Ubora wa Paul Matthysse a.k.a P-Funk Majani wa Bongo Records

Binafsi katika watu waliokua wanamchukulia P.Funk poa basi ni mimi.

Nilikuja kusikia ngoma mbili nikawaza sana na kujiuliza producer aliwaza nini kupika midundo na vinanda hatari namna ile.
Ngoma ya kwanza SI ULINIAMBIA- MB DOGY- hii ngoma aisee ukiisikiliza kwa makini imepangiliwa vizuri sana halafu kila kitu kinasikika kwa usawa kabisa, halafu beat ilivyotembea sasa achaaaa( nakushauri sikiliza hii ngoma kwa umakini sana upande wa producer halafu unambie)

STAREHE - FERUZ MRISHO- Hii ngoma pamoja na kusumbua sana enzi zake kwa ujumbe lakini producer alifanya kazi

Nyongeza sikiliza

NIKUSAIDIAJE- PROF JAY
Hii ngoma beat ilikua kali kuliko kawaida mpaka ikazua mtafaruku pale bongo record, ilikua hivi;
Baada ya P kuifanya na kumpa Prof jay ngoma ilipotoka ilibamba sana mpaka JOSE MUYENJWA CHAMILIONE akaisikia na akaikubali.
Baada ya CHAMILIONE Kuielewa ngoma akamchech P na kupanda dau, P hakufanya ajizi akaiuza beat kwa JOSE MUYENJWA, jamaa alipoinunua tu nae akapiga boonge la track na mdogo wake WIZZLE(wa goodlife) ngoma ikawa noma.

Prof Jay akalia lia sana ila P akamkazia kuwa yeye ndie mmiliki halali wa mdundo ule hivyo ana haki zote za kuufanya chochote, likataka kuzuka bifu kati ya JOSE wa Bongo na JOSE wa Uganda.

Baada ya mvutano wa muda mrefu, wao kama watu wazima wakakubaliana kiutu uzima mambo yakaisha ikabidi ile kuonyesha ukomavu wao wa kiutu uzima wakashuka na joint kali ya NDIVYO SIVYO( unaijua hii?)

Baada ya muda kupita jinamizi la ile beat likazidi kuibuka tena baada ya Wazungu fulani kuitumia beat ile kama soundtrack kwenye movie yao na kumlipa CHAMILIONE maelfu ya dollars halafu jamaa akaamua kuuvuta mkwanja peke yake bila kumtonya P FUNK .

Basi P alivyosikia beat yake kali imetumika kama soundtracks akawajia juu wale wazungu ila wakamchana mbona tayari tumeshamlipa mmiliki wa ile beat?(Chamilione) P Hakuremba mwandiko akamuibukia Chamilione na ile jamaa kuzuga akampa mpunga kiduchu tu. basi P akakiwasha hatari.

Mpaka leo sidhani kama kuna maelewano mazuri kati ya P & JOSE CHAMILIONE
 
We Majani hakuuza bit kwa Chameleon , jamaa aliiba ikaleta ugomvi sana
Ugomvi ukawa mkubwa jose akahaid kulipa 2500 USD mwaka 2006 , lakin hakufanya hivyo,

Baada ya majani kupotezea, ikatoka miito ya zamani ya simu program chini ya MTN program ilikuwa inafanyika Nairobi, mlio wa biti nikusaidieje ukapewa malipo kwa kutumika kwenye miito, Bwana Chamelon akawawahi kina Prof JAY na Majani akachukua dollar 12,000 majani akafuatilia bila mafanikio,

Sasa juzi kwenye movie moja ikatumika tena na wamarekani DISNEY, hapa majani kawa mbogo, maana jose aliwawahi tena ,
Jamaa kalipwa 85,000 USD

Boss ya solo na ferooz,Kuna dogo mmoja alikua chotara flan wa kijerumani sijui kapotelea wapi?anaitwa Bodea,aliimba ngoma moja na proof Jay inaitwa hardcore.kama unayo iweke pia
Pia alikua na ngoma moja aliimba na ngwea inaitwa blahblah mwenye nayo aitupie humu
 
Hivi hii ngoma ya nundu ya hamorapa beat kanyonga nani?
 
