Google chrome
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 2,276
- 12,780
T-touches sijawahi kumuelewa sana. Ila yule mtoto Pancho (RIP) alikuwa anajua sana!
We jamaa n nani!??
Please!!
Wakuu...sifaham hata aliyeproduce huu wimbo. Ila nautafuta, Carola Kinasha-Ni Pendo. Kwenye uzi wa utafutaji nyimbo...hilo ombi halijajibiwa bado
Napokea simu - Ngwair
NagumaWaguma...
Ipo hapo kwenye playlist... Pakua
Nawe pia Eid Mubarak Mkuu.Mkuu Eid Mubarak
Ni Pendo kwenye maktaba yangu sina, upo Mseto wahapa hapa. Pole sana!
Ntajitahidi kuutafuta kwa wapenda mziki wenzangu.
Tuendelee kukumbushana. Uwe na sikukuu njema. Enjoy!