makini maana tukisha geuka fcbk kwishney. huyu jamaa aliyeleta hi mada nahisi kama akili zae hazmtoshi kabisa
 
Hii thread imerudishwa tena?oya mods,tunaomba muiondoe,maana watu wanaweza dundana humu!
 
kweli mkuu ndugu yangu anafanya ofisi ya mkaguzi mkuu wa mahasabu ya serikali wanasema waliwatimua kazi graduate wote wa udsmkitengo cha it walikuwa wanafanya madudu na kuuza sura. badala yake waliwajiri wanafunzi waliotoka DIT na st joseph wako compitent sana.
 
mkuu nakuunga mkono sana tuu.
 
huyo MSENGYE, FYALLA, masikini wa akili anayesema kwamba udom ni vilaza! (no div 1)
kwa taarifa yake mimi binafsi nimepata DIV 1 advance... nimesomea KIBAHA SPECIAL SCHOOL PCM nilichaguliwa UDSM nikakataa !!! mimi nimefuata elimu bana sio chuo!
Hata hapo UDSM pindi chuo kinaanzishwa kulikuaje?????????????????
ACHENI PUMBA MNAOPONDA UDOM NA WATU WAKE.
 

nakuunga mkono, watu wana ushabiki wa jina, kwamba UDSM ina elimu nzuri. Hiyo ilikuwa zamani.!! Stukeni, acheni ushamba wa elimu.
 

we taira kweli waliokuwa wanakukimbiza hapo shule wako chuo gani? Usiwe kama kichaa na hasira zako za kuchagua udsm na kupigwa chini usizilete humu JF.Kwanza aliye kwambia kibaha ni special school ni nani? Kweli elimu yako uliyoipata udom haijakusaidia kabisa.Hao wa kibaha na shinyanga au moshi sec wanatofauti gani? Vyakula na walimu ni walewale na huduma nyingine ni zilezile so what the differences and what so special about your school?? Waliosoma Azania au benjamini wakapiga div 1.3 na kibaha mtu kapata div 2 who is special between these two? Hatuangalii kafaulu kupitia njia zipi ila kapata chuo anachokipenda na course anayoitaka ndio vya msingi.We utaumia sana kusoma chuo cha kata na kukutana na vilaza wenzio swali dogo la maths mpaka mkamuone ticha ndio linaenda?? Njoo udsm,mzumbe au ardhi uone vichwa wa maths walivyosheheni.

Mtajivunia kwa kipi udom?? Wahadhiri wenu wote wametoka kwenye vyuo vikongwe na wapo hapo kimaslahi sio kuja kuwapa taaluma na kuondoa ulaza wenu.YOU SHOULD BE AWARE WITH THIS.
 
Jk, lowasa, chenge na mafisadi na viongozi wabovu kadhaa, hivi wamesomea chuo gani zaidi ya udsm!? Ubora wa chuo akili zako mwenyewe, na khs wanaosoma education kuwa na passmark mbovu, sio udom tu ni karibu vyuo vyote maana ni kimbilio la waliofell

udom mwaka jana na mwaka huu education wamechukua div 1,2 na 3 za point zisizozidi 14 tena kwa masomo ya science.sasa ni kimbilio la waliofeli gani,kitaa kimenuka hamna ajira watu wanasoma education coz ina wide chance yakupata ajira boya wewe.STUKA!
 

tutakutana sokoni,senge sana wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…