WameshaiwekaMwenye ngoma ya stori ya Soggy ft Mandojo na Domokaya aiweke hapa tupate ladha
KabisaWrite your reply... MAJANI NOMA SANA, VIJANA WA SASA WANASAMPLE BITI ZA KINAIJA NA US WANAJIONA WAKALI
We Majani hakuuza bit kwa Chameleon , jamaa aliiba ikaleta ugomvi sanaBinafsi katika watu waliokua wanamchukulia P.Funk poa basi ni mimi.
Nilikuja kusikia ngoma mbili nikawaza sana na kujiuliza producer aliwaza nini kupika midundo na vinanda hatari namna ile.
Ngoma ya kwanza SI ULINIAMBIA- MB DOGY- hii ngoma aisee ukiisikiliza kwa makini imepangiliwa vizuri sana halafu kila kitu kinasikika kwa usawa kabisa, halafu beat ilivyotembea sasa achaaaa( nakushauri sikiliza hii ngoma kwa umakini sana upande wa producer halafu unambie)
STAREHE - FERUZ MRISHO- Hii ngoma pamoja na kusumbua sana enzi zake kwa ujumbe lakini producer alifanya kazi
Nyongeza sikiliza
NIKUSAIDIAJE- PROF JAY
Hii ngoma beat ilikua kali kuliko kawaida mpaka ikazua mtafaruku pale bongo record, ilikua hivi;
Baada ya P kuifanya na kumpa Prof jay ngoma ilipotoka ilibamba sana mpaka JOSE MUYENJWA CHAMILIONE akaisikia na akaikubali.
Baada ya CHAMILIONE Kuielewa ngoma akamchech P na kupanda dau, P hakufanya ajizi akaiuza beat kwa JOSE MUYENJWA, jamaa alipoinunua tu nae akapiga boonge la track na mdogo wake WIZZLE(wa goodlife) ngoma ikawa noma.
Prof Jay akalia lia sana ila P akamkazia kuwa yeye ndie mmiliki halali wa mdundo ule hivyo ana haki zote za kuufanya chochote, likataka kuzuka bifu kati ya JOSE wa Bongo na JOSE wa Uganda.
Baada ya mvutano wa muda mrefu, wao kama watu wazima wakakubaliana kiutu uzima mambo yakaisha ikabidi ile kuonyesha ukomavu wao wa kiutu uzima wakashuka na joint kali ya NDIVYO SIVYO( unaijua hii?)
Baada ya muda kupita jinamizi la ile beat likazidi kuibuka tena baada ya Wazungu fulani kuitumia beat ile kama soundtrack kwenye movie yao na kumlipa CHAMILIONE maelfu ya dollars halafu jamaa akaamua kuuvuta mkwanja peke yake bila kumtonya P FUNK .
Basi P alivyosikia beat yake kali imetumika kama soundtracks akawajia juu wale wazungu ila wakamchana mbona tayari tumeshamlipa mmiliki wa ile beat?(Chamilione) P Hakuremba mwandiko akamuibukia Chamilione na ile jamaa kuzuga akampa mpunga kiduchu tu. basi P akakiwasha hatari.
Mpaka leo sidhani kama kuna maelewano mazuri kati ya P & JOSE CHAMILIONE
Pia alikua na ngoma moja aliimba na ngwea inaitwa blahblah mwenye nayo aitupie humuBoss ya solo na ferooz,Kuna dogo mmoja alikua chotara flan wa kijerumani sijui kapotelea wapi?anaitwa Bodea,aliimba ngoma moja na proof Jay inaitwa hardcore.kama unayo iweke pia
Sawa ehee??jamaa alikua anapewa blowjob kwenye gari ?
umeelewa nilichoandika au ? mkuu kama hujaelewa jaribu kuuliza sio unakurupuka kutumia lugha zisizofaa, anyway ngoja nikujibu kistaarabu, mimi nimeuliza swali kuhusu kilichoandikwa ,na sijasema namzungumzia marehemu, kwahiyo tukikuta comment humu tusiulize kisa zinawahusu marehemu ? jaribu kukua man ,am sure hiyo comment yako haiendani na umri wako, alafu sio kila kitu humu mpaka ukipendeAcha unaa dogo..marehemu ahojiwi!!!
