zacha
JF-Expert Member
- Feb 28, 2009
- 1,205
- 1,880
Unatumia nguvu nyingi sana kupinga, Sawa tuambie nani alitengeneza ngoma ya HAKUNA KULALA ya juma nature?Nachomaanisha waliyoitengeneza ile nyimbo hakuwa yeye, ingawa sifa nyingi zimeenda kwake... Beat la ile nyimbo ya Ngwear SHE GOT A GWAN ni kombinesheni ys soggy Doggy, Mzungu Kichaa na Bizman.
Ni producer mzuri ila kazi nyingi hakufanya yeye, jina la studio ndiyo lilibeba kila kitu