Sasso
JF-Expert Member
- Aug 9, 2023
- 530
- 1,957
Michael Owen alikua mchezaji bora wa dunia kwa kuchukua tuzo ya Ballon D'or ya mwaka 2001. Nadhani nikukumbushe mkuuWaingereza ni watu wa kushangaza kidogo.
1. Viungo hawa walikiwa wazuri mno
Frank lampard.
Steven Gerlard.
Paul scores etc.
Walicheza kwa mafanikio makubwa ila hakuwahi kuoata Tuzo za Dunia.
2.Hawa wachezaji nilitegemea waje kuwa wachezaji bora wa Dunia . Ghafla wakapotea bila kutegemea
Michae owen.
Jack Wilshare
Alex oxled chamblen.
Theo walcott.
Wakapotea bila kutegemea
Wakijidai majeraha majeraha........