Ubora wa Paul Matthysse a.k.a P-Funk Majani wa Bongo Records

Hiyo DJ ya Sisiter P niliikubali sana enzi hizo
Kama una MP3 yake itupie mkuu
 
 

Attachments

P funk majani song Please forgive me, dedicate to Kajala pia ni Bonge la ngoma.

Sijui kwanini Majani katubania ili Song!!? Beat vocal kila kitu Majani ali smoke Majani ki kweli kweli full mahisia.

Yooh Majani kinywele kimoja release hii ngoma bro tubaki na ladha ya sauti kama ilivyo kwenye Beat Ma men Majaaaaah Majani.
 
hiyo SINA DEM ya B-BOY imefanywa na MIKA MWAMBA KALI, sio MAJANI.
 
Ebana hizo nyimbo High Quality hadi rahaa 😂😂....
 
Kwa iyo una maanisha nini kwamba p funk hakuwa profucer ama labda hakuwa mkali au alikuwa hajui kabisa muziki?
Nachomaanisha waliyoitengeneza ile nyimbo hakuwa yeye, ingawa sifa nyingi zimeenda kwake... Beat la ile nyimbo ya Ngwear SHE GOT A GWAN ni kombinesheni ys soggy Doggy, Mzungu Kichaa na Bizman.

Ni producer mzuri ila kazi nyingi hakufanya yeye, jina la studio ndiyo lilibeba kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…