Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
-
- #41
Su-30 MKI, Tejas, Mig-29, Rafale zinaweza tumika kwenye shambulizi. Ila Rafale 6 kupigwa kwa usiku mmoja sahau na futa kichwani.
Weka source Putin aliposema kwamba special operation ndani ya Ukraine itakuwa ya saa 72Si ndiye alisema anamaliza ndani ya saa 72,au siyo yeye?
J-10C + PL-15E missiles 🔥🔥🔥Mashine hiyo
View attachment 3327429
THAAD ya usa kwa set moja ni dollar bi 8 sawa na 25 trilion tsh ukija kwenye uhalisia amna kitu MIC ya usa wanapiga sana pesa ndo maana nancy pelose ni bepari hasaMaeneo mengi duniani katika uwanja wa vita, silaha zilizotamalaki na kunesha usitahimilivu na ufanisi ni za China na Urusi.
Hao mabepari wa magharibi wanajua kukuza bei tu.
Ndiyo maana vita ya Ukraine Urusi anawachapa washirika wa ukraine na silaha zao.
Tatizo China tunamchukulia poa. Silaha bei poa na ufanisi mzuri.
Mmeshaanza propaganda za israel ndege itengenezw usa halafu yeye aje kuipiga chini yote si atengeneze yake sasa mbona ni rahis sanaTrump kasema its shame for India..
Ila Jana nilicheka sana yaani Vita inaanza Ndege 5 zimeangushwa and India wao wamefanikiwa kubomoa msikiti shehemu kadhaa.. Pengine hizo ndge zilifungwa injini za bajaj.
Ndege vita zinnahitaji modifications kadhaa Israel anajua haya.. Akinunua ndege anaipiga chini yote anafunga vifaa vyake Mwenyewe.. ndio maana hashikiki... Israel kinachomsaidia ile project yake ya kutengeneza ndege vita yake mwenyewe and Marekani akaingilia kati kuikwamisha ndio chanzo kikuu cha High Tech.. and Mwishowe akawauzia China tech ya Ndege na China ametisha kwa hiyo tech ya hizo Ndege za Ravi fighter jet
hili dude ukiangalia hizo masharubu zake utagundua kabisa MRUSI anahusika hapo kwa namna fulani kuileta DUNIANI...! 😎🔥Mashine hiyo
View attachment 3327429
Hivi unajua hizo ndege ukizinunua kama zilivyo watengenezaji wakiamua kukuua wanakua tu zina killer switch kama vile ukinunua iphone ya wizi mwenyewe akitaka usiitumie ana lock tu.. Israel tech zake zipo mbali sana mkataba tu wa kutengeneza ndege zake unamzuia tu. ila alishawahi unda ambazo ndio China anatesa tu hadi leo kiufupi iliakiwa Israel ndio angekuwa anauza hizo ndege.. LAVI ProjectMmeshaanza propaganda za israel ndege itengenezw usa halafu yeye aje kuipiga chini yote si atengeneze yake sasa mbona ni rahis sana
Hata visual Evidence ya Ndege ya India ipo, Ufaransa wenyewe wanakiri moja imetunguliwa na hizo nyengine hawajakataa wala kukubali kama zimetunguliwa ila wanasema wanapeleleza zaidi, pia sio ndege zote zilizotunguliwa ni Rafael ni kachumbari ya ndege ikiwemo rafael.Ndege za India zimeingia anga la Pakistan na kushambulia.
Pakistan wanalalamika raia wao wameuawa kwa mashambulizi ya anga, India inadai imeshambulia kambi za magaidi. Pak wanatishia kulipiza kisasi.
Pakistan inadai imedungua ndege za India, na zikadondoka kwenye ardhi ya India. (Pakistan haitodaiwa visual evidence, simply itasema ndege zimedondoka India kwahiyo India wanaficha ukweli). Ila visual evidence ya airstrikes za ndege za India ndani ya Pakistan ipo. Mpaka sasa zinazunguka picha za hapa na pale kuwa ni za leo.
THE HINDU walireport baadaye wakaja kufuta serikali ya India waliipressurize ifute hii post yaoThe Hindu Wali report na ushahidi wa picha Ndege 3 (wakafuta article ila imehifadhiwa Archive)
Unaongea upumbavu aisee...Hapa nakubaliana nawe kwa 100%
Pamoja na nchi za NATO kumuunga mkono Ukaraine imagine Putin wala hafikirii kusimaisha vita kwa jinsi anajiamini
Mmarekani mara ajitoe mara arudi ila mwamba kabaki na msimamo wake uleule anakiwasha tu
Russia ni lidude fulani la kuliogopa sana
Wewe ni lofa sanaUnaongea upumbavu aisee...
Eti lidude...hivi unajua nu wanajeshi wangapi wa Russia wamekufa?...wale ni watoto wa maskini ndio maana hawazungumzwi....usiwe lofa..
Viongozi wa aina ya Putin ni washenzi sana...yeye kaficha wanae na ndugu zake huku anawasogesha front watoto wa maskini wakafe...fucken selfish 😑!
Alafu unasema hutaki vita isimane..muweke mkeo mbele kama unapenda vita..
THAAD ya usa kwa set moja ni dollar bi 8 sawa na 25 trilion tsh ukija kwenye uhalisia amna kitu MIC ya usa wanapiga sana pesa ndo maana nancy pelose ni bepari hasa
Nchi pekee yenye uwakika wa kuisapori India ni Russia lkn Marekani na Ulaya wanafiki tu kwa India !!!!