- Thread starter
- #261
Afunguke hapa tu, nitamuelewa. Inbox wanaingia na wajinga.Sasa kama umefunga inbox huyo mchumba utampataje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afunguke hapa tu, nitamuelewa. Inbox wanaingia na wajinga.Sasa kama umefunga inbox huyo mchumba utampataje?
1. Unapotoka nje ya mazingira ya kazi usiendelee na ubosi wako
2. Jichanganye kwenye makundi mema baada ya kutoka kazini kama wewe ni mkristo nenda kwenye vyama vya kitume au kwaya.
3.Jitahidi kuwa myenyekevu kwa watu waliokuzidi umri na tabia yako isomeke hadharani kuwa ni njema
4.Usiishi maisha ya juu sana kama kuendesha gari masaa yote kwani neema za wanaume unazikosa saa nyingine unapotembea kwa miguu ndio waoaji wanakuona na kuanza kukufukuzia
5. Usipende kuvaa vitu vya garama saana kwani kuna wanaume wema wataona wakikuoa utawaingiza hasara hata kama ana kipato
6. Epuka sana kuwa wa bandia kama kubadilisha ngozi na kuvaa madude mengi artificial kwani kuna wanaume wengi hutathmini mwanamke aliyebadilisha ngozi kuwa hata tabia yake anaweza kuibadilisha kama kinyonga jinsi apendavyo na ajiamini na uzuri aliopewa na Mungu
7.Usipende kukosoa wanaume hadharani kwani kwa yule unayemkosoa kuna wengine wanakufuatilia kwa siri bila kukuambia na ukiona kitu kidogo tuu gubu la kufa mtu basi na wao wanajitoa kiulaini
8. Epuka sana kufikiria kuolewa na msomi mwenzako ama tajiri bali yeyote utakayempenda na anayekupnda kwa dhati na mwenye tabia njema anaweza kukufaa na mkaishi maisha mazuri na ya amani kuliko msomi mwenzako ambaye kwanza kumpata inakuwa kazi kwani baadhi huoa ambao hawajasoma kwa sababu hushuhudia live vituko vinavyofanyika vyuoni
9. kubali utumwa na kamwe usishawishike na wanaharakati wanataka kuwa sawa na wanaume
10. Kumbuka kuwa katika muungano wowote kila mtu lazima apoteze sehemu ya uhuruwake na kupokea mapungufu ya mwenzake na kuyavumilia. Hivyo usitarajie mtu ambaye yupo pafect kama malaika ndio akuoe utakosa wale ambao uliowakataa kwa kusema sii kiwango chako masi kama bado wapo warudie kwa unjenyekevu laa sivyo "imbombo ngafu""
Nipo Mimi nafungukaAfunguke hapa tu, nitamuelewa. Inbox wanaingia na wajinga.
Labda ataufuataUshauri mzuri kabisa huu
Mama hakuna wajinga kila mtu akipata mwelevu huelevukaAfunguke hapa tu, nitamuelewa. Inbox wanaingia na wajinga.
Huyu Dada hawezi kukutumia atakufa na ubosi wake anadharau hata uandishi wake una kiri hayoNitumie email au namba yako ya simu
Kafunga pm akutumie namba ya sim?Naomba unitumie namba yako ya simu au email tafadhali ili nikupatie ushauri Wa dhati na ambao MTU mwingine hawezi kuusoma.
Akikutumia ni tagNitumie email au namba yako ya simu
Sifa unazo za kutosha ashindwe mwenyewe ila ungesema mshahara kwa mwezi unapata kiasi gan?Elimu Masters, Kazi international org. Mshahara wa kawaida maisha nayajua vzr sana labda ushindwe wewe. Karibu inbox
Kwa avatar yako kufunga chupa ya chai na kufuri huwezi kumpata bosi tafuta wapare ndio saizi yakoNjo inbox hutajuta
Hahahah mbavu zangu jamaniKwa avatar yako kufunga chupa ya chai na kufuri huwezi kumpata bosi tafuta wapare ndio saizi yako
Mshahara ntamwambia kwa kumwonyesha salary slip tukionanaSifa unazo za kutosha ashindwe mwenyewe ila ungesema mshahara kwa mwezi unapata kiasi gan?
Amesema kila kitu kiwe hadharani ili wadau tumsaidie kubaini mwenye mapenzi ya kweliMshahara ntamwambia kwa kumwonyesha salary slip tukionana