Ubora wa Paul Matthysse a.k.a P-Funk Majani wa Bongo Records

Ubora wa Paul Matthysse a.k.a P-Funk Majani wa Bongo Records

Nachomaanisha waliyoitengeneza ile nyimbo hakuwa yeye, ingawa sifa nyingi zimeenda kwake... Beat la ile nyimbo ya Ngwear SHE GOT A GWAN ni kombinesheni ys soggy Doggy, Mzungu Kichaa na Bizman.

Ni producer mzuri ila kazi nyingi hakufanya yeye, jina la studio ndiyo lilibeba kila kitu
Unatumia nguvu nyingi sana kupinga, Sawa tuambie nani alitengeneza ngoma ya HAKUNA KULALA ya juma nature?
 
Boss ya solo na ferooz,Kuna dogo mmoja alikua chotara flan wa kijerumani sijui kapotelea wapi?anaitwa Bodea,aliimba ngoma moja na proof Jay inaitwa hardcore.kama unayo iweke pia
 
1116500
 
Nitashukuru mkuu ,P-Funk ,beat zilitulia sana ,unafeel nini maana ya mziki mkiwa Dance Flow

Baraka Issack Naomba enjoy Mkuu,maadui wawili ndani ya nyumba moja ya Bongo Records,when music was real music,nowadays bubble gum tu na makopo!!
 
Attachments

Nachomaanisha waliyoitengeneza ile nyimbo hakuwa yeye, ingawa sifa nyingi zimeenda kwake... Beat la ile nyimbo ya Ngwear SHE GOT A GWAN ni kombinesheni ys soggy Doggy, Mzungu Kichaa na Bizman.

Ni producer mzuri ila kazi nyingi hakufanya yeye, jina la studio ndiyo lilibeba kila kitu
Kwanini wewe ikuume sifa kwenda kwake ikiwa hao unaowataja wapo na walikuwepo lakini sifa hazikwenda kwao broo!!
 
Unatumia nguvu nyingi sana kupinga, Sawa tuambie nani alitengeneza ngoma ya HAKUNA KULALA ya juma nature?
Jamaa ni hater tu hana lolote kama aliyajua hayo why hakuanzisha uzi na kuyaelezea uko kwenye huo uzi alafu kingine unapingaje kuwa majani hakuwa producer mkali wakati wasanii wote wanamuapreciate mwana kwa kazi za hatari na midundo yenye ladha za ajabu sema jamaa ana chuki kwamba kwanini mpaka leo P hana mpinzani so nachojaribu kufanya ni kujipooza kwaa kumdis uyu bingwa aka master mtu mbaya mwenye Kick na Snare zake
 
Back
Top Bottom