Nimerudia zaidi ya mara tano, hakuwa amezidi huyo mchezaji wa juu.Tatizo unatanguliza ushabiki ila yule mchezaji wa juu alikuwa amezidi japo ni kidogo na inahitaji umakini kuiona ile offside ambaye hakuwa offside ni yule aliye kuwa upande ya chini.
Yanga hii hii inayopata matokeo kwa mbinde kwenye ligi!? Au kuna Yanga nyingine!?Kwa Simba hiii .....ndo wakutane na mamelod .....au Yanga [emoji1][emoji1] just imagine what gonna happen
Kwahiyo Mamelod umeiweka kundi moja na Yanga? [emoji23]Kwa Simba hiii .....ndo wakutane na mamelod .....au Yanga [emoji1][emoji1] just imagine what gonna happen
Kwani Yanga inacheza Klabu Bingwa? 🤣 🤣 🤣Kwa Simba hiii .....ndo wakutane na mamelod .....au Yanga [emoji1][emoji1] just imagine what gonna happen
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnaumia had baas,Ashukuriwe mno yule mshika kibendera lasivyo hali ilikuwa mbaya. Bora alivyokataa goli halali kabisa
Yanga ipiii??Kwa Simba hiii .....ndo wakutane na mamelod .....au Yanga [emoji1][emoji1] just imagine what gonna happen
Unalia ukiwa wapiiii??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nachojua nikuwa simba jana kadraw moja moja
Nimerudia zaidi ya mara tano, hakuwa amezidi huyo mchezaji wa juu.
Haha dahWewe utakuwa huwa unatafuna pilipili kabla hujaingia JF[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ashukuriwe mno yule mshika kibendera lasivyo hali ilikuwa mbaya. Bora alivyokataa goli halali kabisa