Lord Eyes kama si ngada...
Jamaa ni mbobevu kwa hypes na punches
 
Acha unaa dogo..marehemu ahojiwi!!!

Sawa ehee??
umeelewa nilichoandika au ? mkuu kama hujaelewa jaribu kuuliza sio unakurupuka kutumia lugha zisizofaa, anyway ngoja nikujibu kistaarabu, mimi nimeuliza swali kuhusu kilichoandikwa ,na sijasema namzungumzia marehemu, kwahiyo tukikuta comment humu tusiulize kisa zinawahusu marehemu ? jaribu kukua man ,am sure hiyo comment yako haiendani na umri wako, alafu sio kila kitu humu mpaka ukipende
 
Njia pekee ya kuziondoa sifa za p na kumfanya aoneke producer wa kawaida ni wewe kuanza kugonga beat zenye ubora zaidi ya zile za P alafu vile vile uwe na uwezo mkubwa wa kufanya mixing na mastering ukiyaweza hayo basi uanze kuachia mangoma yako uliyoyarekodi kisha sisi wadau ndo tu anze kujudge sasa kwamba kati yako wewe na mkali P nani zaidi
Hasira zake za miaka hyo, kufukuzwa getini pale bamaga anazileta huku....ahahahhaha
 
Huuu uzi stamani kuweka simu kanndo na aliyeanzisha nae apewe bigup zake za kutosha tu....Mana haya mangoma nikiyavutia taswira naona picha za maisha ya nyuma....najiuliza wahy always me?
 
Mikasi si mkono wa Majani ule ni Professa Ludigo
Mkuu Mikasi ni combination ya producers wakali Majani na Prof Ludigo. Hiyo ngoma hajaproduce ludigo peke yake walishirikiana wote wawili. Ikumbukwe pia Prof Ludigo,Bizzman na soggy doggy hunter ni producers ambao kupitia Bongo Records studio iliwasaidia sana kudevelop carreer zao, P Funk Majani mpaka akuachie studio ama ushirikiane nae kuproduce wimbo basi ujue anaamini uwezo wako. KUPITIA BONGO RECORDS P-FUNK MAJANI ALIWEZA KUSAIDIA KUDEVELOP CARREER ZA PROF LUDIGO, BIZZMAN na SOGGY JAPO SOGGY HAKUTAKA KUENDELEA NA FANI YA PRODUCTION. BONGO RECORDS CHIN YA LEGEND P FUNK MAJANI ITABAKIA KUWA NI MGODI ULIOSAIDIA KUENDELEZA VIPAJI VINGI VYA WASANII NA PRODUCERS.
 
Bila kumsahau Lamar wa fishcrab

Ludigo kaanza kuitwa profesa hajaanza kufanya kazi bongo rec, tujiulize tuu huo uprofesa tunaompa ni wa nini?
Mkuu Mikasi ni combination ya producers wakali Majani na Prof Ludigo. Hiyo ngoma hajaproduce ludigo peke yake walishirikiana wote wawili. Ikumbukwe pia Prof Ludigo,Bizzman na soggy doggy hunter ni producers ambao kupitia Bongo Records studio iliwasaidia sana kudevelop carreer zao, P Funk Majani mpaka akuachie studio ama ushirikiane nae kuproduce wimbo basi ujue anaamini uwezo wako. KUPITIA BONGO RECORDS P-FUNK MAJANI ALIWEZA KUSAIDIA KUDEVELOP CARREER ZA PROF LUDIGO, BIZZMAN na SOGGY JAPO SOGGY HAKUTAKA KUENDELEA NA FANI YA PRODUCTION. BONGO RECORDS CHIN YA LEGEND P FUNK MAJANI ITABAKIA KUWA NI MGODI ULIOSAIDIA KUENDELEZA VIPAJI VINGI VYA WASANII NA PRODUCERS.
 
............!
 
Attachments

  • Thanks
Reactions: Ctr
Back
Top Bottom