Sawa ehee??
Baraka Issack Naomba enjoy Mkuu,maadui wawili ndani ya nyumba moja ya Bongo Records,when music was real music,nowadays bubble gum tu na makopo!!
Hasira zake za miaka hyo, kufukuzwa getini pale bamaga anazileta huku....ahahahhahaNjia pekee ya kuziondoa sifa za p na kumfanya aoneke producer wa kawaida ni wewe kuanza kugonga beat zenye ubora zaidi ya zile za P alafu vile vile uwe na uwezo mkubwa wa kufanya mixing na mastering ukiyaweza hayo basi uanze kuachia mangoma yako uliyoyarekodi kisha sisi wadau ndo tu anze kujudge sasa kwamba kati yako wewe na mkali P nani zaidi
Mkuu Mikasi ni combination ya producers wakali Majani na Prof Ludigo. Hiyo ngoma hajaproduce ludigo peke yake walishirikiana wote wawili. Ikumbukwe pia Prof Ludigo,Bizzman na soggy doggy hunter ni producers ambao kupitia Bongo Records studio iliwasaidia sana kudevelop carreer zao, P Funk Majani mpaka akuachie studio ama ushirikiane nae kuproduce wimbo basi ujue anaamini uwezo wako. KUPITIA BONGO RECORDS P-FUNK MAJANI ALIWEZA KUSAIDIA KUDEVELOP CARREER ZA PROF LUDIGO, BIZZMAN na SOGGY JAPO SOGGY HAKUTAKA KUENDELEA NA FANI YA PRODUCTION. BONGO RECORDS CHIN YA LEGEND P FUNK MAJANI ITABAKIA KUWA NI MGODI ULIOSAIDIA KUENDELEZA VIPAJI VINGI VYA WASANII NA PRODUCERS.Mikasi si mkono wa Majani ule ni Professa Ludigo
Mkuu Mikasi ni combination ya producers wakali Majani na Prof Ludigo. Hiyo ngoma hajaproduce ludigo peke yake walishirikiana wote wawili. Ikumbukwe pia Prof Ludigo,Bizzman na soggy doggy hunter ni producers ambao kupitia Bongo Records studio iliwasaidia sana kudevelop carreer zao, P Funk Majani mpaka akuachie studio ama ushirikiane nae kuproduce wimbo basi ujue anaamini uwezo wako. KUPITIA BONGO RECORDS P-FUNK MAJANI ALIWEZA KUSAIDIA KUDEVELOP CARREER ZA PROF LUDIGO, BIZZMAN na SOGGY JAPO SOGGY HAKUTAKA KUENDELEA NA FANI YA PRODUCTION. BONGO RECORDS CHIN YA LEGEND P FUNK MAJANI ITABAKIA KUWA NI MGODI ULIOSAIDIA KUENDELEZA VIPAJI VINGI VYA WASANII NA PRODUCERS.
Hii sound cloud n nn mkuu nasisi tuijueOngeza ongeza track.nyingine za kina ngwair na Jay mo
Binafsi Mimi huwa napata track kwenye SoundCloud napata old hit zote za bongo
Mkuu Mikasi ni combination ya producers wakali Majani na Prof Ludigo. Hiyo ngoma hajaproduce ludigo peke yake walishirikiana wote wawili. Ikumbukwe pia Prof Ludigo,Bizzman na soggy doggy hunter ni producers ambao kupitia Bongo Records studio iliwasaidia sana kudevelop carreer zao, P Funk Majani mpaka akuachie studio ama ushirikiane nae kuproduce wimbo basi ujue anaamini uwezo wako. KUPITIA BONGO RECORDS P-FUNK MAJANI ALIWEZA KUSAIDIA KUDEVELOP CARREER ZA PROF LUDIGO, BIZZMAN na SOGGY JAPO SOGGY HAKUTAKA KUENDELEA NA FANI YA PRODUCTION. BONGO RECORDS CHIN YA LEGEND P FUNK MAJANI ITABAKIA KUWA NI MGODI ULIOSAIDIA KUENDELEZA VIPAJI VINGI VYA WASANII NA PRODUCERS.