Ubora wa Paul Matthysse a.k.a P-Funk Majani wa Bongo Records

Wakuu...sifaham hata aliyeproduce huu wimbo. Ila nautafuta, Carola Kinasha-Ni Pendo. Kwenye uzi wa utafutaji nyimbo...hilo ombi halijajibiwa bado

Mkuu Eid Mubarak

Ni Pendo kwenye maktaba yangu sina, upo Mseto wahapa hapa. Pole sana!

Ntajitahidi kuutafuta kwa wapenda mziki wenzangu.

Tuendelee kukumbushana. Uwe na sikukuu njema. Enjoy!
 
Eid Mubarak
 
Attachments

zacha please kutoka bongo records only uzi huu,dondosha Ratiba zetu- Sna Lee ft Ngwair. Fid Q ft TID,ADILI- Chagua moja. Imam Abasi- mitaa ya kati/bila Sana'a!!

Eid Mubarak!!
 
Same to you Brother
Enjoy!
 
Attachments

Nyimbo ya chid Benz ya ''sitapenda mwingine zaidi yako'' plz naomba uweke ili nipakue kama dawa
 
Mkuu Eid Mubarak

Ni Pendo kwenye maktaba yangu sina, upo Mseto wahapa hapa. Pole sana!

Ntajitahidi kuutafuta kwa wapenda mziki wenzangu.

Tuendelee kukumbushana. Uwe na sikukuu njema. Enjoy!
Nawe pia Eid Mubarak Mkuu.
Umesomeka mzee. Pamoja mkuu
 
Back
Top Bottom