Unatumia nguvu nyingi sana kupinga, Sawa tuambie nani alitengeneza ngoma ya HAKUNA KULALA ya juma nature?Nachomaanisha waliyoitengeneza ile nyimbo hakuwa yeye, ingawa sifa nyingi zimeenda kwake... Beat la ile nyimbo ya Ngwear SHE GOT A GWAN ni kombinesheni ys soggy Doggy, Mzungu Kichaa na Bizman.
Ni producer mzuri ila kazi nyingi hakufanya yeye, jina la studio ndiyo lilibeba kila kitu
Thank you very much.
Naomba wimbo wa Prof Jay "Machozi Jasho na Damu". Pia naomba wimbo wa Tuliza Ball wa Mwana FA
Asante sana Mkuu,fanya mpango wa Tuliza Ball wa Mwana FA.....
Haters on their way!!Nachomaanisha waliyoitengeneza ile nyimbo hakuwa yeye, ingawa sifa nyingi zimeenda kwake... Beat la ile nyimbo ya Ngwear SHE GOT A GWAN ni kombinesheni ys soggy Doggy, Mzungu Kichaa na Bizman.
Ni producer mzuri ila kazi nyingi hakufanya yeye, jina la studio ndiyo lilibeba kila kitu
Kwanini wewe ikuume sifa kwenda kwake ikiwa hao unaowataja wapo na walikuwepo lakini sifa hazikwenda kwao broo!!Nachomaanisha waliyoitengeneza ile nyimbo hakuwa yeye, ingawa sifa nyingi zimeenda kwake... Beat la ile nyimbo ya Ngwear SHE GOT A GWAN ni kombinesheni ys soggy Doggy, Mzungu Kichaa na Bizman.
Ni producer mzuri ila kazi nyingi hakufanya yeye, jina la studio ndiyo lilibeba kila kitu
Shukurani sana....
Jamaa ni hater tu hana lolote kama aliyajua hayo why hakuanzisha uzi na kuyaelezea uko kwenye huo uzi alafu kingine unapingaje kuwa majani hakuwa producer mkali wakati wasanii wote wanamuapreciate mwana kwa kazi za hatari na midundo yenye ladha za ajabu sema jamaa ana chuki kwamba kwanini mpaka leo P hana mpinzani so nachojaribu kufanya ni kujipooza kwaa kumdis uyu bingwa aka master mtu mbaya mwenye Kick na Snare zakeUnatumia nguvu nyingi sana kupinga, Sawa tuambie nani alitengeneza ngoma ya HAKUNA KULALA ya juma nature?