Ubora wa Jude Bellingham ni upi?

Michael Owen alikua mchezaji bora wa dunia kwa kuchukua tuzo ya Ballon D'or ya mwaka 2001. Nadhani nikukumbushe mkuu
 
Januzaj hajawahi kuwa Muingereza, hata jina hulioni mzee kuwa sio la kiingereza?
 
Mchezaji wa kawaida hawezi kucheza Real Madrid
Watu wanajua kucheza Madrid ni rahisi TU huyu dogo kaanza kuimbwa akiwa Dortmund infact mi nilianza kumuona kwenye world cup ya vijana Uiengereza wakibeba
Anaweza asiwe madaraja hayo ya kina Ronaldo Mess Mbape n.k lakini mpira anajua
Halafu ni 19yrs kama sio 20 na ndio huyo kafunga kwenye El classico tena ugenini
 
Ogopa sana media,zinaweza mkuza mtu na kumpotezea
 
Achana na porojo za Waingereza, Chamberlain alikuwa na ubora upi? Average player hype kubwa kama Walcott tu.

Jack Wilshere atleast nilishawishika, Michael Owen kama sikosei mwaka 2001 alitwaa Ballon D’or
Jamaa analeta ujuaji wa ajabu sana ,nilivyoona Chamberlain nikajua tu hajui mpira bali anafosi .
 
Uingereza ndo unamponza
 
Januzaj hajawahi kuwa Muingereza, hata jina hulioni mzee kuwa sio la kiingereza?
Alicheza Manchester United wakampaisha na walitaka kumbadilisha kutoka Belgium kuwa muingereza ila ikashindikana ila point yangu ilikuwa ku overhype wachezaji wanaocheza team zao pendwa au wazawa kwa mfano son wa Tottenham ana takwimu nzuri msimu huu ila kwasababu sio muingereza wala hachezi team zenye interest zao basi wanampotezea and that is my point of view.
 
Ambayo sio dhambi, Pumba hujitenga na Mchele.
 
Jamaa analeta ujuaji wa ajabu sana ,nilivyoona Chamberlain nikajua tu hajui mpira bali anafosi .


Mchezaji Amecheza Arsenal na Liverpool unasema hajui mpira????
(Na ana UEFA CL)

WATU WA MPILA WALITEGEMEA ALEX AATAKUWA MCHEZAJI MKUBWA SANA.


Sema we mshamba unapenda sana kunifuatilia.

Mbona wewe unauejua huchangii kitu zaidi ya umbea na majungu!!!!

(Mfuga majijijini we?????!!!!!!
 
yani kiingereza chote hiki kumbe ulikuwa na lengo la kutudanganya kuwa ADNAN JANUZAJ NI MUINGEREZA.
 
Achana na porojo za Waingereza, Chamberlain alikuwa na ubora upi? Average player hype kubwa kama Walcott tu.

Jack Wilshere atleast nilishawishika, Michael Owen kama sikosei mwaka 2001 alitwaa Ballon D’or

Waingereza na Dunia ya soka tulitegemea alex angekuwa top top player.

Akapotea kama wenzie...........
 
Ivi ule uwanja wa Elclassico ya Jana,ni wanania? Barca au? Watalam
 
Mchezaji mzuri ameprove hilo Ujerumani. Na bado timu kubwa zote unazozijua zilikuwa zinamgombania. Wengine wanasema yuko overated na Waingereza ajabu anacheza Hispania na sio Uingereza. Na tusidegemee Karne hii kuona ufundi mwingi, Mpira wa sasa ni magoli.
NB: Brazil Kwa kuona hilo wamesalimu amri na kuamua kumchukua Ancelloti.
 
Mleta maada nadhan tunatofautiana kidogo sana, Jude Bellingham ni mchezaji mzuri sana kwenye nafasi yake ambayo ni CM (refer his performance alipokua bvb akicheza kama CM), lakini kwenye nafasi anayochezeshwa saiv kama namba 10 hana maajabu mpaka Sasa hivi labda kama atakuja kuboresha baadae.
 
Wewe kweli nati zimecheza kichwani .

Chamberlain kafanya maajabu gani mpaka angie katika kutumainiwa kuchukua tuzo ya mchezaji bora ?

Aya yako ya kwanza inathibitisha wazi kuwa wewe ni kiazi mbatata kilichooza , ina maana mchezaji akicheza Arsenal na Liverpool Automatically anakuwa mchezaji wa kutumainiwa ? Chamakh kacheza Arsenal ,Frimpong nk lakini wamefanya nini ?

Wapi nimesema alikuwa hajui mpira Chamberlain ? soma kwa makini wewe Kiazi ndio maana GENTAMYCINE anakudharau hoja yangu ni wewe kujumlisha katika kundi la wanaotumaniwa kuchukua hiyo tuzo kitu ambacho hajafikia uwezo wa Kupewa hata hizo TETESI .

Nakusubiri nianze kukujibu kwa Statistics ,maana kichwa chalo kinahitaji msasa utokee uharo kichwani mwako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…